Bongo-mpya
JF-Expert Member
- Nov 10, 2020
- 311
- 244
Hawa wote wako kwenye radarNdiyo-Wachunguzwe wote:
Hapi
Bashite
Ndugai
Sabaya
Nwenyekiti wa UVCCM
Na wengine wote!
Walikuwa wezi watupu wakiwatisha na kuumuza watu na huko wakitumia jina la mwendazake kuiba!! Wahojiwe na takukuru wote wenye mali iliyokithiri. Mfanyakazi wa serikali unapata wapi utahiri katika miaka minne???? Wezi watupu hao!!!
10% ya Kupeleka Waganga wa Kienyeji Magogoni Feri hadi tarehe 17 Machi, 2021 imemtajirisha sana.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Aiseeee !!!10% ya Kupeleka Waganga wa Kienyeji Magogoni Feri hadi tarehe 17 Machi, 2021 imemtajirisha sana.
Una ushahidi kuwa Mnyeti kaiba pesa za umma? Gwambina mpaka inaanzishwa Mnyeti alikuwa serikalini? Hujiulizi? Acheni roho mbaya!Tatizo wizi wa pesa za umma. Au kutajirika kwa kuiba pesa za umma ambao wengi wao ni maskini wa kutupwa.
CCM ni ukoo wa panya. Wote wana sharubu.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Ulitaka itangazwe wapi? Hivi kujenga uwanja wa Baskeball ni kiasi gani. Isitoshe uwanja huo ulikuwepo labda anauboresha tu . Tumekula sana Bata TCC Club wakati ikiendeshwa na Mbunge Koka for about seven yrsIlishindanishwa na nani ? halafu mikataba ikoje , mpangaji anajenga Hostel na kuchimba bwawa la kuogelea huku akijenga upya uwanja wa BASKET BALL kwa gharama ipi ?
Kwani mali za umma zinauzwa vipi?Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Koka alijenga nini ndani ya TCC zaidi ya kuuza vinywani na chakula ?Ulitaka itangazwe wapi? Hivi kujenga uwanja wa Baskeball ni kiasi gani. Isitoshe uwanja huo ulikuwepo labda anauboresha tu . Tumekula sana Bata TCC Club wakati ikiendeshwa na Mbunge Koka for about seven yrs
Hiyo milioni 90??? ndo kapiga?? Acha uzwazwa wewe.Wapigaji si umeona washaanza kudakwa? Kashaanza sabaya wengine watafuata.
Hiyo milioni 90??? ndo kapiga?? Acha uzwazwa wewe.
Labda ile tuhuma alizopewa wakati ule na mbunge Ole Milya kuwa anaipendelea Tanzanite one kwa maslahi binafsi ni za kweliHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Huyu ameiba sn MereraniHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Amepiga sn pesa MereraniMambo ya Manyara na tanzanite?
Sidhani kama huu uzi unachangiwa na Chadema peke yake, palipo na hoja inayohusu wapigaji lazima watatokea watetezi kiaina inatia shakaChadema kimekua gazeti la udaku siku hizi
Umesahau alikuwa anapora wachimbaji tanzanite kule manyara akiwa RC?Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.