Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Binadamu wa kwanza kufariki mpaka leo bado anasubiria parapanda...
Ndiyo. Na kwa mwenyezimungu sio jambo kuu hilo kama unavyoliona. Fikiria wewe ilikua si kitu miaka mingi sana iliopita(billions of years).

Baadae ukaumbwa tena kwa tope la udongo. Baada ya kushakuumbwa na udhaifu wako ukaanza kupinga kama hakuna maisha baada ya kifo. Ilhali ishara zote unaziona ww mwenyewe huwezi kujipa oksijeni ata ya sekunde tano, kama wanasayansi ni wajuzi zaidi ya Allah wangekuwekea hiyo oksijeni usife tu au wakati mtu anapokata roho wamzuie asife lakini mtu anakufa na mtungi wake kwenye pua.

Basi kwanini akifa wasimrejeshe kama wao ni wajuzi zaidi. Hakuna alowahi kurejeshwa na haitotokea labda kwa idhini yake Allah.

Wallah pindi ukishikwa na madhara yeyote kitu cha kwanza unachofikiria ni mungu ata kama humuamini, bas kwanini usiamini kama huyo mungu alokuleta hapa duniani hajakuleta tu ucheze ana mipaka yake uifate ili ufanikiwe huko uendako au ndo unasubiri adi uone ile haki ya kweli uombe muda wa kurudu kuja kumuabudu sasa, na hutopewa tena, Allah akuongoze
 
Kwahiyo ni Bora kuliwa na Simba au kumezwa na mamba?
Kumezwa na simba na kuliwa na mamba haimaanishi kuwa imeisha hivo. Ulichokuwa hukifahamu ni kuwa kaburi si tu kulazwa chini ya ardhi bali popote pale utakapokufa na kwa namna yeyote hilo ndo kaburi lako tayari, kama umeliwa na simba mana humo kwenye tumbo la simba ndiyo kaburi lako na mfano wake.

Na unachotakiwa ufahamu zaidi ni kwamba maisha ya kaburini ni tofauti kabsaaa na maisha ya hapa duniani asa usiyafikirie kwa akili yako dhaifu coz km akili yko ni yenye afya zaidi bas unatakiwa ujiulize.ulikuwa nani? Umekuwaje kuwaje.

Nani anaendesha hya mambo ya dunia,,nani analeta usiku na nani analeta mchana au ndo yanatokea tu kisayansi..haya hiyo sayansi imeletwa na nani, mambo mingi mweny akili ya kawaida tu bas anaweza kujua kuwa yupo alieumba vyote hivyo . Allah akuongoze tu ujue haki na uifate
 
Down hamna kitu zaidi kuoza tu na mifupa kuendelea kuwepo miaka mimngi mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata waliopita kabla yako walisema hivo kuwa itakuwaje tukishazikwa tukaenda chini tukaoza tutafufuliwa lakini Allah akawajibu akasema,,kwani mimi sikukutengezeni kwa tone la manii(shahawa) ambalo limetoka kweny mifupa ya migongo ya baba zenu,,alafu mkawa kipande cha nyama afu mtu kamili na mukaziliwa..je aliekuumba hivo hana uwezo wa kukurejesha tena ukishaoza,,ni vile tu unajidanganya nafsi yako na kutaka kujipa matumaini katika haya maisha ya dunia mafupi ambayo hata miaka mia kufika ni bahati ilioje, hakuna dini inasema binadamu asifurahi lakini unatakiwa uchunge mipaka ya aliyekuumba kama ilivyokuja miongozo..kinyume na hivo utakuwa ni mwenye hasara,,Allah akuongoze
 
Roho ina ubongo? Maana kwa uelewa wa binadamu ubongo ndio unahifadhi kumbukumbu na ukifa ubongo unaharibika.
Huo ni kwa uelewa wa binadamu tu ..lakini aliekuumba ana uelewa zaidi ya huo..ndani ya mwili kuna roho na ndiyo kama mashine ambayo inamuendesha bindamu huu mwili ni body tu ni sawa na umenunua body la gar au vespa akaja mtu akakuazima mashine yake afu akataka kuichukua huwezi kuendesha body lako tupu lakini akataka akairejesha ata kwenye body nyengine itafanya kazi..basi namna hivyo ndo mungu kaumba roho na ipo siku ataichukua na ipo siku atarejesha na utalipwa kutokana na matendo yako uloukiyafanya kupitia roho hiyo..Allah akuongoze
 
Hebu kwanza tuambie roho ni kitu gani?5
Watu kabla yako pia, walishauliza hayo maswali kabla ya ata wewe kitambo sana, lakini Allah aliwajibu.

