Alexander mkuu alivyotabiriwa na Biblia kwa usahihi

Pangilia hoja halafu njoo

Ndio maana hata Kuna mtu alikwambia hapo summerize ,

Kama vitabu hata Mimi ninavyo vingi sana

Nikisema nipachike tu ,huo ni mjadala au ?

Ni wazi kwanza umeshindwa hoja ,nilitegemea nilipokujibu pale ,uje ku Pinga zile hoja,

Cha ajabu umekuja kupachika likitabu maelezo ya uongo mengi

Ungeanzia pale nilipokujibu hoja ,uzikanushe moja moja kwa mpangilio ,ungeona mziki wake

Ulichofanya nakijua vzr ,na huwa napuuza nikiona mtu wa hivo, najua hana hoja Tena
Hoja ya msingi ni moja na ndogo tu.

Kitabu cha Daniel kimefanyiwa editing baada ya muda ambao kinadaiwa kuwa kimeandikwa.

Nimeisema hoja hii ukanisema nimekosa usomi.

Nikakuwekea andiko la msomi aliyetumia peer reviewed sources amezama ndani kabisa kachambua mpaka lugha, mpaka vyombo vya muziki, mpaka timeline, mpaka majina ya wafalme. Picha kinaanza unaambiwa huyo Daniel mwenyewe kuwapo kwake ni mjadala, anaonekana kuw amtu wa hadithi zaidi kuliko mtu halisi.

Uwepo wa Daniel wenyewe umewekewa swali.

Kasema kitabu cha Daniel ni forgery.

Hujajibu hoja za kisomi nilizoweka hapa.

Umehamisha mjadala kutoka hoja yangu kwamba kitabu cha Daniel ni forgery iliyofanyika baadaye sana, umefanya mjadala kuwa mimi siwezi mambo niliyoandika mwenyewe. Which is a silly ad hominem attack kwa sababu hoja ni hoja tu bila kujali nimeiandika mimi au msomi, na hata wewe unaweka maandiko ambayo hujaandika wewe.
 
Kwamba una hoja 😂

Tumekubaliana kutokubaliana ,

Unaenda unakopi likitabu la mtu ,unapachika ,wewe unaweza mijadala kweli?

Ndio maana nimesema kila la kheri
Hahahahahhah!!! msomi uchwara unamkimbia Kiranga.
 
Hoja ya msingi ni moja na ndogo tu.

Kitabu cha Daniel kimefanyiwa editing baada ya muda ambao kinadaiwa kuwa kimeandikwa.

Nimeisema hoja hii ukanisema nimekosa usomi.

Nikakuwekea andiko la msomi aliyetumia peer reviewed sources amezama ndani kabisa kachambua mpaka lugha, mpaka vyombo vya muziki, mpaka timeline, mpaka majina ya wafalme. Picha kinaanza unaambiwa huyo Daniel mwenyewe kuwapo kwake ni mjadala, anaonekana kuw amtu wa hadithi zaidi kuliko mtu halisi.

Uwepo wa Daniel wenyewe umewekewa swali.

Kasema kitabu cha Daniel ni forgery.

Hujajibu hoja za kisomi nilizoweka hapa.

Umehamisha mjadala kutoka hoja yangu kwamba kitabu cha Daniel ni forgery iliyofanyika baadaye sana, umefanya mjadala kuwa mimi siwezi mambo niliyoandika mwenyewe. Which is a silly ad hominem attack kwa sababu hoja ni hoja tu bila kujali nimeiandika mimi au msomi, na hata wewe unaweka maandiko ambayo hujaandika wewe.
Mbona huleti ushahidi sasa

Kwanza, hicho kitabu ulicholeta na kupachika How to Read the Bible: A Guide to Scripture Then and Now kimeandikwa na Dr. James Kugel, msomi Myahudi aliyewahi kufundisha Biblia katika Chuo Kikuu cha Harvard na baadaye kuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Biblia katika Chuo Kikuu cha Bar-Ilan, Israeli.

Huyo Kugel si Atheist, na hajulikani kama mpinzani wa Biblia kwa maana ya kukana kabisa Mungu.

Yeye huchambua Biblia kama kazi ya kihistoria na kiutamaduni, lakini anakubali kwamba ina mizizi ya mapokeo ya kale.

Sasa, kuna mambo kadhaa kuhusu uchambuzi wa Kugel ambayo unapaswa kujua

Kugel mara nyingi hutumia mtindo wa "source criticism" kuchanganua Biblia kwa kuigawa katika vyanzo vya maandishi. Njia hii inategemea sana nadharia na makisio (hypothesis), si ushahidi wa moja kwa moja wa kihistoria.

