Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Al Merrikh sio timu mbovu na Sudan hakuna vita, si ndiyo?
Sio baadaye waanze kusema Wale ni vibonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Al Merrikh sio timu mbovu na Sudan hakuna vita, si ndiyo?
😂😂 Unadhania kwa hali waliyonayo faraja wataipatia wapi Mkuu?Mashabiki ya simba yanapenda kuzungumzia habari za Yanga
Kwa hiyo Al Merrikh sio timu mbovu na Sudan hakuna vita, si ndiyo?
R. I. P Utopolo, safari yenu imefika tamati.Mashabiki ya simba yanapenda kuzungumzia habari za Yanga
Kuna watu bado wanaamini eti Yanga haiwezi kuzitoa timu za Waarabu! Wamesahau ni msimu uliopita tu Club Africains ya Tunisia ilitolewa kwenye uwanja wake wa nyumbani!!Watabondwa kama wenzao kcmc
Hilo neno KUKANDWA msipende kulitumia. Maana historia imeonesha mlipolitumia neno hilo mkaishia KUKANDWA na KibudeeHamkawii kusema Yanga kapangwa na kibonde.
Kwa Kikosi tulichonacho waandike maumivu tu kwani tutawakanda vizuri.
Hamumjui zwazwa na max singeli.
Ha ha ha utarogwaYanga wana max singeli na ZUZU [emoji23][emoji23]
"Wananchi" wameshaandika maumivu!!Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka nayo suluhu ya bila bao katika mechi ya marudiano leo.
Katika mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo huko Congo Brazaville, timu hizo zilitoka sare ya 1-1. Kwa maana hiyo Al Merrikh inasubiri kukipiga na mojawapo kati ya Yanga na ASAS ya Djibouti. Je Yanga itatoboa na ikitoboa itaitoa Al Merrikh ili iweze kuingia makundi?
Yanga ni demu wetu lazima tumuongeleeMashabiki ya simba yanapenda kuzungumzia habari za Yanga
Au tumuulize Simba[emoji1]Muulize KMC
Kwan mara ya mwisho kwa yanga kufika walau group stage ya CHAMPION LEAGUE YA AFRIKA NI LINI?Hamkawii kusema Yanga kapangwa na kibonde.
Kwa Kikosi tulichonacho waandike maumivu tu kwani tutawakanda vizuri.