Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nchi duniani ina watu maalum kwa ajili ya assassination ya watu wanaohatarisha usalama wa nchi. Unaua 10 ili kulinda usalama wa watu milioni 45
Nimeangalia taarifa ya habari UN wanaipressurize TZ iondoe adhabu ya kifo kwenye sheria zake, kwann Makafiri mna unafiki kiasi hiki....? Huku mnapinga adhabu ya kifo ambayo inatolewa na mahakama lkn ktk mlango wa nyuma mnaua waislam bila kufuata sheria...?
Boko Haram wameua watu zaidi ya Mil.10...? Macho yangu au nilikimbia umande...?
buda lawmaina78 can you tell me why the killing squads interviewed in the documentary,all of them sound to be kikuyus?.wakikuyu mnazidi kuchonganishwa na wasomali.poleni sana.
kadoda11 Gaidi watauawa tu, haijalishi nani ana-pull trigger. Hebu soma taarifa ya ujasusi iliotolewa juzi, utaona imejaa mashikh watupu, hawa watu mbona wasiwe wanaingi misikitini kumuabudu huyo allah wao bila kuzingua dunia.
https://ia601007.us.archive.org/27/items/800531-kenyashabaabfile/800531-kenyashabaabfile.pdf
Kama umeamini hii taarifa hapa, kinachokufanya usiamimi kuwa serikali yako ni wauwaji ni kitu gani? Kwa hiyo hawa wanaosema masheikh ni magaidi kwako wanasema kweli na wanaosema serikali ya Kenya inauwa wananchi wake vipi wamekuwa waongo? Kama kuuwa ndio njia sahihi msilalamike al shabab wanapofanya hivyo,
Serikali zote duniani huuwa, hii sio mara ya kwanza. Kawaida kama nilivyosema, kuna kikosi cha black-ops katika kila nchi, uliza utaambiwa hata Tanzania wapo. Ukizingiua sana inabidi uchotwe na hao jamaa. Huwezi ruhusiwa kuhubiri chuki dunia halafu wakuache, necessary evil. Sipendi mauaji ya aina hii, ila huwa inawabidi kujikuta wakifanya hivyo maana hamna jinsi nyingine. Kortini utakutana na mawakili wa kidini wanaojua kugeuza ukweli.
Umeona mkuu, yaani kuna washenzi wanatetea magaidi ya mombasa, eti ufanywe utafiti kujua chanzo ni nini?, magaidi yana agenda moja ulimwenguni. Mfano hapa Tz tangu mwaka 2001 yamechoma makanisa zaidi ya 27 na kuua Padre bila sababu ya msingi, yamekutwa na mabomu Arusha. Mbwa kama hizi unazifanya nini kama siyo kufanya elimination?. Mashenzi haya magaidi lazima yafumuliwe
Akili yako ndogo sana, wafikisheni mahakamani kama wanavunja sheria, kujificha vichakani na kuwaua hakusaidii kupunguza tatizo
Wewe choko uliyehamisha akili yako kutoka kichwani na kuipeleka kwenye kijambio nijibu swali hili...
Baada ya kuwaua viongozi wa kiislam Mombasa MATATIZO YAMEPUNGUA AU YAMEONGEZEKA...?
Umeona mkuu, yaani kuna washenzi wanatetea magaidi ya mombasa, eti ufanywe utafiti kujua chanzo ni nini?, magaidi yana agenda moja ulimwenguni. Mfano hapa Tz tangu mwaka 2001 yamechoma makanisa zaidi ya 27 na kuua Padre bila sababu ya msingi, yamekutwa na mabomu Arusha. Mbwa kama hizi unazifanya nini kama siyo kufanya elimination?. Mashenzi haya magaidi lazima yafumuliwe
Hujajibu swali, baada ya kuwaua masheikh matatizo yamepungua au ya yameongezeka...?
We boya sana, huoni KDF imevaa mlegezo hadi wasomali wana infiltrate mpaka wakiwa na silaha....? Kwanza no one is very sure the identity ya wale wanaofanya mauaji, inaweza kuwa wakenya wenyewe, waTZ, wasomali wenyewe...
Angalia matukio ya mpeketoni, west gate halafu uniambie kina nani walikuwa behind the raids
Maswali mazuri sana.
Kuna msemo moja muhimu sana ktk Physics unaosema "To every effect there must be a CAUSE! "
Cha kwanza kilochotakiwa kufanywa na Rais wa kenya Ni kufanya uchunguzi wa kina Na kujiuliza maswali yafuatayo.
1.kwanini Hawa raia Wa kenya Waweke Bendera ya ALSHABAB Sasa wakati Alshabab wako ktk Operation zaidi ya miaka 10?
2. Ilikuwaje Raia WEMA wa MOMBASA wamegeuka Na Kuichukia serikali yao Kiasi cha kukubali Kujiunga na Wauwaji?
3.Na kama Vita ya wasomali Imeanza toka Mwaka 1992! Na hakutokea Msomali akaja Teka nyara MTALII HATA MMOJA imekuwaje Hivi karibuni tu WASOMALI wameanza kuteka WaTALII na KUUA wakenya OVYO?
Na majibu Ya Maswali Hayo Ni mepesi sana.
KENYA NDIO IMEANZA USHARI NA kujifanya Wao ni HEROS watakao IKOMESHA Somalia.
NA hili wote tunafahamu kuwa ni SHINIKIZO kutoka nchi za MAGHARIBI!
Kenya Hawana BALLS za Kuingia Somalia Peke yao.
ISRAEL , USA na UK Ndio Commanding officers wa Hii Issue yote. Na wakenya walivyokuwa na Akili Nzito BADALA YA KUONA BAlaa zinazowatokea na KUKATAA KUJIHUSISHA NA HUU UJINGA. Wameingia KICHWA KICHWA!
Wakenya Wasipo amka sasa. Damu nyingi za wanyonge Zitamwagika SANA.