Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kuna vaccines za hayo magonjwa aliyotaja?uchungu ama upumbavu
ana ushahidi wa hayo madai yake,ama ndo akili za kidanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vaccines za hayo magonjwa aliyotaja?uchungu ama upumbavu
ana ushahidi wa hayo madai yake,ama ndo akili za kidanganyika
izo vaccine unataka agundue nani? kwani nyie waafrika mmezuia kugunduaKuna vaccines za hayo magonjwa aliyotaja?
Kama chanjo ya kifua kikuu imewashinda ndio wataweza ya Corona?Ukweli upi huo?
Chanjo ya kifua kikuu kuwashinda hilo linathibitisha na kuhalalisha kuwa ni lazima chanjo ya Corona iwashinde?Kama chanjo ya kifua kikuu imewashinda ndio wataweza ya Corona?
izo vaccine unataka agundue nani? kwani nyie waafrika mmezuia kugundua
labda unijuze kwa nini hamjagundua izo vaccine.
Ni kifuani hapo hapo uwe unaelewa bwashee!Chanjo ya kifua kikuu kuwashinda hilo linathibitisha na kuhalalisha kuwa ni lazima chanjo ya Corona iwashinde?
Rais Magufuli ameongea ukweli mchungu!
Wewe kwenye familia yako hali ya Corona ikoje bwashee?!Unaonga mkono mlopokaji huyo? Eti hali ya korona siyo mbaya, ipo, ni kidogo, haipo... Kama kalewa vile. Mlevi mwenzio nini?
Wenywe wanaamini wakati wa kampeni ndio corona ilipungua ndio maana wakawa wanajazana kwenye mikutano ya kampeni bila barakoa wala tahadhari yeyote.Umekariri chanjo lazima iwe sindano ya kupiga begani
Tumetumia mitishamba na nyungu na Corona ikapeperushwa hadi nyie wasomi makini mkavua Barakoa na kuacha vitakasa mikono mkashiriki kampeni zote za uchaguzi bila ya kanuni zozote za kujilinda
mlitumia mafichoni ama wapi? dawa ya madagasca ilinyunyizwa na ndege Tanzania nzima nini?Umekariri chanjo lazima iwe sindano ya kupiga begani
Tumetumia mitishamba na nyungu na Corona ikapeperushwa hadi nyie wasomi makini mkavua Barakoa na kuacha vitakasa mikono mkashiriki kampeni zote za uchaguzi bila ya kanuni zozote za kujilinda
Kumbe nao walichagua kichaa?Brazil wanataka ku- impeach RAIS wao JAI BOLSONARO , sisi sijui wale makanjanga walio jaa bungeni wanaweza kutoa uamuzi mgumu
Naona unachuki kubwa sana dhidi ya rais wetu,nakuambia hutafika mbali,kunywa maji moyo ueleeLijinga wacha lianike Ujinga wake kwa dunia, kwani angenyamaza angekosa nini? Majaa lafa nasa niya
Wewe kwenye familia yako hali ya Corona ikoje bwashee?!
Haimake sense!Yaani kwa sababu wameshindwa kutengeneza chanjo ya kifua kikuu basi watashindwa kutengeneza chanjo ya corona?Mbona kuna chanjo kibao wametengeneza kama vile chanjo ya polio,ndui,etc?Kuna uhusiano gani special kati ya chanjo ya kifua kikuu na chanjo ya Corona kiasi kwamba wakishindwa kutengeneza chanjo ya kifua kikuu basi watashindwa pia kutengeneza chanjo ya Corona?Ni kifuani hapo hapo uwe unaelewa bwashee!
Kwanini ukishachanja unaendelea kuvaa barakoa?Haimake sense!Yaani kwa sababu wameshindwa kutengeneza chanjo ya kifua kikuu basi watashindwa kutengeneza chanjo ya corona?Mbona kuna chanjo kibao wametengeneza kama vile chanjo ya polio,ndui,etc?Kuna uhusiano gani special kati ya chanjo ya kifua kikuu na chanjo ya Corona kiasi kwamba wakishindwa kutengeneza chanjo ya kifua kikuu basi watashindwa pia kutengeneza chanjo ya Corona?
Kwani kupata chanjo inakufanya usiwe carrier?Kupata chanjo haikufanyi usiwe virus carrier,kwa hiyo kuendelea kuvaa barakoa ni muhimu ili kuepuka kuambukiza wengine.Halafu maswali yangu ya msingi hujanijibu hapo juu!Kwanini ukishachanja unaendelea kuvaa barakoa?
Samahani lakini!