Anakubali kuwepo kwa nakala za kale kama Dead Sea Scrolls, lakini mara nyingi anazipuuza au huzieleza kwa mtindo unaodai kwamba baadhi ya vitabu vilipitia mchakato wa uhariri, bila kuonyesha ushahidi wa kuhariri baada ya matukio ya kihistoria yanayohusiana na unabii.

Kwenye kitabu chake hakana kwamba maandiko kama Danieli yalikuwa yakisomwa zamani kabla ya Yesu na kabla ya Alexander, kwa sababu ushahidi wa kiakiolojia (kama tafsiri ya Septuaginta iliyoanza karne ya 3 K.K.) unaonyesha hivyo.

Kwa hiyo, hoja yako kwamba Danieli huenda iliandikwa baada ya Alexander inapingwa na ushahidi huu:

Dead Sea Scrolls, Nakala za Danieli zimepatikana huko Qumran, zikiwa zimehifadhiwa kutoka karne ya 2 K.K., na zinafanana kimsingi na maandiko tunayoyasoma leo. Hii inathibitisha kuwa Danieli alikuwa maandiko yanayojulikana muda mrefu kabla ya Baraza la Nisea (325 B.K.).

Septuaginta (LXX): Tafsiri ya Kiyunani ya Agano la Kale ilianza kutafsiriwa huko Alexandria karibu na 250 K.K., ikiwa ni pamoja na Danieli. Hii ni kabla sana ya Yesu na miaka mingi baada ya Alexander kufa, ikithibitisha kwamba maandiko hayo yalikuwepo tayari.

Mapokeo ya Kiyahudi: Wayahudi wa karne nyingi kabla ya Ukristo walihesabu Danieli kama sehemu ya maandiko matakatifu (Ketuvim), hivyo haikuwa njama ya Kikristo wala ya Warumi.

Zaidi ya hayo, hoja kwamba Wayahudi walitumia "utabiri vague" kumfurahisha Alexander haina mashiko:

Unabii wa Danieli 8 sio vague, unamtaja "mfalme wa Uyunani" akishinda "Umedi na Uajemi", pembe kubwa ikivunjika na badala yake zikainuka pembe nne. Haya ni maelezo ya moja kwa moja yanayolingana na historia ya Alexander na mgawanyo wa ufalme wake.

Ikiwa ilikuwa njama ya kumfurahisha, kwa nini Wayahudi waendelee kuamini unabii huo karne nyingi baadaye, hata pale unapomtabiri pia Mpinga Kristo na matukio mengine yasiyompendeza mtu yeyote?

Kabla hujaanza kurukaruka nijibu maswali haya ili kuonesha Kuna forgery

1. Ikiwa unabii wa Danieli uliandikwa baada ya Alexander kufa, kwa nini kuna nakala za Danieli (Qumran) zilizopo karne ya 2 K.K. ambazo ni karibu kabisa na matukio hayo, na kwa nini hakuna nakala inayonyesha "toleo la awali" bila unabii huo?

2. Kwa nini Septuaginta (iliyotafsiriwa karne ya 3 K.K.) inajumuisha Danieli ikiwa haikuwepo hadi baada ya Alexander, ilhali tafsiri hiyo ilianza miongo michache tu baada ya Alexander kufa?

3. Ikiwa ilikuwa ni njama ya Wayahudi, kwa nini unabii huo uliendelea kuwa na maelezo ambayo hayana faida ya kisiasa kwao (kama maangamizi ya baadaye ya Yerusalemu na dhuluma za Wagiriki chini ya Antioko Epifane), badala ya kumtukuza Alexander tu?

Kwa hivyo, ushahidi wa kihistoria na wa kiakiolojia unaonyesha wazi kwamba Danieli alikuwa maandiko yaliyokuwepo kabla ya Alexander na hayakuwa njama ya baadaye.
 
Halafu umerudi mule mule ,nategemea Ulete pingamizi la hoja zako

Kwanza, madai kuwa kitabu cha Danieli kiliandikwa baada ya Alexander Mkuu ni kinyume na ushahidi wa kihistoria na wa kisomi. Nakili za kale za kitabu cha Danieli zimepatikana kwenye Maandiko ya Bahari ya Chumvi (Dead Sea Scrolls) huko Qumran, ambazo wanahistoria wamezikadiria kuandikwa karne ya 2 K.K. Hata kwa kutumia tarehe hiyo ya chini kabisa, bado ni zaidi ya karne moja kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, na hivyo kabla ya Baraza la Nicea (325 B.K.) na mbali sana na enzi za Roma za Kikristo. Watafiti wengi wanakubali kwamba maandiko haya yalikuwepo kwa muda mrefu kabla ya Alexander (356–323 K.K.).

