Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

Yani unaichukulia JF kuna watu wataingia mkenge. Nyinyi ndo mna zile channel zinazoandika 'Ijue siri ya Diamond kukongoroka' kisha ukifungua unaona longolongo. 'Ona joka kubwa lilivyoua' ukifungua tu unaona kanyoka kadogo kanameza panya.
 
Hii kitu imeshaandikwa sana tu hapa JF; sijuhi ulikuwa wapi?
 
Nyoka ni ishara ya Kibisa, google utaelewa.
 
kwani we huna nyoka katikati???
 

Nyoka ni alama ya uponyaji na dawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Nadhani hiyo symbol inaitwa Rod of Asclepius


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Sio WHO peke yake ambayo ina logo ya nyoka zipo nyingi tu hapa Tanzania mfano organization zinazohusiana na afya ya binadamu na wanyama huwa zina hiyo logo ya nyoka
Pharmacy pia zina hiyo logo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
 

Attachments

  • B5691DF3-CD35-4659-9506-C4A3660503F6.jpeg
    24.8 KB · Views: 3
  • 17E6613B-5ED0-4746-B53B-4C3C3E364BD5.png
    9.2 KB · Views: 3
  • 1AB0E001-A67E-4CD9-A8CC-7B88F536D169.jpeg
    35 KB · Views: 3
  • 676BE1AA-1894-4340-A406-26090E18D71B.jpeg
    36.7 KB · Views: 3
  • 29136C2C-02B2-4084-8360-E03D671C93C7.jpeg
    11.9 KB · Views: 3
  • A6F8717E-0677-4C20-829B-45B31F894F2F.jpeg
    8.3 KB · Views: 3
  • 04FCA64D-698F-4E43-9D10-16FBE8AAAFC5.jpeg
    25 KB · Views: 3
  • FD1749B3-4DDC-4ACB-8447-A6C3C0CE8D04.jpeg
    18.7 KB · Views: 3
  • AAA3980C-B776-448F-841A-43D1E438BB63.jpeg
    4.6 KB · Views: 3
  • 649649A3-2186-4E97-9325-122665113D78.jpeg
    26.7 KB · Views: 3
  • 1A672151-F6A2-431B-93E4-C3F2C3BAEE31.png
    9.7 KB · Views: 3
Logo zote za afya huwa hivyo Kama miatano za zamani ilikuwa na nyoka afu palikuwa na ule ukumbi wa nkurumah pale mhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…