Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
Tunakushukuru kwa ufafanuziHuyo jamaa ni mkulima mkubwa sana bonde lote la maji moto(Rukwa) anafahamika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakushukuru kwa ufafanuziHuyo jamaa ni mkulima mkubwa sana bonde lote la maji moto(Rukwa) anafahamika sana
Ukisikia unafiki ndio huo mkuu tafuata na ww zako au muulize ametumia njia gani kufika hapoHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Shukrani sanaSikupenda nichangie chochote ila kwa comment hii goja nichangie!
Si kweli kwamba Mh Mnyeti na Hayati dkt Magufuli ni Ndugu hapana! Ukaribu wao ni wa undugu tena wa damu kati ya Mnyeti na Mawe Matatu/ Kitwanga , ndg Kitwanga ndiye aliyemtambuliisha Mnyeti kwa Ndg Magufuli ndipo akapewa hadi UDC,
Rejeeni hata kauli ya Hayati Magufuli alipokuwa ziarani Mwanza eneo la Missungwi alipokuwa anamnadi Ndg Mnyeti alimuita ndg Kitwanga ambaye walikuwa marafiki wa karibu sana na nadhani wameoa sehemu moja ndipo alipomuomba Ndg Kitwanga amuachie Mnyeti jimbo na pia Mnyeti ajishushe kwa Kitwanga kwani hadi harusi/ndoa ya Mnyeti ni Kitwanga ndiye aliyegharamia.
Inshort uhusiano wa hayati na Mnyeti uko hivyo, Mzee wa watu/ Kitwanga alijisikia vibaya mno na nadhani ndio chanzo cha afya yake kudhoofika,
Kuhusu utajiri wake sina cha kuandika lkn nadhani URC umechangia, pia amejenga shule kubwa sana hapo Missungwi though nasikia haijawa stable hata kulipa mishahara but all in all Mnyeti ni Mbunge, ana access ya kukopa fedha kwenye ma bank.!!
Alexander Mnyeti alikuwa mafia, zamu yake imefika sasaAlipiga sana tanzanite huko Simanjiro,Manyara,akiwa RC. Tafuta clip akizozana na Ole Millya(mb,by then)... Akamwambia Millya kuwa hatakuwa tena mbunge,akaletwa Olesendeka,RC mwenzake
Mkuu sijasema kwamba wewe ni CHADEMA nimebainisha uelekeo wa hoja za CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025Mimi siyo Msemaji wa Chadema , msemaji wao anaitwa Tumaini Makene , mimi ni mwana JF
Mnyeti mwizi bana, uksituambie kuwa yeye anajuwa kufanya kazi kuliko sisi. Ni suala la muda tu tutajuwa mbivu na mbichiFanya kazi na kua na nidhamu ya pesa hutoshangaa ya mnyeti.
Akili za kimasikiniMnyeti mwizi bana, uksituambie kuwa yeye anajuwa kufanya kazi kuliko sisi. Ni suala la muda tu tutajuwa mbivu na mbichi
Kwa hiyo ukizozana na millya tayari umekua mwizi? Huyo millya ni mungu? UPUUZI HUUAlipiga sana tanzanite huko Simanjiro,Manyara,akiwa RC. Tafuta clip akizozana na Ole Millya(mb,by then)... Akamwambia Millya kuwa hatakuwa tena mbunge,akaletwa Olesendeka,RC mwenzake
Majimoto pamoto sana hukoMnyeti alipata hela alivyokuwa RC wa Manyara. Alikuwa anawaita matajiri wamiliki wa migodi anawaambia wamekwepa kulipa kodi, sijui nini..anatishia kuwabambikizia kesi, halaf anawaambia amount ya kulipa. Kuna mmoja namfahamu alimwambia ampe milioni 200. Ana malodge na mabar ya kutosha huko Katavi sehemu inaitwa Majimoto, ipo pembezoni mwa Katavi National Park yanaitwa GWAMBINA..
Michango ya wazazi.Hivi Mkuu wa shule anaweza kuiba nn? Hebu tufungue kidogo sie tusiojua.
Munyeti ana v8 kama nne hiviSabaya…bilionea
Bashite…bilionea
Mnyeti …bilionea
Hapi…???
…hii ni hatari!
Madc na Marc walifaidi chini ya jiwe!
Walianza project ya kujenga shule baada ya kifo ameingia mitini na documents zote.Ana vitalu kadhaa vya uchimbaji madini all over ze kuntri, hata vya mwendazake anavishikilia
Watanzania mmebobea kwa umbeya. Piga na wewe kama unaona zinapigika, siyo kulia lia kwenye mitandao tuMnyeti ana undugu na JIWE, nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo, ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC!! Hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.
Una uelewa wa mshahara wake kwa mwezi ulikuwa kiasi gani? Kwa taarifa yako haukuzidi milioni tatu kwa mwezi.Fanya kazi na kua na nidhamu ya pesa hutoshangaa ya mnyeti.