Wanauliza kuhusu roho,, Sema,Roho ni katika amri za mola wako,,so hakuna binadamu yeyota ata km hao wanasayansi unaowaamini hawatakupa elimu ya roho ni nini coz anaejua ni Allah pekee hilo jmbo icpokua sehemu ndgo tuliyopewa elimu nayo
 
Vingi sina hakika, ila kitu ambacho nina hakika hao mababu zako walioleta hii dini walikamata baadhi ya mababu zangu wakawapoka uhuru wao, wakawafunga minyororo, wakawahasi na kuwauza kama watumwa. hivyo kungekuwa na ukweli wasingethubutu kufanya huo upuuzi basi hiyo bazarkh yako iwakumbushe msingi ambao leo unawapa kiburi wengine kujiona sahihi zaidi ya wengine ulijengwa juu ya mafuvu ya watu ambao walikufa kwa mateso makubwa sana.
Hii dini si mfumo wa ubabu ndugu yangu bali ni sheria alizoweka mungu tangiya enzi na enzi tangiya kuumbwa kwa binadamu wa kwanza..Nabii Adama(amani iwe juu yake) adi leo na lengo la kuumbwa tufate hizo sheria coz alipewa muongozo akaambiwa atakaefuata muongozo wangu ndiye atakaefanikiwa,,lakini shetani kwa kushirikiana na binadam ndo wanageuza hiyo miongozo adi leo hii kuna watu hawaamini maisha ya akhera,,Allah akuongoze na uwe miongoni mwa waumini kabla kifo chako
 
Sayansi ipi imevikuta vitabu hivi ambavyo havina hata miaka 5000
Hhhh hivo vitabu vitakatifu ndugu yangu vina zaidi ya hiyo miaka uloitaja hpo billions of years( na hiyo sayansi unayoiyona yote imetolewa humo tatizo washirikina hawapendi tu kuwaambia ukweli ili mtu azidi kupotea) basi miongozo hiyo ya wanadamu ipo miaka mingi na mungu alikuwa anaishusha kwa waja wake ili wapate elimu ya kumjua yeye na mazingira wanayoishi. .Allah akuongoze kwa uwezo wake
 
Nimemuamini mtu alikuwa ana chukua tales of the ancients anatengeneza kitabu chake?

Koran 8:31 When Our Signs are rehearsed to them, they say: "We have heard this (before): if we wished, we could say (words) like these: these are nothing but tales of the ancients."
Na waliambiwa kama ni hadithi za zamani walete mfano wake adi leo wameshindwa,,quran ni kitabu cha hakki ukitaka usitake na vile vilivyoteremsha kabla yake pia ni hakki isipokuwa walokuja wakabadilisha maana na wakaweka wanayoyataka wao kwenye hivo vitabu vya nyuma,,Taurat, injili na Zaburi..Na Allah ameihidi kuilinda na quran ndo maana washirikina wanajitihidi waibadilishe maana lakini wameshindwa na milele hawatoweza,,Allah akuongoze
 
Allah ndie alitaka vibadilishwe vitabu vyake , alituma vitabu ila hakuvilinda
 
Huo ni kwa uelewa wa binadamu tu ..lakini aliekuumba ana uelewa zaidi ya huo..ndani ya mwili kuna roho na ndiyo kama mashine ambayo inamuendesha bindamu huu mwili ni body tu ni sawa na umenunua body la gar au vespa akaja mtu akakuazima mashine yake afu akataka kuichukua huwezi kuendesha body lako tupu lakini akataka akairejesha ata kwenye body nyengine itafanya kazi..basi namna hivyo ndo mungu kaumba roho na ipo siku ataichukua na ipo siku atarejesha na utalipwa kutokana na matendo yako uloukiyafanya kupitia roho hiyo..Allah akuongoze
Umetoa jibu la kiiamani. Waamini wote tunaamini kuhusu hukumu sio kwa kuthibitisha pasipo shaka bali kwa kuamini kuwa ni hivyo. Ni Imani kama unavyoamini kuwa kesho utaamka ila huwezi kuthibitisha pasipo shaka kuwa utaamka.

Mjadala huu ukiujadili kibaolojia ulichoongea hakina maana. Kibiolojia bila ubongo hakuna kumbukumbu.
 
Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake.

Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu ambaye alikuwa akifurahia maisha ya ulimwengu kwa kufanya ufedhuli amepata khasara baada ya kufa.

Na yule ambaye alikuwa akifurahi kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu basi atapata neema kubwa na inakamilika kufaulu kwake.

Watu wengi hudhania ya kwamba mtu anapokufa na akazikwa amemaliza kila kitu na amepumzika na ulimwengu, wala halimjii yeye jambo lolote.

Kudhani hivyo ni kosa kubwa bali hakika mwanadamu baada ya kufa kwake anaingia katika maisha mapya, maisha ya barzakh na kutoka maisha ya barzakh huenda kwenye maisha ya akhera ambayo ndiyo maisha ya mwisho na ya milele.

