#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Mkuu kuhusu data, zimewasaidiaje USA, UK, Italy, France etc. Je, vifo nchini mwao vimepungua kwa sababu ya kuweka data? Au unaweka data kuweka hofu tu?
Yes. Unawapa data watu ili wapate hofu na wacheze kwa step. Nothing else.

Hao tested positive labda watashauriwa wakajiquarantine makwao ili kupunguza maambukizi mitaani

Sasa kama Magufuli na daktari Gwajima wake wameset bei ya kinyonyaji ya kupimia covid ($100) nani ataenda kupima kama hahitaji cheti kwa ajili ya safari?
 
Rais Magufuli ameongea ukweli mchungu!
Mbona Ukimwi hauna chanjo lkn dawa mnazipokea na kubwia kama lawalawa... si zinatoka kwa mabeberu hizo? Umewaza polio ingekua haina chanjo hali ingekiwaje? Hivi hata huwa mnasoma historia ya dunia na chanjo zilizopo zimesababishwa na nini?? Kwanini hapo begani kwako una chanjo ya ndui? Hyo mliigundua hapa hapa au ya mabeberu?
 
Hotuba bora kabisa kuwahi tolewa na Rais wetu tangu achaguliwe tena awamu ya pili ni hii ya leo!

Mtume S.a.w anasema 'Sema kweli japo ukweli unauma'

Rais Magufuli kasema ukweli ambao wengi wanaujua lakin hawathubutu kuusema

Hivi hamjui kuwa Wasichana wengi wa mjini hasa walau waliomaliza elimu ya Sekondari wanakabiliwa na matatizo ya Uzazi kutokana na chanjo walizodanganywa kuwa ni za kuzuia Mabusha ya kike na kansa ya shingo ya uzazi mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Rais Magufuli ni shujaa wa kuuzungumza ukweli hadhran kuliko Rais yeyote aliewahi kutawala Tz tangu Dunia ianzishwe

Kuna Poyoyo wanamshinikiza Raia afunge nchi bila ya kutuambia ni nchi gani imeishinda Corona kwa hatua walizochukua?

Yaan tuache Nyungu na dawa zetu za mitishamba tulizothibitisha ubora wake sie wenyewe tukakabidhi mabega yetu kwny Machanjo ambayo hata Raia wao wenyewe wanatilia shaka pamoja na kampen zote walizofanya?

Kwny Corona nampongeza sana Rais wetu na namuombea kwa Allah Subhana wa taala aendelee kumpa ujasiri na uthubutu!


1) Aljazeera kwa unafiki wao wanataka evidence gani toka kwa Rais wetu kuhusu hizo chanjo wakati sote tunajua chanjo za Corona zime skip principle kadhaa muhimu za chanjo zote zilizowahi kutolewa na kuthibitishwa na WHO ikiwemo kufupishwa kwa muda kutoka miezi 18 hadi chini ya miezi 12 bila ya kutuambia athari za kuchepushwa huko

2) mbona chanjo hizo hazijapunguza waathirika

3) Waliopata hizo chanjo tumeshataarifiwa wanagongwa tena na Corona
Kama mmethibitisha hizo chanjo zina madhara kwanini mpk leo watoto wanapigwa chanjo? Yaani its just a matter of time.. mtaleta chanjo hlf muanze kuziuza kwa bei ya madolari kama yote sijui mtakuja kufuta vipi huu usemi wako hapa.
 
Nimemsoma Magufuli akizungumzia ujio wa Corona mpya nchini kwanz amekiri ipo akidai imeletwa na watu walioenda kutafuta chanjo nje, hapa naamini lile tamko lake la kusema Corona hakuna Tanzania ndio kalifuta rasmi.

Lakini pia amekazania watanzania wasitumie kinga kwasababu wazungu hawatupendi, hiyo kinga anadai inaweza kusababisha tusizaliane kwa mtazamo wake anadai wazungu hawapendi tuzae.

No research, no right to speak; huyu mtu aliemtumbua yule mtoto wa Malecela NIMR kwasababu alitimiza majukumu ya kazi yake kwa kutoa taarifa ya kitaalamu nitamwamini vipi kwenye hii sababu yake ya wazungu hawatupendi? sio yeye ndio hapendi matokeo ya kazi za kitaalamu?

He is not a doctor or a pharmacist, but kwanini hupenda kuingilia taaluma za watu kwa kutoa majibu mepesi kwenye maswali ya msingi? hapa nikisema yeye ndio hawapendi wazungu ndio maana huwasingizia vitu asivyo na uthibitisho navyo nitakuwa nakosea?

Nikiri hapa, mtazamo wa Rais wetu kwenye hili jambo ni wa kushangaza na kusikitisha, sasa kama Rais hataki watu wake wajikinge kwa chanjo ambayo naamini ametumia hisia kusema hiyo chanjo sio salama kwa raia, na kusisitiza watu wajifukize.

Sasa huku kujifukiza kulithibitishwa na maabara ipi hapa kwetu wakati maabara ile ya mwanzo iliyopima mapapai walidai ilikuwa mbovu? na mtaalamu wake akatumbuliwa?
Andiko bora kabisa hili. Nadhani Rais wetu ana roho mbaya sana na anatamani tufe sote. Shida kubwa ni katiba yetu inamuweka huyu mtu juu ya kila jambo
 
Wazungu wakitaka kutuua wanaweka kirusi kwenye 'condom tu'... Hehehehee sijui usiku mmoja tutazika wangap
 
Chanjo ya Covid ipo lakini ya ngoma hakuna...

Halafu hiyo ya Covid imekuwa developed chini ya mwaka tokea the outbreak...
 
Kwanini ukishachanja unaendelea kuvaa barakoa?

Samahani lakini!
John na wewe unakuwaga mweupe kichwani hivi? Ushaona wapi chanjo inajenga kinga immediately? Yaani ukichoma tu tayari mwili umetengeneza antibodies za kutosha??!!
 
Back
Top Bottom