Kwani wakishua ndio wana mikono ya kibinti?Mimi ni wa kishua mkuu🤣🤣🤣
Sasa kama hatufanyi kazi ngumu hiyo mikono migumu itatokea wapi?Kwani wakishua ndio wana mikono ya kibinti?
Nani alikwambia wasio wa kishua wote wanafanya kazi ngumu?Sasa kama hatufanyi kazi ngumu hiyo mikono migumu itatokea wapi?
Unatabia za kihaya sana mzee wa chura🤣🤣🤣Sasa kama hatufanyi kazi ngumu hiyo mikono migumu itatokea wapi?
Ni ukweli kwa 100%, mwenye alama M mkononi huwa wanakuwa na bahati Sana kimaisha, hata Kama atateseka vipi, hila Kuna siku atatoboa tu kimaisha.
Umegundua nini blaza?Mimi ninayo na nina akili kubwa na za ajabu sana, kwani mpaka sasa hivi nimefanikiwa kugundua mambo makubwa sana.Imagine juzi nimegundua time katika universal model.
View attachment 2370527View attachment 2370528View attachment 2370529
Kwahiyo we uko maisha lain!! Kwa kiganja iko mhhh
Huu mguu yaani kanyagio, au kiganja cha mkono ?Hiyo si M au
Ni kweli nina group o la damuMost of them wako group O la damu pia
[emoji28]niko nayo lakini ambo yangu ni alfu ulela
Element ya Time katika universal model.Umegundua nini blaza?
Kama tunafanana vile.Kuna maisha nayaona Kwa kweli nakubaliana, kwenye upande wa akili, kichwani pangu si haba, lakini pia usirogwe unidanganye.
Nina nguvu ya macho nilitaka mwanamke nikimtazana Kwa namna ya kumvuta, kukazia flan nikimuita atakuja na appointment itaoangwa na nitakula.
Kasoro yangu Sina nidhamu ya pesa. So kuukata kimaisha hii inawezekana ni sababu kuu. Sina roho mby kukupatia cash usolve ishu zako.
I love my damned Demi🤗🤗🤗Mliotuma picha za viganja vyenu nachukua hizo picha napeleka kwa mganga, bahati zenu zote zinakuja kwangu
Huo mkono.....mhhhh au basi