Alexander mkuu alivyotabiriwa na Biblia kwa usahihi

Hoja kwamba Dead Sea Scrolls hazithibitishi kuwa Daniel alikuwapo au hakukuwa mwandishi wa karne ya 6 KK ni hoja dhaifu sana, na nashangaa umeishikilia huna uthibitisho wowote,.

Nakala za Qumran (karne ya 3–2 KK) zinathibitisha wazi kuwa kitabu cha Daniel kilijulikana na kiliheshimiwa kama kitabu cha unabii muda mrefu kabla ya karne ya 2 KK, ikimaanisha maandiko haya yalikuwa yameandikwa mapema zaidi ya 2KK uliyoishililia , pia yamehifadhiwa, na yamekuwa sehemu ya imani ya Kiyahudi mapema zaidi.

Hii inapingana kabisa na kudhani kuwa kitabu kilitumika kupanga au kuandika matukio ya mbele kwa kubahatisha , maana maandiko yalikuwa tayari yamefungwa na kuenea katika jamii ya Kiyahudi.

Ni wazi huzijui Dead sea scrolls zilivyo, lugha yake tu ni ya kipindi cha 500BC

Kuna wapingaji kuliko wewe ,walipoenda kuzifanyia research walikiri na kubadilika na kumfuata Kristo ,
View attachment 3443471

Pili, hoja kwamba Dead Sea Scrolls hazina “mlolongo wa uthibitisho” haiwezi kupinga uwepo wa Daniel.
Maandishi haya yanathibitisha ueneaji na umuhimu wa kitabu, na ni vigumu kuona jinsi mwandishi wa karne ya 2 KK angeweza kuunda Aramaic na Kiebrania halisi cha karne ya 6 KK,(580sBC) akieleza majina, nafasi za kifalme, na matukio ya kifalme cha Babeli na Medo-Persia kwa usahihi kama Daniel alivyoeleza.

Ushahidi huu wa kina hauwezi kutengenezwa kwa urahisi kama unavyokazania ,ndio maana nasema wewe huzijui DEAD SEA SCROLLS

Kitabu kinaonyesha alikuwapo mtu aliyeshuhudia matukio haya, na unabii wake kuhusu uharibifu wa Yerusalemu (70 CE) unathibitisha kuwa si hadithi ya baadaye bali maandiko yaliyo halisi, na ni unabii uliothibitishwa kihistoria.

Ikiwa Daniel hakuwapo, ni kwa jinsi gani maandiko ya Qumran yangeweza kuunda Aramaic na Kiebrania halisi cha karne ya 6 KK na kueleza majina na nafasi za kifalme kwa usahihi?

Kabla ya uharibifu wa Yerusalemu mwaka 70 CE, nani angeweza kuandika unabii kuhusu matukio hayo ya baadaye kwa usahihi wa kihistoria?
Unafanya logical non sequitur fallacy.

Yani unasema Dead Sea scrolls zinathibitisha Daniel alikuwapo na aliandika kitabu cha Daniel.

Kimsingi kitabu cha Daniel kinachobishiwa kuwa kimeandikwa na Daniel, ndiyo unakitumia kuthibitisha Daniel alikuwapo na kakiandika hicho kitabu.

This is circular logic. Unataka ku prove Daniel alikuwapo kwa kutumia kitabu ambacho kimewekewa shaka kwamba kimeandikwa na Daniel.

Unasema kitabu kilikuwapo na kiliheshimiwa kwa miaka mingi.

Kwanza hili halithibitishi Daniel alikuwapo.

Pili halithibitishi kitabu kilibaki vilevile.

Vitabu vya Biblia vimekuwa vikibadilishwa miaka nenda rudi.

Sasa unahakikishaje kitabu kilikuwepo vile vile miaka yote?

Let me be generous and grant you some controversial points, just for the sake of argument, for immanent critique.

Unaandika mambo ya Aramaic, yote hayo bado hayathibitishi Daniel alikuwapo. Inawezekana kitabu kikaandikwa kwa Aramaic nzuri na mambo mengi yakajipanga sawa bila muandishi kuwa Daniel.

Hujathibitisha Daniel alikuwapo na aliandika kitabu cha Daniel around 600 BCE.

Hii ndiyo point yangu ya msingi.

Unaleta mambo mengi sana ambayo yote hayathibitishi Daniel alikuwapo na aliandika kitabu around 600 BCE.

Sasa Aramaic ikijipanga vizuri hilo linathibitishaje ni Daniel aliyeandika around 600 BCE?

Mlolongo wa wafalme ukikaa sawa hilo linathibitishaje kitabu kimeandikwa na Daniel around 600 BCE?

Mpaka sasa nimekutaka utoe uthibitisho Daniel alikuwapo na aliandika kitabu cha Daniel around 600 BCE.

Simple request.

Hujaweza kuthibitisha.

Unaleta longolongo nyiingi tofautii kabisa.

