#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake.. hao watu wala sio wa kuwaamini
 
Hizo ni consequences za kujiaminisha kuwa wewe ni bora sana kuliko wengine na hatimaye utamuona kila mtu anachofanya ni kwa nia ya kurudisha nyuma wewe
 
Naona kwa yeye huenda chanjo sio kipaumbele.


Hivi kuna mchezaji wa Taifa Stars aliyeripotiwa kuwa na Corona.?
 
Katika hili naungana na Magufuli... Aljazeera propaganda zenu pelekeni hukohuko, nyambaf!

Na nyinyi mnaomnanga Magufuli siwaelewi kwasababu ameshasema na ameendelea kurudia mara kwa mara kwamba endeleeni kuchukua tahadhari binafsi sasa mlitaka asemaje ndo muone amelichukulia serious jambo hilo?

Jino bovu haliwezi kuwa dawa ya pengo hata siku moja hivyo Lockdown na chanjo siyo tija hata kidogo juu ya corona (maana najua ndo mnachotaka)
 
Pointi,ila ungeandika kwa kiswahili
 
 

Attachments

  • VID-20210128-WA0009.mp4
    4.8 MB
Hebu tuwekee hapa hiyo 'scientific research' na ikathibitika kuwa ni credible, objective and reliable to be practised ili kila mmoja ajisomee ambayo imesheni ushuhuda kwa waliochanjwa wakajichanganya na waathirika lakini hawakuathirika ili tukuamini na hicho unakipigia chapuo huku ukibagaza viongozi wako.

Umeongelea kuhusu chanjo za surua, polio, nk kwamba kwanini hakuna alipinga kupata chanjo hizo? Swali , je kipindi hicho mazingira ya chanjo hizo yalipata changamoto kama za korona? Korona is na man made disease from one of the dignified laboratory experts....wewe huelewi unaimba kama chiriku sijui umelipwa kiasi gani kushadadia. Peleka familia yako yote , jamaa na rafiki zako washawishi mpate hiyo chanjo na upate ruhusu ya kwenda popote, kuuza chochote mahali popote nk

You are fighting against your own loin and 'Black Wooven Bear' who is to lose?
 
we Tanzanian understand our president Magufuli, he really loves his citizens, the purported vaccine of COVID19 from other countries should not be used or rather tested in Tanzania, we shall make our own vaccine in the meantime let's continue to protect by using our traditional ways.
 
Hawa WHO sio wa kuwaamini ndio maana trump aliitoa marekani kwenye huo umoja.hakutaka ujinga ujinga wao
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 20210127_225116.jpg
    57 KB · Views: 1
Bitter truth spoken...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simkubali Magufuli, ila la kuhusu huu upuuzi wa Corona nasimama naye tena sana. Namuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…