Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Umeshawadindikiza Jwaneng Mr🐸?AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshawadindikiza Jwaneng Mr🐸?AKILI ZIMEANZA KUWARUDI
Mkuu umeadimika sana humu.Mimi binafsi nilikuwa mpenzi na shabiki wa simba.
Niliamua kuachana na Ushabiki unazi na Uanachama kwasababu kadhaa wa kadhaa.
SIMBA INAZIDI KUPOROMOKA SIKU HADI SIKU.
WACHEZAJI WENGI NI WAZEE.
WACHEZAJI WENGI NI MAGALASA.
SAJILI ZIMEJAA 10%
MUWEKEZAJI NDIO CHIZI KABISA
Achana naye makota huyo! Hajui lolote atakupotezea muda tu na kukuzidishia hasira upoteze furaha yako Kwa ajili ya huyo hayawani!Kwa hyo ulitaka simba apangiwe kundi lipi ambalo wewe unaona lilikuwa ni gumu?