View attachment 2140429

Bar-zakh ni maisha ya baadaye; maisha baada ya haya tuliyonayo hivi sasa hapa duniani.

Maisha hayo kuanzia mtu anapokufa huitwa ni ‘Maisha Ya Barzakh’.
Barzakh ni kipindi baina ya wakati wa mauti na Qiyaamah. Na kila maiti atapitia katika maisha hayo, awe Muislam au Mkristo au asiye na dini, awe mwema au mwovu, na katika kipindi hicho kunakuwa na fitna na mitihani ya kaburi ambako mtu anajiwa na Malaika wawili na kuhojiwa na kisha hufuatia neema au adhabu za kaburini.

Inajulikana kuwa kuna makazi matatu; makazi ya Dunia (Daarud-duniya), makazi ya Barzakh (Daarul-Barzakh) na makazi ya kudumu (Daarul-Qaraar).

Maisha ya kaburini ni kile kipindi anachokaa mtu baada ya kufa kwake mpaka kufufuliwa kwake. Kipindi kati ya parapanda la kwanza ambalo ni amri ya kufa viumbe vyote na parapanda la pili ambalo ni amri ya kufufuliwa viumbe vyote vitakavyotakiwa vifufuke, Huitwa Barzakh.

Katika kipindi hichi cha maisha ya dunia ni mambo gani yanayoendelea katika nafsi ya mwenye kufa? Wengi kwa kujiliwaza katika wakati huo hufikiria kuwa watu wakifa wanakuwa mapumzikoni.

Na watu ambao hawaamini siku ya mwisho huamini kuwa kifo ndio mwisho wa maisha ya watu na iliyobaki ni kuoza na kuwa chumvi chumvi zitakazotumika ardhini.

Katika kipindi cha Barzakh roho za watu wema zitakaa pahali pazuri kungojea malipo yao ya Peponi, Ama zile za watu waovu zitakuwa mahabusu zikingojea siku ya hukumu yao. Ama kuhusu mtu muovu yeye atakaa katika kaburi lake kwa khofu na fadhaa.

Maisha ya Barzakh ni maisha yanayotofautiana kabisa na maisha ya dunia, na hakuna ajuaye hakika kamili ya maisha haya na namna yalivyo isipokuwa Mwenyezi MUNGU pekee.

Jiandae na maisha ya barzakh ambayo hayana salama ila kwa wacha-Mungu

View attachment 2140430
Una ushahidi na ulichokiandika?
Au na wewe umehadithiwa!!
 
Maisha gani ya kaburini, hivi mtadanganywa na hayo mafundisho potofu mpakalini?

Ukifa roho inaachana na Mwili ambao ni udongo. Udongo unazikwa na kuanza kutafunwa na funza from day one hadi unaisha.
 
kifo ni mwanzo wa maisha mapya
 
Umetoa jibu la kiiamani. Waamini wote tunaamini kuhusu hukumu sio kwa kuthibitisha pasipo shaka bali kwa kuamini kuwa ni hivyo. Ni Imani kama unavyoamini kuwa kesho utaamka ila huwezi kuthibitisha pasipo shaka kuwa utaamka.

Mjadala huu ukiujadili kibaolojia ulichoongea hakina maana. Kibiolojia bila ubongo hakuna kumbukumbu.
Mimi sijaongea kibaolojia nimepigia mfano wa jambo lilivyo ili mtu ambae hana uelewa aweze kuelewa kwa sababu hya mazingira ambayo tunayaishi yana mifano mingi ya maisha yetu sisi binadamu..imani sisi kama waislam tunaamini kile ambalo tumefahamishwa ndani ya quran na sunna za rassul lakini imani tupu haitoshi tu kuw unaamini kuwa kuna kufufuliwa lazima ifuatane na matendo yaliokuwa mema,,Allah anasema haoni haya kumpigia mfano ata mbu kwasababu kwa mfano huo yapo mazingatio. Ndo maana nikatolea mfano mfano kwa yule ambae haujui uislam anaijua bailojia tu ili apate kuzinduka
 
Allah ndie alitaka vibadilishwe vitabu vyake , alituma vitabu ila hakuvilinda
Sio kama hakuvilinda ila uelewe kwamba Allah ametuma mitume wengi kati ulimwengu huu ili kuwaonya binadamu na aliwapa muongozo kutokana na mahala na watu husika na na mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake ndo mtume wa mwisho wa Umma huu ambao ni mimi na wewe sasaivi.kwahiyo vitabu ambavyo vilitumwa nyuma kwa watu fulani wa wakati ule hatuwezi kuvitumia sisi sisi tunaitumia quran ambayo ndo kitabu alichopewa mtume wetu na hakuna kitu utakikosa katika muongozo wako wa maisha ya kila siku
 
