Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,955
Reaction score
9,041
Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo.

Dk 19: bado game ngumu
===

1613565999412.png

Takwimu za mchezo
Mabingwa watetezi Al Ahly 🇪🇬 wameshinda mechi zao zote yao ya kwanza kwa kuichapa timu ya El Merreikh kwa bao 3-0.

Ushindi huu unaendeleza wimbi la ushindi wa timu hiyo katika mechi za nyumbani. Mpaka sasa Al Alhly wameshinda mechi 19 mfululizo katika mechi za ligi ya mabingwa zilizochezwa katika uwanja wao huku wakiwa Wamefunga mabao 56 na kufungwa 6 tu.

Ushindi huo umeifanya Al ahly iongoze kundi hilo ambalo pia lipo na timu ya Simba ya Tanzania.

Katika mechi ijayo Al Ahly wanataraji kusafiri kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na timu ya Simba.
 
Kwenye hii hatua ya makundi Simba atamaliza na pointi nne tu,
Hata droo na waarabu wa Sudan kwa Mkapa halafu mechi nyingine zote anakufa kifo cha mende.
😂😂 povu ruksa
 
Wee Dada nimekupenda bure..

Ila kama sio Dada naomba unisamehe kwa uhujumu uchumi wa jinsia yako mana uku jf hakuaminiki utakuta jamaa linatumia Id ya kike.
 
Azam tv zbc 2 watakuwa live pia
Wale wanakatisha game kupisha matangazo ya maji ya uhai😬😬😬 sijawahi kuona wameonyesha mechi ikanyooka dakka 90 including uchambuzi bila wao kuzingua
 
Wale wanakatisha game kupisha matangazo ya maji ya uhai😬😬😬 sijawahi kuona wameonyesha mechi ikanyooka dakka 90 including uchambuzi bila wao kuzingua
Wanaonyesha dakika zote useme huwa hakuna uchambuzi
 
Kwenye hii hatua ya makundi simba atamaliza na pointi nne tu,
Hata droo na waarabu wa Sudan kwa mkapa halafu mechi nyingine zote anakufa kifo cha mende.
😂😂 povu ruksa
Nani akutolee povu utopolo wakati luc ashasema.
 
Kwenye hii hatua ya makundi simba atamaliza na pointi nne tu,
Hata droo na waarabu wa Sudan kwa mkapa halafu mechi nyingine zote anakufa kifo cha mende.
😂😂 povu ruksa
Sawa Kidimbwi
 
Back
Top Bottom