Ooh, historia imekaa sawa. Haya. Hata kama imekaaa sawa, hilo halithibitishi Daniel aliiishi na aliandika kitabu cha Daniel 660 BCE.

Ooh, lugha imekaa sawa. Hata kama imekaa sawa, hilo halithibitishi Daniel aliishi na aliandika kitabu cha Daniel around 600 BCE.

Ooh, list ya Wafalme imekaa sawa.

Hata kama imekaa sawa, hilo halithibitishi kuwa Daniel aliandika kitabu cha Daniel around 600 BCR

Ooh, utabiri wa kuanguka kwa Jerusalem umekaa sawa.

Hata kama umekaa sawa.
Hilo halithibitishi kuwa Daniel aliishi na aliandika kitabu cha Daniel around 600 BCE.

Toa uthibitisho wa kihistoria kuwa Daniel aliishi na kuandika kitabu cha Daniel around 600 BCE.

Hujaweka uthibitisho huu.

Unaweka hoja za non sequitur fallacies tu ambazo hazithibitishi Daniel aliwahi kuishi muda wowote.

Inaonekana una nia ya kutetea dini yako kuliko kutafuta ukweli kimantiki bila kujali dini.

Wewe ni mfia dini unayekataa hoja za kimantiki kwa sababu unataka kutetea dini yako tu.
 
Je, ni kwa njia gani mwandishi wa karne ya 2 K.K. angeweza kuunda unabii wa kuanguka kwa Yerusalemu 70 AD kwa usahihi wa kihistoria?

Je, ni kwa namna gani mtu asingejua historia ya kifalme ya Babeli na Medo-Persia angeweza kuandika nafasi halisi za kifalme, ustarabu , na matukio?
 
Mkuu,

Thibitisha Daniel aliishi 600 BCE.

Swali lako halina maana.

Kwa sababu, hata kama muandishi wa karne ya 2 BCE hawezi kutabiri kuanguka kwa Jerusalem 70 AD, hilo halithibitishi Daniel alikuwapo, hilo halithibitishi Daniel aliishi 600 BCE, hilo halithibitishi Daniel aliandika kitabu cha Daniel around 600 BCE.

Thibitisha Daniel alikwapo, thibitisha Daniel alikuwapo 600 BCE.

Yani hata kama kitabu kimetabiri anguko la Jerusalem sawasawa, huo utabiri hauthibitishi Daniel alikuwapo, huo utabiri hauthibitishi Daniel ndiye aliyeandika utabiri huo, hilo halithibitishi Daniel aliandika utabiri huo around 600 BCE.
 
Mimi nitaendelea kukuuliza maswali ,maana umegoma kuyajibu

Je, ni kwa njia gani mwandishi wa karne ya 2 K.K. angeweza kuunda unabii wa kuanguka kwa Yerusalemu 70 AD kwa usahihi wa kihistoria?

Je, ni kwa namna gani mtu asingejua historia ya kifalme ya Babeli na Medo-Persia angeweza kuandika nafasi halisi za kifalme, ustarabu , na matukio?
 
Mimi nitaendelea kukuuliza maswali ,maana umegoma kuyajibu

Je, ni kwa njia gani mwandishi wa karne ya 2 K.K. angeweza kuunda unabii wa kuanguka kwa Yerusalemu 70 AD kwa usahihi wa kihistoria?

Je, ni kwa namna gani mtu asingejua historia ya kifalme ya Babeli na Medo-Persia angeweza kuandika nafasi halisi za kifalme, ustarabu , na matukio?
Maswali yako ni non sequitur logical fallacy. Hayatusaidii kujua kama Daniel alikuwapo 600 BCE au alikuwapo at all. Kwa jibu lolote utakalopewa maswali yako hayasaidii kuthibitisha Daniel alikuwapo.

Kwa sababu, ikiwa muandishi wa karne ya 2 BCE anaweza au hawezi kutabiri, majibu yote, akiweza au asipoweza kutabiri, hayathibitishi Daniel aliwahi kuwepo na aliishi 600 BCE.

Tuseme muandishi wa karne ya 2 BCE hawezi kutabiri mambo ya 70 AD, suala hilo linathibitisha vipi Daniel aliwahi kuwapo na aliishi 600 BCE na ndiye aliandika utabiri huo 600 BCE?

Tuseme haiwezekani mtu asiyejua historia ya falme hizo angeweza kuandika historia za falme hizo, ustaarabu na matukio.

Habari hii inathibitisha vipi Daniel alikuwapo, aliishi 600 BCE na aliandika kitabu cha Daniel 600 BCE?

Thibitisha Daniel aliishi, thibitisha Daniel alishi around 600 BCE.

Huelewi wapi?

Mayu
 
Mpaka sasa hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha kuwa Daniel aliwahi kuishi around 600 BCE au katika muda wowote ule.

Hakuna uthibitisho huo.
 
Back
Top Bottom