Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka nayo suluhu ya bila bao katika mechi ya marudiano leo.
Katika mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo huko Congo Brazaville, timu hizo zilitoka sare ya 1-1. Kwa maana hiyo Al Merrikh inasubiri kukipiga na mojawapo kati ya Yanga na ASAS ya Djibouti. Je Yanga itatoboa na ikitoboa itaitoa Al Merrikh ili iweze kuingia makundi?