Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hiyo ni maana moja kati ya nyingi...Ila origin ya alama hiyo (Rod of asclepius) ni imeanzia huko Ugiriki..Greek Health Mythologies..Ila sijakuelewa unamaanisha nini, umeandika kwa kifupi sana, scenario, unamaanisha mazingira au maana nyingine, wengine kiswangilishi kinatupita mbali.
Kimombo hicho jose,The son of Apollo and the human princess Coronis, Asclepius is the Greek demigod of medicine . ... The Greeks regarded snakes as sacred and used them in healing rituals to honor Asclepius, as snake venom was thought to be remedial and their skin-shedding was viewed as a symbol of rebirth and renewal.Mar 9, 2011
Mbona anaulimi mbele... Nyie wenyewe hamjui mambo mengine waaachien wenye dunia yaoyule sio nyoka, ila ni mnyoo.
Mnyoo huo hupatikana Guinea,
anaitwa Dracuncula.
Mnyoo huyu akikuingia mguuni, hana dawa, huwezi kumuua.
Kumtoa ni shughuli pevu.
....Na mimi niliwahi kuelezwa hivyo kuwa ni Drancuculus Medinensis, ambaye huishi kwenye maeneo yenye maji, na huambikiza kupitia mayai yake ambapo baadae mnyoo huo hutotolewa na kukaa chini ya ngozi , mara nyingi hushambulia miguu. Hufanya kidonda na kumtoa watu hutumia kijiti, kumviringisha mnyoo ktk kijiti na kumvutia nje, kama anavyoonekana kwenye nembo ya Muhimbili.But, wapo wenye mawazo tofauti kuwa nyoka amekuwa akitjwa katika simulizi za kale kama kiumbe ambae alikuwa akisaidia katika tiba......