Alex Massawe abadili dini na kusilimu


Desperate religion,huo ndio ukweli.
 
Kwani nilisema Dini ndicho kigezo pekee cha kusema mimi hakuna Mungu?

Nilikuwa namjibu yule mchangiaji mmoja aliye sema kwamba dini yake pekee ndio yenye ukweli na ndio dini ya Mungu.
Hakipaswi kuwa hata kigezo kimoja wapo, wewe unasema Mungu angekuwepo basi kungekuwa na dini moja tu ya Mungu na sio dini nyingi na ndipo nikakwambia Mungu hana dini nyingi kwamba watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini.
 
Mwombeni mheshimiwa Raisi qtangaze siku ya mapumziko msherehekee ushindi huo mkubwa !!
 

Huku ndio tunaita kuharibikia ukubwani.
 
Hakipaswi kuwa hata kigezo kimoja wapo, wewe unasema Mungu angekuwepo basi kungekuwa na dini moja tu ya Mungu na sio dini nyingi na ndipo nikakwambia Mungu hana dini nyingi kwamba watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini.
Sasa wewe shida yako ni nini?

Na kipi ambacho huku elewa?
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.

DINI YA SHWETANI HII.
Sahih Muslim 2167 a
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Do not greet the Jews and the Christians before they greet you and when you meet any one of them on the roads force him to go to the narrowest part of it.
حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الْعَزِيزِ، - يَعْنِي الدَّرَاوَرْدِيَّ - عَنْ سُهَيْلٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَبْدَءُوا الْيَهُودَ وَلاَ النَّصَارَى بِالسَّلاَمِ فَإِذَا لَقِيتُمْ أَحَدَهُمْ فِي طَرِيقٍ فَاضْطَرُّوهُ إِلَى أَضْيَقِهِ ‏"‏ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2167a
In-book reference : Book 39, Hadith 16

[emoji56][emoji56][emoji134][emoji12]
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Vipi wale wazee wetu walioishi kabla ya ujio wa hizi Imani katika nchi za kiafrika?
Au zile jamii za wawindaji ambao bado wanaishi kama binadamu wa kale?
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
😀😀😀😀😀😀😀😀 duh…..
 
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.

Allahu Akbar.

View attachment 2695851

View attachment 2695852
Hata akibadili Dini, mwambie Jinai haifi hata akiwa na Miaka Mia kizimbani atapandishwa tu muda ukifika! Kuna Wazee wawili wa miaka karibu 75 huko Tanga wamepandishwa Mahakamani kwa makosa ya Kugushi na kujipatia Mali kwa njia ya udanganyifu, na hilo kosa walifanya miaka 15 iliopita lakini hatimae Mwaka 2023 baada ya uchunguzi kukamilika wameshitakiwa! Kwa hiyo Alex bado muda wake haujafika na ukifika tu lazima awajibike!(Jinai haifi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…