Pili, Wayahudi hawakuwa na faida yoyote ya kutunga unabii kumhusu Alexander. Kwa hakika, Danieli 8 haumtaji kwa jina, bali inatoa maono ya mifano: kondoo mume (Umedi na Uajemi) akishindwa na beberu mwenye pembe kubwa (mfalme wa kwanza wa Uyunani), pembe hiyo ikivunjika na pembe nne kusimama badala yake.

Hii si lugha ya kumlainisha mfalme bali ni mpangilio wa matukio unaoonyesha nguvu na kuanguka kwake. Zaidi ya hayo, kitabu cha Danieli kina unabii mwingine mwingi usiohusiana na Alexander, ambao pia umetimia kihistoria, kama kuibuka na kuanguka kwa Babeli, Umedi-Uajemi, na Rumi, yote ikiendelea kulingana na mfululizo wa historia.

Tatu, hoja kwamba Biblia ilihaririwa kwenye Baraza la Nicea si sahihi. Baraza la Nicea lilijadili zaidi masuala ya Kristo na umungu wake, si kuchagua au kuandika upya Agano la Kale. Agano la Kale (ikiwemo Danieli) lilikuwa limekamilika karne nyingi kabla, likiwa limehifadhiwa katika maandiko ya Kiebrania (Septuaginta ikiwa tafsiri ya Kigiriki iliyokamilika karne ya 3 K.K.).

Hivyo, tunayo tafsiri ya Danieli katika Kigiriki iliyokuwa tayari inasomwa karne mbili kabla ya Alexander kuzaliwa ushahidi kwamba maandiko hayo yalikuwepo kabla ya matukio aliyoyafanya.

Nne, hata wakosoaji wasioamini, kama vile baadhi ya wanahistoria wasio wa kidini, wanakubali kuwa Danieli 8 inafaa kwa usahihi wa ajabu kwa historia ya Alexander na mgawanyo wa ufalme wake. Changamoto yao kuu si uhalisia wa maelezo, bali tarehe ya uandishi hoja ambayo ushahidi wa maandiko ya kale na tafsiri ya Septuaginta unaibatilisha.

Kwa hivyo, hoja kwamba Wayahudi walitunga unabii “ili kumshawishi” Alexander haina msingi. Kihistoria, Wayahudi wa enzi hiyo walikuwa chini ya tawala tofauti, na maandiko yao yalihifadhiwa kwa uangalifu mkubwa, yakihesabiwa kuwa matakatifu. Unabii wa Danieli kuhusu Alexander ni sehemu tu ya mlolongo mpana wa unabii unaothibitisha usahihi wa Biblia kwa karne nyingi.
Umesoma ulichonukuu? Au umelazimisha kujibu bila kusoma?
 
Nimesoma ndio maana nimekujibu na nimekupa maswali haya

Kabla hujaanza kurukaruka nijibu maswali haya ili kuonesha Kuna forgery

1. Ikiwa unabii wa Danieli uliandikwa baada ya Alexander kufa, kwa nini kuna nakala za Danieli (Qumran) zilizopo karne ya 2 K.K. ambazo ni karibu kabisa na matukio hayo, na kwa nini hakuna nakala inayonyesha "toleo la awali" bila unabii huo?

2. Kwa nini Septuaginta (iliyotafsiriwa karne ya 3 K.K.) inajumuisha Danieli ikiwa haikuwepo hadi baada ya Alexander, ilhali tafsiri hiyo ilianza miongo michache tu baada ya Alexander kufa?

3. Ikiwa ilikuwa ni njama ya Wayahudi, kwa nini unabii huo uliendelea kuwa na maelezo ambayo hayana faida ya kisiasa kwao (kama maangamizi ya baadaye ya Yerusalemu na dhuluma za Wagiriki chini ya Antioko Epifane), badala ya kumtukuza Alexander tu?
 
Mbona huleti ushahidi sasa

Kwanza, hicho kitabu ulicholeta na kupachika How to Read the Bible: A Guide to Scripture Then and Now kimeandikwa na Dr. James Kugel, msomi Myahudi aliyewahi kufundisha Biblia katika Chuo Kikuu cha Harvard na baadaye kuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Biblia katika Chuo Kikuu cha Bar-Ilan, Israeli.

Huyo Kugel si Atheist, na hajulikani kama mpinzani wa Biblia kwa maana ya kukana kabisa Mungu.

Yeye huchambua Biblia kama kazi ya kihistoria na kiutamaduni, lakini anakubali kwamba ina mizizi ya mapokeo ya kale.

