Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

Nakutaka wewe, una hips, na ukipaka lipstick unapendezaa
Mimi siyo basha mkuu, situmii hiyo kitu, imani yangu na utu wangu hauniruhusu kukufanyia hayo. Hakuna imani au dini yoyote iwe Ukristo au Uislam inayoruhusu wew kufanyiwa hayo. Sali sana kwa imani yako hilo pepo litakutoka na utakuwa mwanaume kamili tena. Wapo wengi walikuwa wanafanyiwa hayo lakini walipona. Pole aisee kwa changamoto
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.

[ATTACH type=
Je wajuwa unapotaka kuchanganxa dini na siasa lazima utafeli kwani. kuna watu wanamaono wanajuwa mpaka unachofikiri kwa hili hatujakuelewa unasfma ukiwa timamu au unamkana mpaka yesu kweli.​
 
Back
Top Bottom