Al Merrikh keshatoboa huko, Yanga itaitoa kuingia makundi?

Kwa hiyo Rwanda ndiko Wasudan wameamua kuwa kwao?
 
Ongezea sauti hatujasikia vizuri
 
Nawakumbusha tuu
 
Hawa ndiyo wazuri wa kuwapiga 5 au 4 maana hawakamii na kucheza rafu Kama wale wengine hapo ni kuonyeshana ufundi wa Mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…