Sasa, kuna mambo kadhaa kuhusu uchambuzi wa Kugel ambayo unapaswa kujua

Kugel mara nyingi hutumia mtindo wa "source criticism" kuchanganua Biblia kwa kuigawa katika vyanzo vya maandishi. Njia hii inategemea sana nadharia na makisio (hypothesis), si ushahidi wa moja kwa moja wa kihistoria.

Anakubali kuwepo kwa nakala za kale kama Dead Sea Scrolls, lakini mara nyingi anazipuuza au huzieleza kwa mtindo unaodai kwamba baadhi ya vitabu vilipitia mchakato wa uhariri, bila kuonyesha ushahidi wa kuhariri baada ya matukio ya kihistoria yanayohusiana na unabii.

Kwenye kitabu chake hakana kwamba maandiko kama Danieli yalikuwa yakisomwa zamani kabla ya Yesu na kabla ya Alexander, kwa sababu ushahidi wa kiakiolojia (kama tafsiri ya Septuaginta iliyoanza karne ya 3 K.K.) unaonyesha hivyo.

Kwa hiyo, hoja yako kwamba Danieli huenda iliandikwa baada ya Alexander inapingwa na ushahidi huu:

Dead Sea Scrolls, Nakala za Danieli zimepatikana huko Qumran, zikiwa zimehifadhiwa kutoka karne ya 2 K.K., na zinafanana kimsingi na maandiko tunayoyasoma leo. Hii inathibitisha kuwa Danieli alikuwa maandiko yanayojulikana muda mrefu kabla ya Baraza la Nisea (325 B.K.).

Septuaginta (LXX): Tafsiri ya Kiyunani ya Agano la Kale ilianza kutafsiriwa huko Alexandria karibu na 250 K.K., ikiwa ni pamoja na Danieli. Hii ni kabla sana ya Yesu na miaka mingi baada ya Alexander kufa, ikithibitisha kwamba maandiko hayo yalikuwepo tayari.

Mapokeo ya Kiyahudi: Wayahudi wa karne nyingi kabla ya Ukristo walihesabu Danieli kama sehemu ya maandiko matakatifu (Ketuvim), hivyo haikuwa njama ya Kikristo wala ya Warumi.

Zaidi ya hayo, hoja kwamba Wayahudi walitumia "utabiri vague" kumfurahisha Alexander haina mashiko:

Unabii wa Danieli 8 sio vague, unamtaja "mfalme wa Uyunani" akishinda "Umedi na Uajemi", pembe kubwa ikivunjika na badala yake zikainuka pembe nne. Haya ni maelezo ya moja kwa moja yanayolingana na historia ya Alexander na mgawanyo wa ufalme wake.

Ikiwa ilikuwa njama ya kumfurahisha, kwa nini Wayahudi waendelee kuamini unabii huo karne nyingi baadaye, hata pale unapomtabiri pia Mpinga Kristo na matukio mengine yasiyompendeza mtu yeyote?

Kabla hujaanza kurukaruka nijibu maswali haya ili kuonesha Kuna forgery

1. Ikiwa unabii wa Danieli uliandikwa baada ya Alexander kufa, kwa nini kuna nakala za Danieli (Qumran) zilizopo karne ya 2 K.K. ambazo ni karibu kabisa na matukio hayo, na kwa nini hakuna nakala inayonyesha "toleo la awali" bila unabii huo?

2. Kwa nini Septuaginta (iliyotafsiriwa karne ya 3 K.K.) inajumuisha Danieli ikiwa haikuwepo hadi baada ya Alexander, ilhali tafsiri hiyo ilianza miongo michache tu baada ya Alexander kufa?

3. Ikiwa ilikuwa ni njama ya Wayahudi, kwa nini unabii huo uliendelea kuwa na maelezo ambayo hayana faida ya kisiasa kwao (kama maangamizi ya baadaye ya Yerusalemu na dhuluma za Wagiriki chini ya Antioko Epifane), badala ya kumtukuza Alexander tu?

Kwa hivyo, ushahidi wa kihistoria na wa kiakiolojia unaonyesha wazi kwamba Danieli alikuwa maandiko yaliyokuwepo kabla ya Alexander na hayakuwa njama ya baadaye.

Twende polepole.

Unakubali kuwa Biblia imebadilishwa sana kwa miaka na miaka, na si kitabu ambacho kimesimama vile vile miaka yote?
 
Nimesoma ndio maana nimekujibu na nimekupa maswali haya

Kabla hujaanza kurukaruka nijibu maswali haya ili kuonesha Kuna forgery

1. Ikiwa unabii wa Danieli uliandikwa baada ya Alexander kufa, kwa nini kuna nakala za Danieli (Qumran) zilizopo karne ya 2 K.K. ambazo ni karibu kabisa na matukio hayo, na kwa nini hakuna nakala inayonyesha "toleo la awali" bila unabii huo?

