Wewe unazitaka hoja hizo ukajibie mtihani? After all muda wa uchaguzi bado ni mbali Sana, Sasa kuzitaka hoja za chama kisichokuhusu si ni ulozi huo?Mkuu sijasema kwamba wewe ni CHADEMA nimebainisha uelekeo wa hoja za CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025
Piga ramli huenda zikaonekana juu ya karai la maji au utumbo wa jogoo! Mwanga wewe!