FUKO LA DHIKI
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 463
- 146
Yote kwa yote tunamuomba mwenyezi Mungu atuokoe na janga hili ila kumbukeni kuwa Mungu yu mwema kwa wote hapa duniani si Tanzania pekeeyetu masikio wala hatuna maamuzi,tunashindwa kuegemea upande wowote ule ama serikali au mashirika ya kimataifa mfano WHO
Za safari!Zile dollars 100 aa kupima wagonjwa pale mabibo za nn
Malecela alivyosema kuna zika uliwahi kuona toka afanye imetokea Tanzania?..wazungu bwana ni ngumu kuwaelewa kwanini wakomalie kipindi hiki lazima watu wadungwe sindano kuliko vipindi vyote?!!!..kwamba wanawapenda sn watz!!!...akili kumkichwa kuna jambo zito linalopikwa ndio maana nguvu kubwa inatumika kiliko kipindi chote cha majanga yaliyowahi kuikumba duniaNimemsoma Magufuli akizungumzia ujio wa Corona mpya nchini kwanz amekiri ipo akidai imeletwa na watu walioenda kutafuta chanjo nje, hapa naamini lile tamko lake la kusema Corona hakuna Tanzania ndio kalifuta rasmi.
Lakini pia amekazania watanzania wasitumie kinga kwasababu wazungu hawatupendi, hiyo kinga anadai inaweza kusababisha tusizaliane kwa mtazamo wake anadai wazungu hawapendi tuzae.
No research, no right to speak; huyu mtu aliemtumbua yule mtoto wa Malecela NIMR kwasababu alitimiza majukumu ya kazi yake kwa kutoa taarifa ya kitaalamu nitamwamini vipi kwenye hii sababu yake ya wazungu hawatupendi? sio yeye ndio hapendi matokeo ya kazi za kitaalamu?
He is not a doctor or a pharmacist, but kwanini hupenda kuingilia taaluma za watu kwa kutoa majibu mepesi kwenye maswali ya msingi? hapa nikisema yeye ndio hawapendi wazungu ndio maana huwasingizia vitu asivyo na uthibitisho navyo nitakuwa nakosea?
Nikiri hapa, mtazamo wa Rais wetu kwenye hili jambo ni wa kushangaza na kusikitisha, sasa kama Rais hataki watu wake wajikinge kwa chanjo ambayo naamini ametumia hisia kusema hiyo chanjo sio salama kwa raia, na kusisitiza watu wajifukize.
Sasa huku kujifukiza kulithibitishwa na maabara ipi hapa kwetu wakati maabara ile ya mwanzo iliyopima mapapai walidai ilikuwa mbovu? na mtaalamu wake akatumbuliwa?
Yes. Unawapa data watu ili wapate hofu na wacheze kwa step. Nothing else.
Hao tested positive labda watashauriwa wakajiquarantine makwao ili kupunguza maambukizi mitaani
Sasa kama Magufuli na daktari Gwajima wake wameset bei ya kinyonyaji ya kupimia covid ($100) nani ataenda kupima kama hahitaji cheti kwa ajili ya safari?
Uzuri dunia,Kijiji,na tekinolojia mchawi wa kisasa,hivyo tumtumie huyo Sana ,tuachane na tunguri za kibongo hizo ndio zinazochelewesha maendeleo na sii wale wa mawazo mabadala.Ndio faida ya kuongea bila kufanya utafiti.
Tulianza kupima kwa TZS. 40,000/- then ikaja TZS. 100,000/- na sasa ni equivalent ya TZS. 230,000/-Bei ya kinyonyaji $100.00. Mkuu unaweza kutuelezea bei ambayo siyo ya kinyonyaji na kutufafanulia hiyo gharama inatokana na kitu/vitu gani?
Vyeti vya corona ni wendawazimu tu mwingine. Unapima huna corona. Unaipata mara tu baada ya kupima. Unatembea na cheti kimeandikwa huna corona! Huo kama siyo wendawazimu ni nini!..sasa mbona tulikurupuka kwenda Madagascar kuchukua mitishamba?
..sisi tulitakiwa tuchukue tahadhari ambazo ziko ndani ya uwezo wetu kama kuvaa barakoa, na kuosha mikono.
..pia tulipaswa kuhakikisha kila mgeni anayekuja nchini ana cheti cha corona toka huko alikutoka.
Rais Magufuli ameongea ukweli mchungu!
Vyeti vya corona ni wendawazimu tu mwingine. Unapima huna corona. Unaipata mara tu baada ya kupima. Unatembea na cheti kimeandikwa huna corona! Huo kama siyo wendawazimu ni nini!
Hayo mengine sioni haja ya kuyazungumzia maana inaonesha maelewano yako mbali sana.
Yaani unaona mimtu inakimbilia hatari na ww kama nyumbu unaunganisha kufuata mkumbo kisa usiji'dissociate!? Hii akili au matope! We'll stand as winner in this as well! God Almighty 🙏 is in our side!sio kila kitu lazima uongee. Kuna mambo unafanya kimya kimya. Shida ya haya maneno mengi, yanawapa hawa muda wa kutupa wakati mgumu. Hatutaweza kusafiri nje kama hatuna chanjo ya Covid. Probably ni kiini macho. Probably itatuletea madhara. But we are an ingredient in the unit system, which is the world. We can't disassociate ourselves with the rest of the world for that matter.
Tuzidi kuomba Mwenyezi Mungu atunusuru
Reasoning ipi wakati science ni purely objective haihitaji siasa..... Wao wamefanya pre test na ikaonekana effective kwa subjects wao sasa anakuja mbongo mmoja ambaye hapo ulipo unatembea na chanjo za surua ulizopigwa ukiwa mdogo kutoka kwa hao hao mabeberu afu unajifanya kudiscredit kwa kutoa maneno matupu?Usiwe mouth piece ya mtu mwingine, jifunze kufungua ubongo wako na kufanya uamuzi through logic reasoning. Kuna justification zipi zinathobitisha chanjo hiyo ni effective kwa waathirika (victims) in reality everybody is exposed to the risk. Utafiti mpaka ufanwe na ngozi nyeupe au mtu anayefanya katika taasisi kubwa za kimataifa kuhusiana na masuala mbalimbali? What do you mean by justification of reasoning challenge against those you call them health experts? Too pathetic argument.
Hiyo aya ya pili inachekesha halafu inafikirishaRais wetu mwanasayansi ka make headline
Halafu kanisa sasa ndo linataka tahadhari
Na Rais mwanasayansi anataka maombi
The iron of it
As long as Serikali haijapiga marufuku watu kuvaa barakoa au kunawa mikono, hili halihitaji tamko..kama nchi tulitakiwa tuchukue tahadhari zilizoko ndani ya uwezo wetu ambazo ni barakoa na usafi wa mikono.
Magu did science just for the money. He doesn't believe in it.Naweka WHO document ambayo inaonyesha juhudi za wazungu, "adui zako"/adui zetu idadi ya chanjo za covid-19 ambazo ziko katika hatua mbali mbali za development.
Kweli makampuni yote haya yananuia kutengeneza vaccine kuwaua waafrika? Common sense and logic kweli watanzania inatuongoza hivyo tukuamini kauli zako?