2. Kwa nini Septuaginta (iliyotafsiriwa karne ya 3 K.K.) inajumuisha Danieli ikiwa haikuwepo hadi baada ya Alexander, ilhali tafsiri hiyo ilianza miongo michache tu baada ya Alexander kufa?

3. Ikiwa ilikuwa ni njama ya Wayahudi, kwa nini unabii huo uliendelea kuwa na maelezo ambayo hayana faida ya kisiasa kwao (kama maangamizi ya baadaye ya Yerusalemu na dhuluma za Wagiriki chini ya Antioko Epifane), badala ya kumtukuza Alexander tu?
Karne ya 2 KK ni kabla au baada ya kifo cha Alexander?

Leo nikiandika utabiri wa mambo yaliyotokea mwaka 1925 na kabla yake, nikapatia vilevile, nikasema atakuja kuzaliwa mtu anaitwa Nyerere, atasoma mpaka Scotland, ataongiza kudai uhuru, atakuwa kiongozi atakayependwa na wengi, atapigana vita na Idi Amin, halafu atafariki Lindon UK, utanisifia kwamba mimi ni mtabiri mzuri sana?
 
Hoja ya msingi ni moja na ndogo tu.

Kitabu cha Daniel kimefanyiwa editing baada ya muda ambao kinadaiwa kuwa kimeandikwa.

Nimeisema hoja hii ukanisema nimekosa usomi.

Nikakuwekea andiko la msomi aliyetumia peer reviewed sources amezama ndani kabisa kachambua mpaka lugha, mpaka vyombo vya muziki, mpaka timeline, mpaka majina ya wafalme. Picha kinaanza unaambiwa huyo Daniel mwenyewe kuwapo kwake ni mjadala, anaonekana kuw amtu wa hadithi zaidi kuliko mtu halisi.

Uwepo wa Daniel wenyewe umewekewa swali.

Kasema kitabu cha Daniel ni forgery.

Hujajibu hoja za kisomi nilizoweka hapa.

Umehamisha mjadala kutoka hoja yangu kwamba kitabu cha Daniel ni forgery iliyofanyika baadaye sana, umefanya mjadala kuwa mimi siwezi mambo niliyoandika mwenyewe. Which is a silly ad hominem attack kwa sababu hoja ni hoja tu bila kujali nimeiandika mimi au msomi, na hata wewe unaweka maandiko ambayo hujaandika wewe.
Kwanza, hoja yako kwamba Kitabu cha Danieli ni forgery ni madai unayotoa ila huwek ushahidi wowote kama Mimi ninaokupa ,

Historia na akiolojia tayari zina mashahidi thabiti kwamba Danieli book kiliwepo kabla ya enzi za Maccabees na karne nyingi kabla ya Kanisa la Roma kuundwa.

1. Ushahidi wa Dead Sea Scrolls (Qumran)

Nakala za kitabu cha Danieli zimepatikana kwenye mapango ya Qumran, zikihesabiwa kati ya karne ya 2 K.K. na 1 K.K.

Kimsingi, nakala hizi zinafanana na maandiko tunayoyasoma leo. Ikiwa kulikuwa na “editing kubwa” baada ya matukio, tungeona tofauti kubwa kati ya nakala hizi na Biblia ya leo lakini hatuoni.

Je, unaweza kueleza vipi jinsi forgery ya baadaye ilivyoweza kuwa tayari imesambaa kote kabla ya Qumran bila kuacha toleo la awali popote?

2. Septuaginta (LXX)

Tafsiri ya Kiyunani ya Agano la Kale (Septuaginta) ilianza kutafsiriwa Alexandria, Misri, takribani mwaka 250 K.K., ikiwa ni pamoja na Danieli.

Hii ni miongo michache tu baada ya Alexander kufa, na kabla ya Maccabees, ikithibitisha kuwa Danieli tayari lilikuwepo.

Ikiwa kitabu hiki kilifanywa “baada sana”, je, kwa nini kikajumuishwe kwenye tafsiri hii ya mapema?

3. Mjadala wa Daniel kama mtu wa historia

Zaidi ya hayo, Ezekieli 14:14 na 28:3 (iliyokuwa imeandikwa karne nyingi kabla ya Maccabees) inamtaja Daniel kama mtu mashuhuri, jambo linaloonyesha kuwa jina hili na hadithi zake zilijulikana mapema.

