Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Ndiyo-Wachunguzwe wote:
Hapi
Bashite
Ndugai
Sabaya
Nwenyekiti wa UVCCM
Na wengine wote!
Walikuwa wezi watupu wakiwatisha na kuumuza watu na huko wakitumia jina la mwendazake kuiba!! Wahojiwe na takukuru wote wenye mali iliyokithiri. Mfanyakazi wa serikali unapata wapi utahiri katika miaka minne???? Wezi watupu hao!!!
 
Hawa wote wako kwenye radar
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
10% ya Kupeleka Waganga wa Kienyeji Magogoni Feri hadi tarehe 17 Machi, 2021 imemtajirisha sana.
 
Tatizo wizi wa pesa za umma. Au kutajirika kwa kuiba pesa za umma ambao wengi wao ni maskini wa kutupwa.
Una ushahidi kuwa Mnyeti kaiba pesa za umma? Gwambina mpaka inaanzishwa Mnyeti alikuwa serikalini? Hujiulizi? Acheni roho mbaya!
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
CCM ni ukoo wa panya. Wote wana sharubu.
 
Ilishindanishwa na nani ? halafu mikataba ikoje , mpangaji anajenga Hostel na kuchimba bwawa la kuogelea huku akijenga upya uwanja wa BASKET BALL kwa gharama ipi ?
Ulitaka itangazwe wapi? Hivi kujenga uwanja wa Baskeball ni kiasi gani. Isitoshe uwanja huo ulikuwepo labda anauboresha tu . Tumekula sana Bata TCC Club wakati ikiendeshwa na Mbunge Koka for about seven yrs
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Kwani mali za umma zinauzwa vipi?
 
Ulitaka itangazwe wapi? Hivi kujenga uwanja wa Baskeball ni kiasi gani. Isitoshe uwanja huo ulikuwepo labda anauboresha tu . Tumekula sana Bata TCC Club wakati ikiendeshwa na Mbunge Koka for about seven yrs
Koka alijenga nini ndani ya TCC zaidi ya kuuza vinywani na chakula ?
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Labda ile tuhuma alizopewa wakati ule na mbunge Ole Milya kuwa anaipendelea Tanzanite one kwa maslahi binafsi ni za kweli
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Huyu ameiba sn Mererani
 
Mnyeti alipewa mabilioni na mengine aliiba madini kwa kisingizio cha kuwanunua wapinzani, na waliokua wanapinga walikiona cha moto.
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Umesahau alikuwa anapora wachimbaji tanzanite kule manyara akiwa RC?
 
Back
Top Bottom