Uchambuzi upo sana, mechi zote za CHAN walizoonyesha wanachambuaWanaonyesha dakika zote useme huwa hakuna uchambuzi
ZBC2 Wema unaozidiDSTV wanaonesha? If yes Channel ipi?
Channel 270
Utoe na update za seregeti boys africon inaanza saa 1 ucku leoHa ha ha haaaa. Mi huwa nakula Mara moja tu kwa Siku usiku
tayari ushatoa povu kama una nguo chafu fanya kuziloeka tuNani akutolee povu utopolo wakati luc ashasema.
Noted, with thanks!Azam tv zbc 2 watakuwa live pia
Siwezi kuloeka jioni hii manyani wataziiba.tayari ushatoa povu kama una nguo chafu fanya kuziloeka tu
Zbc2Hivi Afcon U20 inaonyeshwa channel gani?
Dk ya 3 wayaaaaaaHivi Afcon U20 inaonyeshwa channel gani?
Ila huyu kipa kafungwa kizembe alafu mipira yote ana butua butua haanzishi mashabuliz nyumaDk ya 3 wayaaaaaa
Ghana 1 tz sufurii
Kuna under 20 sidhani kama wataoneshaAzam tv zbc 2 watakuwa live pia
Basi tena hiyo channel dstv haipoZbc2
Dstv wanaonyesha michuano yote ya CAF kupitia KBC Channel namba 270Basi tena hiyo channel dstv haipo
Nakupinga hapo kwenye kuombea sare mechi ya leo. Ili Simba iwe salama kwenye mechi ijayo inatakiwa Al Ahly ashinde ili kupunguza presha kwenye mechi yao ijayo. Endapo Ahly atatoa sare au kufungwa leo, mechi ijayo itakua ni must-win kwa upande wao na kufanya mechi hiyo kuwa ngumu kwa Simba.Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo.
Asante kiongoziDstv wanaonyesha michuano yote ya CAF kupitia KBC Channel namba 270
Kweli kabisa.Nakupinga hapo kwenye kuombea sare mechi ya leo. Ili Simba iwe salama kwenye mechi ijayo inatakiwa Al Ahly ashinde ili kupunguza presha kwenye mechi yao ijayo. Endapo Ahly atatoa sare au kufungwa leo, mechi ijayo itakua ni must-win kwa upande wao na kufanya mechi hiyo kuwa ngumu kwa Simba.