4. Hoja kuhusu “lugha na vyombo vya muziki”

Ni kweli Danieli ina maneno ya Kiajemi na Kiyunani. Lakini hii haimaanishi kuwa iliandikwa baadaye; inadhihirisha tu muktadha wa historia ya Babeli na Uajemi, ambapo lugha hizo zilitumika katika utawala na muziki.

Hata Wababeli walitumia maneno ya Kiyunani katika muziki karne kabla ya Maccabees kwa sababu ya mawasiliano ya biashara na Ugiriki.

Ikiwa ilikuwa ni forgery iliyotungwa na Wayahudi, je, kwa nini iongeze unabii kuhusu maangamizi ya baadaye ya Yerusalemu na dhuluma za Antioko Epifane mambo ambayo hayangefaidisha kabisa kisiasa?

Je, unaweza kueleza mantiki ya kutengeneza maandiko ambayo yanawapa Wayahudi picha ya kuangamizwa na kudhulumiwa, badala ya ushindi pekee?
 
Twende polepole.

Unakubali kuwa Biblia imebadilishwa sana kwa miaka na miaka, na si kitabu ambacho kimesimama vile vile miaka yote?
Unatoka nje ya mada eehee😂😂

Hiyo ni mada nyingine kabisa ,

Hapa hoja ni hii ya Alexander Great na kitabu cha Daniel

Unadai ni forgery ,Mimi nimekupa Ushahid wa historia na AKIOLOJIA kuwepo kabla

Kwahiyo jikite kwenye mada na maswali ninayokuuliza

Maana nakuona unataka kuchepuka
 
Unasemaje sitoi ushahidi wakati nimekuwekea ushahidi mwingi sana, wa kisomi, upo kwenye post #25, ushahidi mpaka wa lugha, wa kuhoji uwepo wa Daniel mwenyewe, ushahidi wa jinsi historia ilivyokosewa kwa namna ambayo kama kweli kuna mtu huyo mnayemdai kuwa Daniel asingeweza kukosea hivyo?

Umesoma post #25?

Mbona hujajibu hoja hizi hata kwa kuzitaja tu nijue umezisoma?

Mbona umekataa ku address points za pist #25 umwishia kwenda kwenye ad hominem attack kwamba sijaandika mimi?

Kwani hoja kama ya kweli ila sinaiandika mimi tu inakosa umuhimu na kuwa kweli?
 
Karne ya 2 KK ni kabla au baada ya kifo cha Alexander?

Leo nikiandika utabiri wa mambo yaliyotokea mwaka 1925 na kabla yake, nikapatia vilevile, nikasema atakuja kuzaliwa mtu anaitwa Nyerere, atasoma mpaka Scotland, ataongiza kudai uhuru, atakuwa kiongozi atakayependwa na wengi, atapigana vita na Idi Amin, halafu atafariki Lindon UK, utanisifia kwamba mimi ni mtabiri mzuri sana?
Kwasasa umeanza kukaa kwenye mada kama ninavyotaka ,hivi ndio mijadala ya kisomi inafanywa ,safi

Kwanza, karne ya 2 K.K. ni baada ya kifo cha Alexander (323 K.K.), lakini hiyo si hoja ya kuhitimisha kuwa Danieli iliandikwa wakati huo.

Nimekwisha kuonesha ushahidi kwamba nakala za Danieli zipo kabla ya karne ya 2 K.K., kupitia👇👇👇

1. Septuaginta — tafsiri ya Kiyunani iliyokamilika sehemu kubwa ifikapo karne ya 3 K.K., ikiwa na Danieli ndani. Hii ni karibu miaka 100–150 baada ya kifo cha Alexander, si karne nyingi baadaye. Hata kama ungejaribu kusema walibandika baadaye,bado ingehitaji kuthibitishwa kwa ushahidi wa maandiko tofauti ambao haupo.

2. Dead Sea Scrolls — zimeonyesha maandiko ya Danieli yaliyoandikwa kabla ya Maccabees (karibu karne ya 2 K.K.), na maandiko hayo yanalingana na tunayosoma leo. Hii inamaanisha hata kama ungejaribu kubana historia ya uandishi kuwa karibu sana na karne ya 2 K.K., bado inabaki ukweli kwamba maandiko hayo tayari yalikuwa yamesambaa kote na yamehifadhiwa katika muundo wa kale.

Ukiniandikia leo utabiri wa mwaka 1925, kila mtu ataona wazi kuwa si unabii kwa sababu tuna kumbukumbu za kihistoria za wewe kuandika leo.

Lakini kwa Danieli, tuna nakala za kale zilizothibitishwa kimaandishi na kiakiolojia kabla ya Maccabees na karne nyingi kabla ya Kanisa la Roma.

