Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Acha "wivu" ndugu. Mambo ya kuuliza Mwanaume mwenzako amepata wapi pesa hayana mashiko. Wewe fanyakazi , pambana kivyako na wewe utazipata.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
By the way, mbona huulizi Mbowe kapata wapi pesa za kumiliki majumba ya kifahari Dubai na South Africa?