Israel mtu anaye fanya naye peace ni mjinga sana, toka lini hawa waliheshimu mikataba walio signed. Kaomba Hezbullah wawapishe jeshi la Lebanon na kaomba mda wa siku 60 ili kuondoka sehemu alizo ingia kama km 1.5 to 3 km kwenye badhi ya miji iliopo kwenye border, sa kachukulia hio 60days anahaki ya kujitetea, kama kaona kuna madhara. Hicho ndio kitu alicho kosea Hezbullah kuwapa kenge mda wa kuchukua mabox yao ya Pampers. Israel anadai sio yeye aliye break ceasefire huko anajitetea na huko anajifanya mwamba. Any way Hezbullah kisha sema Israel akiendelea kubreak ceasefire hicho kitu wao ndio wanakitafuta ili wamtie adabu Israel. Tatizo kuna watu kwenye serekali ya Lebanon wanataka kumlaumu Hezbullah eti anataka vita wanampa kichwa Israel. Kwa upande mwingine Israel anataka kuonyesha watu wake wa North kwamba sio yeye aliye surrender, sa kama sio kweli sikianzishe tena ili Hezbullah awaondoe wanajeshi wa Lebanon mpakani tena, ili wanaume wamtie adabu Israel tena.