Hakuna Mwanajeshi atafanya usafiNgoja tuone
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo...
It looks like it !Mama kawaambia waacheni waandamane…
Huyu nae ni kiongozi? Kazi ipo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo.
Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari ambapo amesema Jeshi la Polisi ndilo lenye kutoa kibali cha maandamano.
Ni pale na wao watakapoamua kuingia kwenye maandamano.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo.
Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari ambapo amesema Jeshi la Polisi ndilo lenye kutoa kibali cha maandamano.
Chamila siamini kama ana akili timamu

kinaweza kisiitwe kibali,ila kikaitwa green light.Kama Chalamila amesema hivyo basi huenda huyu ndiye mkuu wa mkoa mwenye uelewa mdogo kuliko wote!
Yaani mkuu wa mkoa hata hajui sheria. Tangu lini polisi wanatoa kibali? Ni sheria gani inayosema Polisi huwa wanatoa vibali kwa wanaotaka kuandamana?
Sheria inasema Polisi watapewa taarifa angalao si chini ya masaa 48 ili kuandaa ulinzi, siyo kutoa kibali.
"Polisi kuzuia maandamano kwa sababu za kiusalama baada ya kupewa taarifa."Kama Chalamila amesema hivyo basi huenda huyu ndiye mkuu wa mkoa mwenye uelewa mdogo kuliko wote!
Yaani mkuu wa mkoa hata hajui sheria. Tangu lini polisi wanatoa kibali? Ni sheria gani inayosema Polisi huwa wanatoa vibali kwa wanaotaka kuandamana?
Sheria inasema Polisi watapewa taarifa angalao si chini ya masaa 48 ili kuandaa ulinzi, siyo kutoa kibali.
Zero brain yuleChamila siamini kama ana akili timamu
Amefanikiwa kwa njia za ushirikina tupuZero brain yule