Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Hakuna kulazimishana ktk dini,
The Verse:--"You (true Muslims) are the best of peoples ever raised up for mankind." means, the best of peoples for the people, as you bring them with chains on their necks till they embrace Islam. Sahih al-Bukhari 4557
 
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.

Allahu Akbar.

View attachment 2695851

View attachment 2695852
Muulize Alex Massawe, ataacha kula kiti moto? Hawezi asilani kuacha, hivyo kuslim ni kwenye camera tu, tabia ziko pale pale kwa asilimia kubwa.
 
Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia...
Ukimaliza kutuma hizo aya sasa utasema unashida gani au unahitaji nn
Hujazielewa
Unahitaji ufafanuzi
Unazipinga
Unaogopa au nn tatzo
 
Kama kweli Alex ni mtu Safi Kama alivyomuaminisha FaizaFoxy , arudi Tanzania.
Aliyoyafanya anayajua Sasa anakaribia kufa anatapatapa.
FaizaFoxy ogopa Sana MTU mwenye damu mikononi mwake. By the way, ulishamwona polisi au MTU yoyote mwenye damu mikononi akikaribia kufa?
Watch this space....
 
Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia...
Mkoa wa Pwani karibia washirikina wote ni waislamu na wanakwenda masjid na kufunga Kama kawaida.
 
Huyu jamaa si alikamatwa dubai march 12 2021 na interpor?akitokea south africa?respect maana kama mpaka alikamatwa na interpol na akachomoka maana yake ni kwamba ana mkono mrefu ndan ya serekali(ccm)!
 
Nimecheka sana

Kwa wanaojua uzushi wa huyu mzee

Kama kweli kamfata Allah na ameamua kuacha mambo ya ajabu ajabu basi heri [emoji1]
Lakini mhhh

Ova
 
Huyu dada kumbe hamnazo kiasi hiki na ufia dini wake ?

Unawezaje kujaribu kuipaisha dini yako kwa vile imeungwa mkono na mmoja wa watu wenye sifa mbaya kuliko wote kwenye jamii ?
 
Sasa wewe shida yako ni nini?

Na kipi ambacho huku elewa?
Kusema kwamba kama Mungu angekuwepo kungekuwa na dini moja tu ya Mungu ukimaanisha kwamba hakuna Mungu ndio maana kuna dini nyingi.

Shida yangu ipo hapo.
 
Huyo atatapeli au kuiba huko misikitini ndo mtajua hamjui.
Tuko hapa kungoja matokeo😏
 
Huyu dada kumbe hamnazo kiasi hiki na ufia dini wake ?

Unawezaje kujaribu kuipaisha dini yako kwa vile imeungwa mkono na mmoja wa watu wenye sifa mbaya kuliko wote kwenye jamii ?
Katazame sifa za aliokuletea Ukristo, paulo. uje useme sifa zake ni zipi na mbona unamfata mpaka leo?

Sifa mbaya zote anazo yeye, alikuwa muuwaji, muongo, mwizi, kambazi, nahisi hata kulawitiwa. Mbona hilo hulioni? Na mpaka leo mnaendelea kuufata uongo wake, hakuwa mtume na kampinga Yesu wazi wazi na kazipinga sheria zote za Musa (Mosaic laws), vipi nyinyi majuha nini?

Massawe kasilimu, maana ya kuwa Muislam ni kujisalimisha kwa mola Muumba wetu. Na Uislam ndiyo dini pekee na kimbilio pekee kwa yeyote. Mlitaka akimbilie wapi? akimbilie kuungama kwa jambazi paulo? au akimbilie kuungama kwa mapadri na maaskofu mashoga?
 
Huyu jamaa si alikamatwa dubai march 12 2021 na interpor?akitokea south africa?respect maana kama mpaka alikamatwa na interpol na akachomoka maana yake ni kwamba ana mkono mrefu ndan ya serekali(ccm)!
Hilo silifahamu na wala siwezi kulijibia. Ninalolifahamu ni hilo lililopo post namba moja na ushahidi wa video clip.
 
Kama kweli Alex ni mtu Safi Kama alivyomuaminisha FaizaFoxy , arudi Tanzania.
Aliyoyafanya anayajua Sasa anakaribia kufa anatapatapa.
FaizaFoxy ogopa Sana MTU mwenye damu mikononi mwake. By the way, ulishamwona polisi au MTU yoyote mwenye damu mikononi akikaribia kufa?
Watch this space....
Suala hapa ni kusilimu.

Hivi ni lipi lingine umeliona kwenye post namba 1 alilolisema na kulileta FaizaFoxy?

Watu wengi sana wanasalimu hata wakiwa jela, hulijuwi hilo?
 
Back
Top Bottom