Al Jazeera's Investigative Unit: Kenyan Counter-Terrorism Police confess to extrajudicial killings

Al Jazeera's Investigative Unit: Kenyan Counter-Terrorism Police confess to extrajudicial killings

ISIS wanauwa WAISLAMU kila siku Iraq na Syria kwa kujiita na wao ni waislamu.

.

Kwa hiyo unaiunga mkono Marekani kwa sasa wanavyoua magaidi ya ISIS kwa kutumia madege ya kivita ili kulinda waislam wenzio?
 
TISS inahitaji kutrain kenyans secret services, licha ya msaada kutoka mi5 na mossad, bado wanashindwa kufanya kazi zao ipasavyo. hadi wanafanya exjud. killings
 
Well said Kakende....

Hiyo ni principle popote pale duniani, Viongozi washawishi ''spearheads'' huwa wanauliwa tu kwa ajili ya usalama wa taifa. Kwa nafasi zao hawa masheikh wana influence kubwa sana katika ushawishi. Niliwahi kumsikia Shekhe Rogo na Makaburi, wanaweza wakawa si magaidi ila matamshi yao yana impact kubwa sana katika vita dhidi ya Ugaidi.
Kwa hali ilivyo ili kushinda vita dhidi ya al shabab lazima Kenya itumie extreme measures.....


Kila nchi duniani ina watu maalum kwa ajili ya assassination ya watu wanaohatarisha usalama wa nchi. Unaua 10 ili kulinda usalama wa watu milioni 45
 
Back
Top Bottom