Zipo huru na watafiti wa kila aina kila dini wanafanya research na wanakubali ,

Tofauti nyingine, Danieli hakutabiri tu tukio moja la Alexander Great,bali mfululizo wa falme kama Babeli, Umedi & Uajemi, Uyunani, na himaya inayofuata ya Roman Empire na kuibuka kwa Roma ya kidini ,kwa mpangilio sahihi wa kihistoria.
 
Unatoka nje ya mada eehee😂😂

Hiyo ni mada nyingine kabisa ,

Hapa hoja ni hii ya Alexander Great na kitabu cha Daniel

Unadai ni forgery ,Mimi nimekupa Ushahid wa historia na AKIOLOJIA kuwepo kabla

Kwahiyo jikite kwenye mada na maswali ninayokuuliza

Maana nakuona unataka kuchepuka
Sijatoka kwenye mada.

Kama unakubali kuwa Biblia imebadilishwa badilishwa miaka na miaka, utahakikishaje utabiri wa Alexander The Great nao haujabadilishwa baadaye na in fact si utabiri bali watu walibadilisha maandiko baadaye ili yaoane na historia?

Post #25 imwzama kwa ushahidi mkubwa kuonwsha Daniel is a forgery, a much latwr edit. Kwa ushahidi mkubwa sana.

Ushahidi ambao hujaujibu.

Nipo kwenye mada nimezama kwa kina zaidi tu.
 
Unasemaje sitoi ushahidi wakati nimekuwekea ushahidi mwingi sana, wa kisomi, upo kwenye post #25, ushahidi mpaka wa lugha, wa kuhoji uwepo wa Daniel mwenyewe, ushahidi wa jinsi historia ilivyokosewa kwa namna ambayo kama kweli kuna mtu huyo mnayemdai kuwa Daniel asingeweza kukosea hivyo?

Umesoma post #25?

Mbona hujajibu hoja hizi hata kwa kuzitaja tu nijue umezisoma?

Mbona umekataa ku address points za pist #25 umwishia kwenda kwenye ad hominem attack kwamba sijaandika mimi?

Kwani hoja kama ya kweli ila sinaiandika mimi tu inakosa umuhimu na kuwa kweli?
Hujaweka Ushahid,Bali umepachika likitabu la Kugel ,na nimejibu hoja zote hapo ,na nimekuuliza maswali

Kwanza Inaonekana humjui Kugel ni nani
 
Hakuna sehemu nimesema au nimekwambia Biblia imebadilishwa ,hayo ni ya kwako

Ndio maana nimejikita kwanza kukupa ushahidi wa manuscript zilizopo kabla hata ya Yesu kuzaliwa ,zikiwa zinafanana 99.99% na biblia ya Leo
 
Kwasasa umeanza kukaa kwenye mada kama ninavyotaka ,hivi ndio mijadala ya kisomi inafanywa ,safi

Kwanza, karne ya 2 K.K. ni baada ya kifo cha Alexander (323 K.K.), lakini hiyo si hoja ya kuhitimisha kuwa Danieli iliandikwa wakati huo.

Nimekwisha kuonesha ushahidi kwamba nakala za Danieli zipo kabla ya karne ya 2 K.K., kupitia👇👇👇

1. Septuaginta — tafsiri ya Kiyunani iliyokamilika sehemu kubwa ifikapo karne ya 3 K.K., ikiwa na Danieli ndani. Hii ni karibu miaka 100–150 baada ya kifo cha Alexander, si karne nyingi baadaye. Hata kama ungejaribu kusema walibandika baadaye,bado ingehitaji kuthibitishwa kwa ushahidi wa maandiko tofauti ambao haupo.

2. Dead Sea Scrolls — zimeonyesha maandiko ya Danieli yaliyoandikwa kabla ya Maccabees (karibu karne ya 2 K.K.), na maandiko hayo yanalingana na tunayosoma leo. Hii inamaanisha hata kama ungejaribu kubana historia ya uandishi kuwa karibu sana na karne ya 2 K.K., bado inabaki ukweli kwamba maandiko hayo tayari yalikuwa yamesambaa kote na yamehifadhiwa katika muundo wa kale.

Ukiniandikia leo utabiri wa mwaka 1925, kila mtu ataona wazi kuwa si unabii kwa sababu tuna kumbukumbu za kihistoria za wewe kuandika leo.

Lakini kwa Danieli, tuna nakala za kale zilizothibitishwa kimaandishi na kiakiolojia kabla ya Maccabees na karne nyingi kabla ya Kanisa la Roma.

