Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Kakende kweli weweKila nchi duniani ina watu maalum kwa ajili ya assassination ya watu wanaohatarisha usalama wa nchi. Unaua 10 ili kulinda usalama wa watu milioni 45
Kila nchi duniani ina watu maalum kwa ajili ya assassination ya watu wanaohatarisha usalama wa nchi. Unaua 10 ili kulinda usalama wa watu milioni 45
https://www.youtube.com/watch?v=lUjOdjdH8Uk pitia hapo na wewe utoe maoni yakocontents hasa ni nini maana sio wote walio ona....
Kila nchi duniani ina watu maalum kwa ajili ya assassination ya watu wanaohatarisha usalama wa nchi. Unaua 10 ili kulinda usalama wa watu milioni 45
We Kakende kweli wewe
sikujua hilo, kama ni hivyo kwa nini sasa Aljazeera wamelivalia njuga jambo hili... so unadhani ni busara kwa sisi kwenda kuwasaidia ndugu zetu kwenye vita hii? bado niko gizani kabisa
with all the training you acquire from the world's top assassin professionals-kidon of israel,you fail to eliminate alshabab in your backyard.mungu awape nini wakenya!,kidonda?.
Tanzania hatuna technolojia kubwa ya kuweza kuwasaidia wenzetu dhidi ya Ugaidi, wakitaka msaada waende nchi zilizoendelea
Ni kweli Tanzania bado hamna uwezo wa kupigana na hawa jamaa, na ndio maana hata mmeshindwa kuwathibiti vijana wenu wanaojiunga na Alshabaab kila siku.
Ushauri tufanye nini? maana nyie mpo sawa
Ushauri wangu ni mjihusishe kwenye hii shughuli, muache kujificha pembeni eti haiwahusu, kila nchi kwenye ukanda huu sasa hivi ipo mbioni kuwakabili hawa jamaa. Sio lazima muwatume wanajeshi wenu, ila muwazuie vijana wanaojiunga na hili kundi. Kumbuka wanarudi Bongo na itikadi zao kali, ni muda na mtaanza kuwaona wakifanya yao.
Kuna siku nikiwa Dar nilipita sehemu jamaa walikua wanaongea kuhusu jinsi waislamu wanananyanyaswa Bongo na kukoseshwa fursa kwenye nafasi za maisha. Aisei jamaa walikua wanaongea mambo ya kiajabu ajabu, sumu mtupu. Watu kama hao ndio mazao ya wale wanaojiunga kule.

contents hasa ni nini maana sio wote walio ona....
Huyu jamaa anajifanya mjuaji lakini nimemfuatilia kwa umakini na kugundua kuwa ni mbumbumbu wa kutupwa.Nchi ambayo hujaishi umefika kutembea tu vp umejua ilikuwa sumu?...
Nchi ambayo hujaishi umefika kutembea tu vp umejua ilikuwa sumu? Na vp umejua kama walikuwa wanaongea uwongo? Umesema Tanzania imewahi kuuwa wakenya kwa kushukiwa majambazi, je Tanzania imeuwa mara ngapi hao wakenya kwa kuwashukia? Na hiyo serikali yako unayoitetea imeuwa masheikh wangapi mombasa!? Na kuhusu kuungana na nyinyi kwenye vita na al shababu wabongo hatuna muda huo, mliijiingiza wenyewe Somalia sasa komaeni wenyewe, hakuna msaada wa kwenda kuuwana, ukimsaidia asie na nguvu kama Kenya mtapigwa wote,
Iwe ukweli ama uwongo, cha msingi ni kwamba ni hatari, tena sana na ni sumu maana inaadhiri uelewa wa watu.
Na hilo la kuwaua Wakenya majambazi, hujaona nikipinga, tena ueni kabisa, huwezi enda nchi ya watu na kufanya ujangili. Ndio hata ana bahati sana yule sheikh wenu Mtanzania alikua anahubiri chuki Kenya, alikimbia kabla hajasikika vizuri.
Hili la eti Tanzania kusaidia Kenya kwa vita dhidi ya ujangili linaniaikera maana sijui mmetoa wapi taarifa za kipuzi kama hizo. Hatujawaomba msaada wowote, vita dhidi ya Alshabaab havijaandikwa jina Kenya. Nchi yoyote ile ina jukumu la kuhakikisha ujangili umepunguzwa duniani. Nyie muendelee kukaa pembeni eti hamtaki kujihusisha maana itakua ni kusaidia Kenya. Hatujawaomba msaada, ila vijana wenu wanaojiunga na kupigana na jeshi letu kule Somalia watawaambia kinachowakuta huko. Muendelee kuwaacha wajiunge kwa maelfu lakini watakufia huko.