Simba ameanza kufungwa na Yanga miaka zaidi ya 60 iliyopita na imepita vizazi vya Viongozi na wachezaji wengi tofauti.
Tangu Rage akiwa mchezaji naye kakuta inafungwa na Yanga mpaka Rage Kawa Kiongozi na Sasa mwanachama Bado Simba ni kibonde wa Yanga.
Sasa wewe mbumbumbu wa juzi tu una shangaa Simba kufungwa na Yanga?
Kaduguda aliyewahi kuwa boss wa Simba na katibu wa FAT anasema Simba inapokwenda kucheza na Yanga inabidi waende kwa Adabu kwelikweli ata wakicheza wazee wa Simba na Yanga inabidi kuwe na Heshima ndipo Simba ipate matokeo.