Zipo huru na watafiti wa kila aina kila dini wanafanya research na wanakubali ,

Tofauti nyingine, Danieli hakutabiri tu tukio moja la Alexander Great,bali mfululizo wa falme kama Babeli, Umedi & Uajemi, Uyunani, na himaya inayofuata ya Roman Empire na kuibuka kwa Roma ya kidini ,kwa mpangilio sahihi wa kihistoria.
Post #25 inaanza kwa kuhoji hata uwepo wa Daniel. Hakuna ushahidi wa kueleweka wa kihistoria kwamba alikuwapo, na kwamba si mtu wa hadithi tu.

Ungekuwa unaijibu post #25 kisomi, ungeanzia na point hii kwanza.

Ila kwa sasa unarukaruka tu hujibu hoja kisomi.
 
Unasemaje sitoi ushahidi wakati nimekuwekea ushahidi mwingi sana, wa kisomi, upo kwenye post #25, ushahidi mpaka wa lugha, wa kuhoji uwepo wa Daniel mwenyewe, ushahidi wa jinsi historia ilivyokosewa kwa namna ambayo kama kweli kuna mtu huyo mnayemdai kuwa Daniel asingeweza kukosea hivyo?

Umesoma post #25?

Mbona hujajibu hoja hizi hata kwa kuzitaja tu nijue umezisoma?

Mbona umekataa ku address points za pist #25 umwishia kwenda kwenye ad hominem attack kwamba sijaandika mimi?

Kwani hoja kama ya kweli ila sinaiandika mimi tu inakosa umuhimu na kuwa kweli?
Halafu mpaka sasa hujajibu swali hata moja ,

Nakungoja pia unipe ushahidi wa forgery ya kitabu cha Daniel

Kwanza ukijibu maswali niliyokuuliza ,ni wazi hutaweza kuleta hiyo forgery,maana ndio shimo lako lipo hapo

Leo itabidi ubatizwe kwa maji mengi
 
Hujaweka Ushahid,Bali umepachika likitabu la Kugel ,na nimejibu hoja zote hapo ,na nimekuuliza maswali

Kwanza Inaonekana humjui Kugel ni nani
Wewe hata husomi, unahamanika.

Hakuna nilipopachika likitabu la Kugel.

Kugel nimeweka jina la kitabu na link yake tu na kusema Biblia inekuwa editwd sana, link hii hapa.

Hiyo twxt ndefu hata si ya Kugel. Inaonesha husomi.

Unanionesha kuwa unajibu kihisia na kwa kuhemuka hufuatilii mada.

Zaidi, hata ningepachika likitabu la Kugel, inawezekana likitabu la Kugel ndilo lina ushahidi.

Sasa kusema sijaweka ushahidi nimeweka likitabu la Kugel, kwani likitabu la Kugel haliwezi kuwa na ushahidi?

Huoni kuwa nii ni non sequitur fallacy?

Huoni kuwa hii ni false dichotomy fallacy?

Kwa mtu unayejinadi kutaka usomi unafanya fallacies nyingi sana.

Umejaa ad hominem fallalcies, umejaa non sequitur fallacies, umejaa false dichotomy fallacies.

Unajicontradict kila pahali.

Unatuletea habari za likitabu la Biblia.

Halafu na sisi tukikujibu kwa likitabu lingine, unakataa, unasema msilete likitabu.

Hivi unaelewa hata wewe mwenyewe unataka nini?
 
Post #25 inaanza kwa kuhoji hata uwepo wa Daniel. Hakuna ushahidi wa kueleweka wa kihistoria kwamba alikuwapo, na kwamba si mtu wa hadithi tu.

Ungekuwa unaijibu post #25 kisomi, ungeanzia na point hii kwanza.

Ila kwa sasa unarukaruka tu hujibu hoja kisomi.
Nimejibu vizuri ,ni wewe tu unataka kutoka nje ya mada

Twende na jicheleweshe ,ukidhani hayo maswali nitayasahau

Kwanza kama Daniel hakuwepo unavyotaka kukimbilia hicho kichaka

kwa nini maandiko yake yapatikane kwenye tafsiri ya Kigiriki (Septuaginta) inayokamilika sehemu kubwa karne ya 3 K.K.?

Ikiwa Daniel ni hadithi kama unavyodai , je, inafutaje ukweli kwamba mpangilio wa falme ndani ya kitabu unalingana na historia ya dunia bila makosa ? Kasome kitabu cha Daniel uone mpangilio wa falme za Dunia hata nyingine hakuziona kama Roma empire na Roma ya kidini

ikiwa maandiko yalitungwa tu kumfurahisha Alexander, kwa nini yatabiri kuanguka kwa Uyunani na kutokea kwa himaya nyingine (Roma), jambo ambalo lingeweza kumkasirisha?Yaani watunge kumfurahisha ,Tena wamtabirie kuanguka 😂😂
 
Back
Top Bottom