Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Ndani ya mwili wa binaadam kuna kitu kinaitwa roho na roho ni katika Amri za Allah hakuna ambae ana elimu nayo zaidi yake yeye mwenyewe Allah na roho wakati mtu akifariki inatenganishwa na huo mwili..na roho pia ndio ambazo huadhibiwa kwaiyo kule kuchomwa mtu moto pale na akawa jivu sio mwisho wake kwan roho yake bado ipo na yule Allah alokuumba mara ya kwanza atakuumba tena mara ya pili na hiyo roho yako atakurejeshea ikiwa uliishi kwa kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake utakuwa ni mwenye kufanikiwa na ikiwa hukumuamini na ishara zote ziliopo kwenye ulimwengu ukafa hali ya kuwa ni mshirikina au vingenevyo basi adhabu ipo pale pale..sisi kama waislam kuna mambo meng hatuyaoni na tunayaamini na inatupasia hivo. Mfano wewe unaambiwa tu kuna shetani au jinni lakini hujawahi kumuona kwa sababu si katika uwezo wako ila unaamini kutokana na unayoyaona katika sifa zao. Namna hiyo Allah ametufichia baadhi ya mambo ili iwe ni mtihani kwetu sisi wanaadamu anaetaka aamini alokuwa hataki asubiri siku akitolewa roho ili aone ule ukweli aliekiambiwa na mda huo mtu atataka apewe muhula lakini hatopewa ata sekunde tena...
Allah anasema
"Na nani dhalimu zaidi kuliko yule aliyemtungia uongo Allaah au akasema: Nimefunuliwa Wahy na hali hakufunuliwa Wahy wowote. Na yule asemaye: Nitateremsha mfano wa yale Aliyoyateremsha Allaah. Na lau ungeliona madhalimu pale wakiwa katika mateso makali ya mauti, na Malaika wamenyosha mikono yao (wakiwaambia): Toeni nafsi zenu! Leo mnalipwa adhabu ya kudhalilisha kwa yale mliyokuwa mkiyasema juu ya Allaah pasi na haki, na mlikuwa mkitakabari kuhusu Aayaat Zake. [Al-Anaam: 93.. Allah akuongoze
Unataarifa story za adhabu ya kaburi muhammad alitoa kwenye story ya mwanamke wa kiyahudi alikuwa anamuadithia Aisha ,tena fairy tale stories za kiyahudi?
 
Embu nioneshe surah moja moja ya vitabu kama vitano vya mitume wa waislamu, vipi kama laki na 20 ila mi nataka tuanze na vitano tu kwanza
1. Torati( nabii musa)
2. Zaburi( nabii daudi)
3. Injili( nabii issa)
hivo ni vitabu ambavyo vinatumiwa na baadhi ya imani zisizokuwa ya kiislam mpaka sasa
4. Qur'an( ilipoteremshwa quran hivo vitabu vya nyuma vilifutwa ikawa havitumiki katika umma huu wa mtume Muhammad na sio kama havipo lakini havitumiki kwasababu yale mafunzo na sheria na miongozo inayopatikana katika vitabu hivyo yote ipo katika quran na kuna watu walibadilisha baadhi ya maana katika hivyo vya nyuma ndio maana Allah akataka quran iwe ndo kitabu chenye kufuatwa kwa umma huu wa mtume Muhammad rehema na amani iwe juu yake.
pia kuna kurasa alizofunuliwa nabii ibrahim na musa
sisi waislam tunaamini mitume ni wengi l kama anavyosema Allah "Na Rusuli Tuliokwishakusimulia kabla; na Rusuli (wengine) Hatukukusimulia.[An-Nisaa: 164] "

tuliofahamishwa ndani ya quran ni 25 tu na inatupasa kuamini hivo. ambao ni

1. Aadam

2. Idriys

3. Nuwh

4. Huwd

5. Swaalih

6. Ibraahiym

7. Luwtw

8. Ismaa'iyl bin Ibraahiym

9. Is-haaq bin Ibraahiym

10. Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym

11. Yuwsuf bin Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym

12. Shu'ayb

13. Ayyuwb

14. Dhul Kifl

15. Muwsaa

16. Haaruwn nduguye Muwsaa

17. Daawuwd

18. Sulaymaan bin Daawuwd

19. Ilyaas

20. Alyasaa'

21. Yuwnus

22. Zakariyyaa

23. Yahyaa bin Zakariyyaa

24. 'Iysaa bin Maryam

25. Muhammad

(Swalla Allaahu 'alayhim wa sallam)

na katika hao tuliofahamishwa waliopewa vitabu ni hawa na vitabu vyao

1. Torati ilifunuliwa kwa Nabii Musa (a.s.)
2. Zaburi ilifunuliwa kwa Nabii Daudi (a.s.)
3. 3. Injili ilifunuliwa kwa Nabii Isa (a.s.)
4. Qur'an ilifunuliwa kwa Mtukufu Mtume
Muhammad Rehma na amani iwe juu yake
6. Kitabu hiki yaani Qur'an haina kosa hata
moja, maneno na ahadi zake zote ni kweli
tupu.
Sisi tunaenda kwa vile tulivyofahamishwa na quran na sunna za nabii wetu na si zaidi ya hivyo wala hatudadisi yale ambayo si katika uwezo wetu wa kuyajua.
Na Allah anajua zaidi..
Allah akuongoze
 