Ivi kwani nikuulize swali la kiakili tu ivi yule ambaye amekuumba mwanzo na wakati si kitu hana uwezo wa kukufufua tena. Tatizo letu sisi wanaadamu tunadhani tuna elimu kubwa zaidi kuliko Allah ambae katuumba sisi, hizo sayansi ambazo tumefunguliwa kuzijua ndo tunaziona zina kazi zaidi kuliko Allah lakini nakuambia kifo kipo na yapi maisha baada ya kifo na Wallah adhabu za kaburini zipo na malipo yapo pia ,,Allah akuongoze
Mtu akichomwa moto hiyo adhabu ya kaburi anaipata wapi
 
Sio kama hakuvilinda ila uelewe kwamba Allah ametuma mitume wengi kati ulimwengu huu ili kuwaonya binadamu na aliwapa muongozo kutokana na mahala na watu husika na na mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake ndo mtume wa mwisho wa Umma huu ambao ni mimi na wewe sasaivi.kwahiyo vitabu ambavyo vilitumwa nyuma kwa watu fulani wa wakati ule hatuwezi kuvitumia sisi sisi tunaitumia quran ambayo ndo kitabu alichopewa mtume wetu na hakuna kitu utakikosa katika muongozo wako wa maisha ya kila siku
Ni sawa Allah alituma mitume waislamu zaidi ya laki , na hakuna andiko lao ata moja limebaki , anasema tu walipewa vitabu na vimepotea vyote
 
Mtu akichomwa moto hiyo adhabu ya kaburi anaipata wapi
Ndani ya mwili wa binaadam kuna kitu kinaitwa roho na roho ni katika Amri za Allah hakuna ambae ana elimu nayo zaidi yake yeye mwenyewe Allah na roho wakati mtu akifariki inatenganishwa na huo mwili..na roho pia ndio ambazo huadhibiwa kwaiyo kule kuchomwa mtu moto pale na akawa jivu sio mwisho wake kwan roho yake bado ipo na yule Allah alokuumba mara ya kwanza atakuumba tena mara ya pili na hiyo roho yako atakurejeshea ikiwa uliishi kwa kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake utakuwa ni mwenye kufanikiwa na ikiwa hukumuamini na ishara zote ziliopo kwenye ulimwengu ukafa hali ya kuwa ni mshirikina au vingenevyo basi adhabu ipo pale pale..sisi kama waislam kuna mambo meng hatuyaoni na tunayaamini na inatupasia hivo. Mfano wewe unaambiwa tu kuna shetani au jinni lakini hujawahi kumuona kwa sababu si katika uwezo wako ila unaamini kutokana na unayoyaona katika sifa zao. Namna hiyo Allah ametufichia baadhi ya mambo ili iwe ni mtihani kwetu sisi wanaadamu anaetaka aamini alokuwa hataki asubiri siku akitolewa roho ili aone ule ukweli aliekiambiwa na mda huo mtu atataka apewe muhula lakini hatopewa ata sekunde tena...
Allah anasema
"Na nani dhalimu zaidi kuliko yule aliyemtungia uongo Allaah au akasema: Nimefunuliwa Wahy na hali hakufunuliwa Wahy wowote. Na yule asemaye: Nitateremsha mfano wa yale Aliyoyateremsha Allaah. Na lau ungeliona madhalimu pale wakiwa katika mateso makali ya mauti, na Malaika wamenyosha mikono yao (wakiwaambia): Toeni nafsi zenu! Leo mnalipwa adhabu ya kudhalilisha kwa yale mliyokuwa mkiyasema juu ya Allaah pasi na haki, na mlikuwa mkitakabari kuhusu Aayaat Zake. [Al-Anaam: 93.. Allah akuongoze
 
Ni sawa Allah alituma mitume waislamu zaidi ya laki , na hakuna andiko lao ata moja limebaki , anasema tu walipewa vitabu na vimepotea vyote
Hakuna kitabu kilichopotea..vitabu vyote vipo na sisi watu wa umma huu wa Rasul Muhammad rehema na amani iwe juu yake tumepewa quran iwe ndo muongozo wetu na sio vyengine. Na quran ipo na inasomwa na billions of peoples. Na ukiisoma pia utapata muongoze wa kumjua yule alokuuumba na na akamuumba babu yako na pia yule alowafisha jamaa zako wa karibu ambao ilikuwa unawapenda,,na sisi wote ipo siku tutakufa na tutalipwa kwa matendo yetu. Ikiwa ulijisalimisha kwake Allah na ukafuata yalio mema itakua umefuzu na kinyume chake ni khasara hilo halina shaka kabisa.
 
Hakuna kitabu kilichopotea..vitabu vyote vipo
Embu nioneshe surah moja moja ya vitabu kama vitano vya mitume wa waislamu, vipi kama laki na 20 ila mi nataka tuanze na vitano tu kwanza
 
Back
Top Bottom