TISS inahitaji kutrain kenyans secret services, licha ya msaada kutoka mi5 na mossad, bado wanashindwa kufanya kazi zao ipasavyo. hadi wanafanya exjud. killings
Hiyo ni principle popote pale duniani, Viongozi washawishi ''spearheads'' huwa wanauliwa tu kwa ajili ya usalama wa taifa. Kwa nafasi zao hawa masheikh wana influence kubwa sana katika ushawishi. Niliwahi kumsikia Shekhe Rogo na Makaburi, wanaweza wakawa si magaidi ila matamshi yao yana impact kubwa sana katika vita dhidi ya Ugaidi.
Kwa hali ilivyo ili kushinda vita dhidi ya al shabab lazima Kenya itumie extreme measures.....