Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu Ulijua je?Mambo ya Manyara na tanzanite?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ulijua je?Mambo ya Manyara na tanzanite?
Kwa mantiki hiyo?Ukumbuke alikuwa mkuu wa mkoa wa Manyara wenye utajir mkubwa wa Tanzanite na ndo alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama ya mkoa.
Kuna mwingine kanunua beach plot UnunioHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Mkuu unauhakika na taarifa yako?Mkumbuke yafuatayo:-
1. Alexander Mnyeti ni mtoto wa dada yake na Janeth Joseph Magufuli ,
2. Alexander Mnyeti anamiliki mgodi wa tanzanite mererani akiwa mkuu wa mkoa wa manyara
3. Alexander Mnyeti baada ya kupata ubunge ,anamiliki mgodi wa dhahabu wilaya ya misungwi mkoa wa mwanza.
Usikalie habari , mfichue harakaKuna mwingine kanunua beach plot Ununio
Mkuu majimoto na bar moja tu kubwa na sasa timu ya Gwambina anataka kuihamishia Majimoto pia useme na sifa yake ya ukulima maana huyu jamaa ni mkulima mkubwa kabla hajawa RC,MBUNGEMnyeti alipata hela alivyokuwa RC wa Manyara. Alikuwa anawaita matajiri wamiliki wa migodi anawaambia wamekwepa kulipa kodi, sijui nini..anatishia kuwabambikizia kesi, halaf anawaambia amount ya kulipa. Kuna mmoja namfahamu alimwambia ampe milioni 200. Ana malodge na mabar ya kutosha huko Katavi sehemu inaitwa Majimoto, ipo pembezoni mwa Katavi National Park yanaitwa GWAMBINA..
Umeshapewa jibu tafuta njia...Kwa mantiki hiyo?
Sawa MkuuUmeshapewa jibu tafuta njia...
Sabaya schemeHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Mbele ya majimoto kwenye gate la kuingia kwenye gate la hifadhi ya Katavi national Park, kupita kile kijiji amezaliwa Mizengo Pinda ana bar ingine na lodgeMkuu majimoto na bar moja tu kubwa na sasa timu ya Gwambina anataka kuihamishia Majimoto pia useme na sifa yake ya ukulima maana huyu jamaa ni mkulima mkubwa kabla hajawa RC,MBUNGE
AlibetHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Acha tabia za kimaskini. Utakuwa maskini wewe na vizazi vyako kwa wivu kama huo. Hata kama wewe tayari ni tajiri, utafilisika ukiendeleza idea za kimaskini kiasi hicho.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Subiri siku yake itafika ndiyo utajuwa kuwa hakuna akili ya maskiniAkili za kimasikini
Sema wewe kapata wapi fedha za kuhudumia timu ya Gwambina na kununua TCC Club, usiishie kusema majunguYaani wabongo kwa umbea na majungu nawakubali sana
Hapo uliposema ni kama ulikuwa pembeni Yao unaona wanavyotifuana yaani duh!
Na usikute ni story za vijiweni unaleta jf haki anani,
Mchawi wa maendeleo ya. Mtu mweusi ni yeye mwenyewe, ndio maana Mzungu anatumia udhaifu wetu kutuchonganisha Kisha anatumia pesa yake ukammalize black mwenzio alafu yeye anachukua kiulaini[emoji848]
Nyambafu sana sie black people
Wakuu wa shule wanaiba mkuu wana forge mpaka saini za Walimu ili kupitisha malipo fake nina ushaidi kutoka kanda ya ziwa jinsi Pesa za fidia ya ada na ruzuku zinavyoibwa na baadhi ya wakuu wa shule. Kuna madudu mengi mnoo Nchi hii ww acha tuu Shule hazina maendeleo yeyote ila pesa inaenda mifukoni mwa watu.Hivi Mkuu wa shule anaweza kuiba nn? Hebu tufungue kidogo sie tusiojua.
Tatizo wizi wa pesa za umma. Au kutajirika kwa kuiba pesa za umma ambao wengi wao ni maskini wa kutupwa.Yaani sisi wabongo ni nuksi, yaani tunaamini kuwa tunastahili kubaki kuwa masikini, tukiona mwenzetu kajikwamua kidogo tunaanza Vita.
Anamiliki club ya Mpira inayoajiri vijana wetu, kwanini tuwe na vinyongo?
Kwanini tuamini kuwa kwetu sisi kutoboa haiwezekani? Akili za kimasikini mbaya Sana.
Hongera Alexander Mnyeti
Ilishindanishwa na nani ? halafu mikataba ikoje , mpangaji anajenga Hostel na kuchimba bwawa la kuogelea huku akijenga upya uwanja wa BASKET BALL kwa gharama ipi ?Ninachojua TCC Club inaendeshwa na SACCOS ya Wafanyakazi wa TCC. Ilitangazwa Tender ya kuendesha Club hiyo Kampuni ya Mnyeti ikashinda. Usipotoshe Watu haijauzwa...