Al Jazeera: Israel haitaki kusitisha mapigano yaendelea kushambulia Lebanon

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame.

Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.

Screenshot_2024-11-29-08-47-42-771_com.android.chrome.jpg
 
Netanyahu anakuwa anajiuliza, Je imetosha kuwaadhibu hawa manyang'au!!

Badaye anakumbukia mateka waliotekwa na magaidi, anajisemea, bado kidogo, ngoja niwaponde ponde hawa vichwa ngumu

Uislamu siyo ugaidi, ila magaidi yote ni maislam!
 
Muislam hashindwi hasa akipigania haki yake. Mwisho Israel ataomba marekani aingilie kati
 
hawa jamaa hii vita wametengeneza hakuna mateka yeyote isipokuwa ni mipango yao,kutaka amani ya mashariki ya kati na ulaya mashariki isipatikane lengo ni kumuwinda russia na itikadi inayokingana nazo.
 
Ofcourse mateka walichukuliwa, lipo wazi. Ila katika operesheni ya kuwakomboa. Wakagundua humo humo wanaweza lipa kisadi, na kutimiza agenda zao zingine

Hamas wangetakiwa wafikirie mara mbili outcomes kabla ya lile tukio. IDF walikwua wanasubiri fursa, na ikatokea
 
je,ni vipi kuwa hata lile shambulio ni influence ya israel?labda aliweka kibaraka kuanzisha vita?

nachelewa kusema kwamba hamas ni mwanzilishi wa vita wakt baada ya hamas kushambulia israel alienda na ndege yake mwenyewe kuwaua raia wake kwenye ukumbi wa starehe.
 
Kwamba israel ili influence hamas kufanya ile attack? How comes hamas wakakiri kuhusika nalo? Tena at one time kujisifia?

Hilo ndio lilikuwa kosa kubwa
 
Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame.

Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.

View attachment 3164866
Israel mtu anaye fanya naye peace ni mjinga sana, toka lini hawa waliheshimu mikataba walio signed. Kaomba Hezbullah wawapishe jeshi la Lebanon na kaomba mda wa siku 60 ili kuondoka sehemu alizo ingia kama km 1.5 to 3 km kwenye badhi ya miji iliopo kwenye border, sa kachukulia hio 60days anahaki ya kujitetea, kama kaona kuna madhara. Hicho ndio kitu alicho kosea Hezbullah kuwapa kenge mda wa kuchukua mabox yao ya Pampers. Israel anadai sio yeye aliye break ceasefire huko anajitetea na huko anajifanya mwamba. Any way Hezbullah kisha sema Israel akiendelea kubreak ceasefire hicho kitu wao ndio wanakitafuta ili wamtie adabu Israel. Tatizo kuna watu kwenye serekali ya Lebanon wanataka kumlaumu Hezbullah eti anataka vita wanampa kichwa Israel. Kwa upande mwingine Israel anataka kuonyesha watu wake wa North kwamba sio yeye aliye surrender, sa kama sio kweli sikianzishe tena ili Hezbullah awaondoe wanajeshi wa Lebanon mpakani tena, ili wanaume wamtie adabu Israel tena.
 
Mlebanoni wa Bukoli na Lubanga kwenye ubora wako
 
Sawa mlebanoni wa Namtumbo
Nyie wajinga kweli eti kata ya pemba, mlidhani kijiji chenu kitakuja tembelewa na Watalii .Waruguru noma sana mmebakia kuvaa vile vikofia vya kiyahudi tu. Mmeweza kuita kata yenu Pemba mtashindwa kuwaiga kina Nyau kuvaa vikopo kichwani 🤣
 
Mlebanoni wa Kimokela unahasira na waisrael wa Ilagua, haya bhana 🤣
 
Safi sana. Hakuna ceasefire. Kipigo kiendelee dhidi ya magaidi
 
U
Israel mtu anaye fanya naye peace ni mjinga sana, toka lini hawa waliheshimu mikataba walio signed. Kaomba Hezbullah wawapishe jeshi la Lebanon na kaomba mda wa siku 60 ili kuondoka sehemu alizo ingia kama km 1.5 to 3 km kwenye badhi ya miji iliopo kwenye border, sa kachukulia hio 60days anahaki ya kujitetea, kama kaona kuna madhara. Hicho ndio kitu alicho kosea Hezbullah kuwapa kenge mda wa kuchukua mabox yao ya Pampers. Israel anadai sio yeye aliye break ceasefire huko anajitetea na huko anajifanya mwamba. Any way Hezbullah kisha sema Israel akiendelea kubreak ceasefire hicho kitu wao ndio wanakitafuta ili wamtie adabu Israel. Tatizo kuna watu kwenye serekali ya Lebanon wanataka kumlaumu Hezbullah eti anataka vita wanampa kichwa Israel. Kwa upande mwingine Israel anataka kuonyesha watu wake wa North kwamba sio yeye aliye surrender, sa kama sio kweli sikianzishe tena ili Hezbullah awaondoe wanajeshi wa Lebanon mpakani tena, ili wanaume wamtie adabu Israel tena.
Ushuzi mtupu umeandika hapa
 
Back
Top Bottom