Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete.
Huwasikii tena Iran wakitamba na kujipanua kama mwanzo. Wamebana ngenge kwa sasa. Wamegundua jamaa ukitanua anaweka mtalimbo. Unachanika msamba. Israel kwa sasa inatembea ikijisifu sana. Iran wamezidi kunyongea.
Russia inajitahid tahidi kuwapiga tafu hivyo hivyo. Ila AL JAZEERA BADO WANASEMA HALI YA IRANI IMEJAZWA NA KHOFU SANA. NA KUNA VIKWAZO WANAWEZA WEKEWA ZAIDI NA ZAIDI.