Unataarifa story za adhabu ya kaburi muhammad alitoa kwenye story ya mwanamke wa kiyahudi alikuwa anamuadithia Aisha ,tena fairy tale stories za kiyahudi?
Na waliopita kabla yako pia walisema hayo unayoyasema kabla ya hata Huyo mtume wa Allah Muhammad rehema na amani ziwe juu yake.
"Na wanaposomewa Aya zetu zilizo wazi, wale waliokufuru husema juu ya haki inapowajia: Huu ni uchawi ulio wazi"
"Au wanasema: Ameizua! Sema: Ikiwa nimeizua mimi, basi nyinyinyi hamwezi kunifaa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu."
So walishasema hayo kabla lakini baadae yakawafika yale Allah ambayo waliyaahidi na laiti wangelirudi wangekupeni izo khabari lakini Allah hajaruhusu hivo. Muhimu ni kuamini na kujua kuwa adhabu ya kaburi ipo na sio kaburi tu bali kuna siku mtu atalipwa kutokana na alichokichuma katika dunia hii ..ikiwa ulifanya kheri zinazomridhisha Allah utafanikiwa na kinyume chake ni khasara.

Apa tunaongea kwa ushahidi na nukuu , umesema vitabu vipo , na kuwa makini tunazungumza vitabu vya waislamu kabla ya Muhammad

Nimekuomba surah moja moja kwa vitabu vi Tano tu sijataka utaje taje majina ya mitume wa waislamu

Kama hakuna nenda karekebishe ulipo sema vipo
 
Muhammad alikuwa hajui adhabu ya kaburi mpaka alipopewa stroy na Aisha ambazo Aisha alisimuliwa na mwanamke wa kiyahudi tena fairy tale stories Yani ni fiction sio za kweli
 
Acha usanii wako wewe, kaburini hakuna maisha, mwili unaoza fahamu zinaondoka unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi "fo fo fo"
Kama kaburini hakuna maisha ilikuwaje Lazaro na tajiri walipokufa Lazaro akamuona tajiri anavyoteseka na moto wa Jehannam?
 
Apa tunaongea kwa ushahidi na nukuu , umesema vitabu vipo , na kuwa makini tunazungumza vitabu vya waislamu kabla ya Muhammad

Nimekuomba surah moja moja kwa vitabu vi Tano tu sijataka utaje taje majina ya mitume wa waislamu

Kama hakuna nenda karekebishe ulipo sema vipo
Ni kwamba hujanielewa ndugu yangu hiyo taurati injili zaburi vyote vilituma na waislam wa kabla ya mtume Muhammad baada ya hapo washirikina wakavibadilisha maana katika baadhi ya aya, Allah akamteremshia quran mtume Muhammad iwe ndo muongozo wa umma huu,, na nimekuambia pia tumefahamishwa hayo ndani ya quran na si zaidi ya hapo..ukitaka aya moja moja torati ipo na aya nyingi. Zaburi ipo na aya nyingi na injili ipo na aya nyingi na bibilia pia. Cwezi kuandika zote hapa nipe namba yako ya whatsapp nikufafanunulie moja baada ya jngne huenda Allah akakuongoza
 
Hakuna kitabu kilichopotea..vitabu vyote vipo
Nimekutaka uweke surah moja moja ya vitabu ata vi 5 tu sio utaje majina ya mitume wa kiislamu

Kumbuka Allah alituma mitume laki na 20 Mimi sijataka majina yao
 
Wewe ndio unashindwa kunielewa ukishadai vitabu vya waislamu wa zamani kabla ya muhammad vipo, sasa unapotaja biblia tena unakuwa anachanganya , jikite kwenye mitume waislamu
 
Nimekutaka uweke surah moja moja ya vitabu ata vi 5 tu sio utaje majina ya mitume wa kiislamu

Kumbuka Allah alituma mitume laki na 20 Mimi sijataka majina yao
Mimi nimeongelea vitabu vingaoi vilivyokuwepo au wapi nimesema mitume wote wameshushiwa vitabu. Nimekufahamisha na kukuambia kuwa mitume ni wengi waliokuja kutokana na mafundisho ya sunna za mtume..Tuliofahamishwa katika quran ni 25 na si zaidi. Na hakuna muislam atakutajia zaidi ya hapo. Na waliopewa vitabu tukafahamushwa ninwatano ambao nimekutajia na majina ya vitabu vyao nimekutajia na aya zake zipo ndani ya hivyo vitabu na vinatumika pia na baadhi ya imani. Nikakuambia alipotumwa mtume Muhammad rehema na amani Allah alivifuta vitabu hivyo na akleta quran ambayo ndo uwe muogozo wetu
 
Ni kwamba hujanielewa ndugu yangu hiyo taurati injili zaburi vyote vilituma na waislam wa kabla ya mtume Muhammad baada ya hapo washirikina wakavibadilisha
Washirikina waliwezaje kuwakwapua vitabu waislamu alafu wakavibadili? Je waislamu hao hawakuwa ata na nakala moja original?
 
