Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Yeah iko vizuri
Nimeshangaa piaAlbam nzima sijamuona rafiki yake mpendwa Stamina kulikoni
Mixing mbovu, sijui alikua na haraka ganiView attachment 3013561Album ina nyimbo nzuri kweli kajitahidi..