Yule jambazi mkuu? Hongera zake huenda kesi zake za ujambazi na uuaji zikafutwa na awamu hizi DPWAlex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
How do you know? Scientically, biologically? Proof please.Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Hakika dini mbele ya Allah ni IslamAlex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
View attachment 2695852
Alikimbilia nje akiwa anasakwa na polisi kwa udi na uvumbaAllahu Akbar
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Kwahiyo Yesu na Jesus ni watu wawili tofauti????????Yesu ni Yesu na isa ni isa, Yesu hajawahi tamka neno lolote ndani ya Quran, isa kstamka mengi tu ndani Quran
Acha kuhariri aya za Quran na kuingiza jina la Yesu
Yesu kwa kiarabu sio isa, unalijua hilo au mpaka ufundishwe lugha ?Jesus-kingereza
Yesu-swahili
Issa-arab
Kwahiyo umehama kwenye mada unatak unifundishe arabic???Yesu kwa kiarabu sio isa, unalijua hilo au mpaka ufundishwe lugha ?
Cha kushabikia kitu usichokijua.
Endelea kunywa kvantSema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Mnalishana matango pori na kukaririshwa kwa bakora madrasa.[emoji56][emoji15]Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Na peponi kwa sana ni mito ya ulevi hupimiwi.[emoji38][emoji38][emoji38]Endelea kunywa kvant
Endelea na ngumbaru kijana wengine tulishahitimu elimu ya juu, utaelewa kila kitu siku ukihitimu.Kwahiyo umehama kwenye mada unatak unifundishe arabic???
Haya nipo hapa nakusikiliza nifundishe ukimaliza ujibu swali Unamjua Yesu haumtambui Jesus
sasa jichanganye nenda nchi nyingine uulize kuhusu yesu usikilie hilo jina kama wanamjua kwa ilo jina
Huku pesa hakuna,, nani wa kukupa wewe pesa huku mazinge au shekhe ponda?Ahaaa kuna kitu anakitafuta pesaa
MaJaMbawazi yote ni maislamSema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Wapo Waarabu kibao Wakristo, Wayaudi, Wazoro na Wabudha.Sema hivi kila Mwalabu huzaliwa akiwa mwislamu na siyo kila binadamu huzaliwa akiwa mwislamu