Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya