Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Tungesikitikia sana, mtu anaetoka kwenye nuru na kuingia kizani.
Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia...
 
Huu uzi siyo wa mada za "kesi zake".

Hapa ni mada ya AM kashahadia na kawa Muislam kwa ushahidi kabisa.
Mwislaamu unatakiwa uwe msafi ndani na nje, kwenye nuru hadi kwenye giza,siyo kwenye nuru tu unaonekana msafi kumbe gizani ni mchafu hatari hadi siku moja Mungu anaamua kukumbua!!
 
Mimi mwenyewe Ni Mungu ukibisha let's ushahidi Kama Mimi sio Mungu
 
Kama Allah ndio anajua zaidi mlete hapa ajibu maswali yeye mwenyewe
 
Mwislaamu unatakiwa uwe msafi ndani na nje, kwenye nuru hadi kwenye giza,siyo kwenye nuru tu unaonekana msafi kumbe gizani ni mchafu hatari hadi siku moja Mungu anaamua kukumbua!!
Uislam ni mwema sana, hauendi kwa fikra za watu. Tuna Qur'an.

Ukifata watu lazima ufanywe kondoo tu.
 
Kutoka gizani kwenda nuruni sio habari kwani ni wajibu, lakini kutoka nuruni kurudi gizani ni habari kubwa na walio gizani wanashangilia kupata mwenzao
 
Hivi Salman Rushied alikuwa mwislamu wa Shia au Sunni?
Maana mwamba yule alikuwa kiboko!
Waache, hata kwenye Qouran wanasema walimsilimisha shetani, sasa kama Ibilisi ni ustaadh unamshangaa Alex?!
 
Alex anaonekana kupenda sana UISLAMU.
Iwe kheri kwake, InshaAllah Mwenyezi Mungu amjalie kwenye chapter yake mpya.
 
Ndio maana matajiri ni wa chache , masikini Wengi, massawe njoo upige pesa baabaangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…