Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uliangalia mechi yao na bayern au ulisimuliwa.Timu iliyocheza na Bayern Munich na kufungwa goli mbili tu unaamini kiwa ni wabovu ila wameshinda kwa vile wamekutana na wachovu zaidi?
Timu inashika nafasi ya tatu katoka klabu bingwa dunia unawaona ni timu mbovu, kama mbovu imefikaje hatua ya kufika nusu fainali kwenye klabu bingwa dunia?
Hiyo takwimu ya kutengeneza nafasi 20 na kupata goli tatu sio sababu ya kuifanya timu ionekane mbovu kwasababu uwanjani hawachezi peke yao kuna wachezaji wa timu pinzani ambao inawezekana game approach yao ni kupaki basi tu.
Kwenye mpira kuruhusu kushambuliwa ama kutengenezewa nafasi nyingi sana inatoa mwanya wa kufungwa.
Halafu mbona hapo kwenye big chance 5 haupaongelei? Wametengeneza big chance 5 na wamepata magoli 3
Kidimbwi leo mnatoa sare na KageraSimba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli na kazi. Sio kina Kagere na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.
Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli
Wapi nimeandika kuwa Al Ahly hawezi kufungwa na Simba? Kwani Simba haikuwahi kuifunga Al Ahly? Kwahiyo Simba ikimfunga Al Ahly ndio itaifanya Al Ahly isiwe timu bora kwa Africa? mimi Nimemjibu aliyesema kuwa Al Ahly wabovu hivyo imepata matokea kisa tu wamecheza na wachovu zaidi.Hivi uliangalia mechi yao na bayern au ulisimuliwa.
Siku ya mechi na bayern muda wote walikuwa wamepaki bus hakuna shambulizi lolote la maana walilofanya, kwa hiyo kigezo cha kufungwa goli mbili na bayern sio sababu ya wao kumfunga simba au labda nikukumbushe zamalek kabla ya kucheza na simba walicheza na Lazio wakati huo mpira wa Italy huko juu na wakatoa nao draw ila walipokuja kucheza na simba wakatolewa hivyo acha kukariri.
Unavyo ongea tu yani hutofautiani na hawa wachambuzi wetu wa maredion humu.Timu iliyocheza na Bayern Munich na kufungwa goli mbili tu unaamini kiwa ni wabovu ila wameshinda kwa vile wamekutana na wachovu zaidi?
Timu inashika nafasi ya tatu katoka klabu bingwa dunia unawaona ni timu mbovu, kama mbovu imefikaje hatua ya kufika nusu fainali kwenye klabu bingwa dunia?
Hiyo takwimu ya kutengeneza nafasi 20 na kupata goli tatu sio sababu ya kuifanya timu ionekane mbovu kwasababu uwanjani hawachezi peke yao kuna wachezaji wa timu pinzani ambao inawezekana game approach yao ni kupaki basi tu.
Kwenye mpira kuruhusu kushambuliwa ama kutengenezewa nafasi nyingi sana inatoa mwanya wa kufungwa.
Halafu mbona hapo kwenye big chance 5 haupaongelei? Wametengeneza big chance 5 na wamepata magoli 3
Sahau kabisa,hii al ahly ni nyingine kabisa,hapa mtaishia sare tuAl Ahly lazima tuwakekete hapa Dar watake wasitake.
Hizi ndio Updates ?Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo.
Dk 19: bado game ngumu
Unavyo ongea tu yani hutofautiani na hawa wachambuzi wetu wa maredion humu.
Sasa na mimi nakujibu hivi
Wao kufungwa na baryan goli mbili sio kigezo heti kwamba ni wazuri sana wangekuwa wazuri wasinge ruhusu hizo goli mbili.
Unazikataa vipi takwimu za mchezo wakati ndio mwongozo wetu kujua sura halisi ya mchezo ulivyokuwa Simba tunawasema mara nyingi sana hapa kuwa wanatengeneza nafasi nyingi ila wanakosa sana magoli ila kwa hawa Al ahly hilo hutaki kulisema japo takwimu zinajionyesha hapo
Hawa wamekutana na timu ambayo haina uwezo wa kushambulia kwa nguvu ndio mana wamekuwa na umiliki muda mwingi na wao ndio wamecheza faulo nyingi zaidi ni kumi na tatu kwa tisa.
We subiri waje wakutane na Simba hapa wanao zuia na kushambulia kwa kasi kwa wakati mmoja uona kitacho wapata hao.
Hujafuatilia uzi? Au umekariri kuwa updates ungepata kwangu tu? Hii ni forum ya kila mtu kuchangia. We shule umeenda kweli au ndiyo walewale Form 4 leavers mnakuja kutusumbua tu?Hizi ndio Updates ?
Kuweka Rekodi sawa hii ni baada ya masaa 24 na game ni dakika 90....
