Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
[ATTACH type=
Je wajuwa unapotaka kuchanganxa dini na siasa lazima utafeli kwani. kuna watu wanamaono wanajuwa mpaka unachofikiri kwa hili hatujakuelewa unasfma ukiwa timamu au unamkana mpaka yesu kweli.