Ikiwa mwili utaoza ni kipi Kinachomfanya Firauni aliyejiita MUNGU asioze hadi leo karne na karne?
Mie ni muislam, ila hiyo dhana ya kusema Firaun akizikwa mwili wake unatemwa na ardhi na wadudu wamegoma kuula mwili wake ni uongo mtupu.

Yule amekaushwa na binadam wenzake kama wengine walivyokaushwa.
 
Mimi nimeongelea vitabu vingaoi vilivyokuwepo au wapi nimesema mitume wote wameshushiwa vitabu. Nimekufahamisha na kukuambia kuwa mitume ni wengi waliokuja kutokana na mafundisho ya sunna za mtume..Tuliofahamishwa katika quran ni 25 na si zaidi. Na hakuna muislam atakutajia zaidi ya hapo. Na waliopewa vitabu tukafahamushwa ninwatano ambao nimekutajia na majina ya vitabu vyao nimekutajia na aya zake zipo ndani ya hivyo vitabu na vinatumika pia na baadhi ya imani. Nikakuambia alipotumwa mtume Muhammad rehema na amani Allah alivifuta vitabu hivyo na akleta quran ambayo ndo uwe muogozo wetu
Sawa vitabu vilibaki vitano , tuwekee surah moja moja kaitka kila kitabu
 
quran ina miaka 1500,biblia ina miaka 2000 shinto ina miaka 5000 punguza mihemko ongea reality,acha kukremisha uliyomezeshwa madrasa na ustazi
Hhhh hivo vitabu vitakatifu ndugu yangu vina zaidi ya hiyo miaka uloitaja hpo billions of years( na hiyo sayansi unayoiyona yote imetolewa humo tatizo washirikina hawapendi tu kuwaambia ukweli ili mtu azidi kupotea) basi miongozo hiyo ya wanadamu ipo miaka mingi na mungu alikuwa anaishusha kwa waja wake ili wapate elimu ya kumjua yeye na mazingira wanayoishi. .Allah akuongoze kwa uwezo wake
 
Kwaio alodhulumu hapa duniani habari.ndo kwisha? hebu fikiria tena hilo swali hlf utafute.jibu
ikiwa duniani watu wanahukumiana je itakuwaje aliedhulumiwa hapa duniani na.hajapta haki yake ndo iwe imekwisha, hapanaa lazima awepo msuluhishi wa viumbe vyote ambae ni Allah
Swala Alie liwa na chui na kuacha mtoto wake ndogo nae analipwaje?maana nae Ni kiumbe
 
Kifo sio fulustop bali ni alama ya comma,rejea kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu na akatuambia anakwenda kwa Baba kututengenezea makao,

Rejea maneno ya Bwana Yesu,Nitalivunha hekalu na kulijenga kwa siku tatu yaani atakufa na kufufuka siku ya tatu.

Rejea kupaa kwa Eliya alipochukuliwa na Kigali cha moto na kuondoka nae,

Rejea kupalizwa mbinguni kwa Bikira Maria,

NB:Yote yanathibitisha kuwepo kuwa kifo sio mwisho Ila kuna maisha mengine baada ya kifo.

Nina shuhuda mbili:

1.Niliona wingu likishuka mahali fulani na lilipoondoka mahali hapo mtu alikufa,wingu lilikuja kumchukua,huo ni ukaribisho mwema kwenda kwenye maisha mengine.

2.Naliona Malaika wakitua mfano wa radi,radi ilipiga na ilipotua chini mfano wa Malaika alitokea,na mahali hapo alikuwa anatarajiwa kupita mtu fulani na alipopita baadae alikufa,Malaika wale walikuja kumchukua.

Sasa maisha baada ya kifo,kwa watu wema unaenda Paradiso,sehemu kama iliyokuwa bustani ya Eden utaendelea na maisha hadi Bwana Yesu atakapowachukua kuwarudisha tena duniani kutawala nae kwa miaka 1000 na baada ya miaka 1000 kuisha utashuka mji mpya wa Jerusalem na hukumu itapita na wale wema wataingia Jerusalem kuishi milele.

Kwa watu waovu wakifa watasubiri kwenye udongo hadi siku ya hukumu na kuhukumiwa kuingia Jehanamu.

Kwahiyo ambao walikufa/watakufa kwa Yesu ndio watakao fufuka.Vipi wale wengine itakuwaje ?.
 
Back
Top Bottom