Sare mtaishia nyie na Kagera leo. Utopolo MNA wivu sanaSahau kabisa,hii al ahly ni nyingine kabisa,hapa mtaishia sare tu
Mkuu sasa we mchambuzi wa aina gani aisee, yaani we unataka tuchambue mchezo kwa kuangalia ushindi tu huku KPI zote tukiziweka kando doh!!Muongozo sio takwimu bali ni matokeo. Takwimu huwa hazihesabiki kuwa ni ushindi. Halafu nimegundua kuwa hapa nabishana na mtu mwenye mahaba na timu. Simba mpira wa kasi kaanza kuucheza lini? Kama ulikuwa haujui basi ujue mpira wa kasi na nguvu Simba huwa inawapa tabu, Simba wanapenda mpira wa taratibu na pasi nyingi.
Halafu pia sio ajabu kuona simba kumfunga Al Ahly kwasababu alishawahi fanya hivyo misimu ya nyuma lakini hilo haliondoi ukweli ya kwamba Al Ahly ni timu bora kwa Africa.
Hujafanya kazi yako umeanzisha uzi ili utoe updates sio kuanzisha uzi kuomba watu watoe updates.., am sure usingeanzisha wewe kuna mwingine angeanzisha ili aweke updates, Hii ni forum watu wanatumia kupata habari mtu anaona heading anaingia ili apate habari na habari ni rahisi kupatikana kwenye post ya kwanza.., sio kupoteza muda kupitia kila post...Hujafuatilia uzi? Au umekariri kuwa updates ungepata kwangu tu? Hii ni forum ya kila mtu kuchangia. We shule umeenda kweli au ndiyo walewale Form 4 leavers mnakuja kutusumbua tu?
We tatizo shule ndogo. Mimi nimesema kwenye huu uzi tutapata updates. Sasa updates zipo au hamna? Hujawahi kuona mtu anaanzisha uzi halafu anasema wengine jazilieni nyama. Ndiyo maana nasema tatizo lako kubwa ni shule ndogoHujafanya kazi yako umeanzisha uzi ili utoe updates sio kuanzisha uzi kuomba watu watoe updates.., am sure usingeanzisha wewe kuna mwingine angeanzisha ili aweke updates, Hii ni forum watu wanatumia kupata habari mtu anaona heading anaingia ili apate habari na habari ni rahisi kupatikana kwenye post ya kwanza.., sio kupoteza muda kupitia kila post...
Kubali kukosolewa.., next time kama huwezi kuweka updates bola kuacha mwingine afanye..., au unataka kila mtu aanzishe uzi wa kitu kimoja thus duplication ?
Nimeona unipe rejeo wewe si unaangalia mpira na umeangalia mechi nyingi za Simba. Naomba niambie ni mechi ipi uliyoona Simba wamecheza mpira wa kasi?Mkuu sasa we mchambuzi wa aina gani aisee, yaani we unataka tuchambue mchezo kwa kuangalia ushindi tu huku KPI zote tukiziweka kando doh!!
Unasema simba hawawezi mpira wa kasi wakati ndio yenye mawinga na viungo wenye kasi na maarifa zaidi.
Okay, ngoja tuishie hapa mkuu tusubiri 23 Feb, baada ya mchezo tutakuja hapa kufukua hili kaburi tutajua tu nani mzuri nani mbovu .
Wewe umetengeneza ngapi, timu za bongo nafasi 10 hakuna hata goli.Duuh yani ume create chance 20 kisha unafunga bao tatu tu, hawa jamaa ni wabovu sema wamekutana na team dhaifu tu hawa
Wanacheza ni Simba ila sielewi kwaniji yanga mnateseka haya ndio mambo ya mwinyi zahera kuacha kwenda na yanga iringa mpaka yanga ikafungwa na yeye.kubaki kusaidia as vita ambao nao walifungwaWapi nimeandika kuwa Al Ahly hawezi kufungwa na Simba? Kwani Simba haikuwahi kuifunga Al Ahly? Kwahiyo Simba ikimfunga Al Ahly ndio itaifanya Al Ahly isiwe timu bora kwa Africa? mimi Nimemjibu aliyesema kuwa Al Ahly wabovu hivyo imepata matokea kisa tu wamecheza na wachovu zaidi.
Hivi timu gani ulaya ambayo haijui mziki wa Bayern Munich? Nakukumbusha tu kuwa hawa Bayern Munich waliifunga Barcelona goli nane. Dortmund na Atletico Madrid alifungwa goli nne nne. Hauwezi kuilinganisha kiwango cha Bayern na Al Ahly. Hivyo hata kama wamepaki basi lakini kuruhusu goli mbili tu tena goli lenyewe la pili kupatikana dakika za mwishoni kabisa wamajitahidi sana katika game plan yao.
Maanake umeshindwa kujibu hoja. Ndio shida ya washabiki mahaba nyie hamjui mpira mnajua mahaba tu na timuWanacheza ni Simba ila sielewi kwaniji yanga mnateseka haya ndio mambo ya mwinyi zahera kuacha kwenda na yanga iringa mpaka yanga ikafungwa na yeye.kubaki kusaidia as vita ambao nao walifungwa