Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ndugu zetu wanafanya jambo kubwa na Takbir nyiiiingi ila wala siyo storyAta kuna waislam wengi wanabadili dini leo kuja ukristo na hatusem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zetu wanafanya jambo kubwa na Takbir nyiiiingi ila wala siyo storyAta kuna waislam wengi wanabadili dini leo kuja ukristo na hatusem
Ndio maana nimekwambia hatuna mtu anaitwa Isa ambae Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruniTunaposema ni yeye lichakutajwa kwa majina tofauti tunazingatia ufanano wa matukio muhimu na historia yake kama inavyoelezwa ktk vitabu tofauti vya Mwenyezi Mungu mfano
1.Kuzaliwa kwake pasina mamaake kuguswa au kuingiliwa na mwanaume
2.jina la mama yake
3.baadhi ya miujiza yake aliyokuja nayo etc
Kuna kitu umeongea hapa, nimekihisi kwa muda sasa na hapa naanza kuaminiWe mama unatafutaga nini sijui, hii taarifa yanini sasa?
Watu wakikufata PM uwaelimishe kuhusu dini yako waslimu hujibu PM zao.
unawafungulia mpka na uzi kuwasuta wewe sio msikiti.
ila wenye pesa zao wakihamia uislamuni kimbelembele kufungua UZI.
Lengo lako hasa hata silielewagi hapa JF maana huburudishi bali unakera.
hapo utasema haupo JF kumfurahisha mtu, Fine basi pia usikere watu.
Mi sazingine nahisigi wewe ni ka mama samia ila hapana mama samia ana hekima sio ropo ropo na baguzi kama wewe.
Kwanza kabisa inakubidi utambuwa Mwenyezi Mungu ndio muumba wa viumbe vyote, pia ameumba ardhi na mbingu pamoja na vilivyomo,Muhammad alisema devil (shetani) wake kutoka majini anamshauri mema na ni muislamu,
Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good saḥīḥ Muslim 2814
Kwahiyo unamkana bikra Maria mama wa mungu wenu humjui???Ndio maana nimekwambia hatuna mtu anaitwa Isa ambae Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruni
Biblia nzima hakuna ,biblia ina
Amram , Musa , haruni na Miriam
Apo ndipo pedophile Muhammad alichemka
Hao wazazi wake inakuwaje na wao wasibaki kwenye dini ya asili hadi kupelekea uasi?Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwa sababu kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Shetani wa muhammad anamshauri kufanya memakwenda kinyume na maamrisho ya muumba wao kundi hili sasa ndilo wanaitwa mashetani ambao wamelaaniwa yaani wapo mbali na rehema za Allah na kiongozi wao ni Ibilisi.
Hakuna Cha biblia ipi acha kubadili mada kijingaAlafu unavyosema biblia nzima hakuna hayo majina unaongelea biblia ipi??
Sasa haujaelewa nini ndugu yangu,Shetani wa muhammad anamshauri kufanya mema
Muhammad alisema devil (shetani) wake kutoka majini anamshauri mema na ni muislamu,
Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good saḥīḥ Muslim 2814
Nimekwambia biblia haina mtu anaitwa Issa ambae Babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruniAlafu unavyosema biblia nzima hakuna hayo majina
Unazunguka sasa mwisho unarudi pale pale,Hakuna Cha biblia ipi acha kubadili mada kijinga
Biblia haina mtu anaitwa Isa babu yake ni Imran na mjomba ake ni haruni
Biblia Ina Imran baba yake Musa ,haruni na Miriam
Pedophile Muhammad alichanganya madesa kwenye jina la Miriam na Mariam akajua ndio huyo wakati anatunga story zake za Isa
Mara zote Habari Kubwa huwa ni mtu kumng'ata mbwa, ila mbwa akimg'ata Mtu hiyo hiyo ni habari ya kawaidaAlex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
View attachment 2695852
Waislamu atawaweke upanga shingoni sipo tayari kujiunga na cult ya majini na wabusu jiweBado ww nakuombea allah akuongoe uihue haki usilimu kabla hujafa in shaa allah
Bado sijaelewa huyo shetani ndio nani au ni nini? Hebu nisaidie kuelewa hapo mkuu.Mummad hajakijibu ukaridhika
Shetani uyu apa anamshauri mema pedophile Muhammad
Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good saḥīḥ Muslim 2814
Hata kwa BakhresaAhaaa kuna kitu anakitafuta pesa
Haya kama hutaki endelea kubaki hukoWaislamu atawaweke upanga shingoni sipo tayari kujiunga na cult ya majini na wabusu jiwe
Koran 4:89. Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Allah. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidiziHaya kama hutaki endelea kubaki huko
Hakuna kulazimishana ktk dini, aliyetuuma ametuoa hiari itakuwa mm nikulazimishe kweli,
SwadaktaKoran 4:89. Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Allah. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi