Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Mkuu si tuambieni tu Mnyeti alikotoa hela , kigugumizi cha nini
 
Tatizo WASHAHILI wengi ni wezi hasa hawa watumishi wa umma. Hata hivyo mtumishi wa umma una pata wapi pesa za kuwekeza ?? Si uache utumishi ufanye mambo yako!!??
 
Huyo ni mwanaume mwenzako kasoro yeye mpambanaji ila wewe mrandukaji[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Kupata pesa sio laana kwani mabilionea wengi hupata pesa ktk umri wa miaka 22

lakini huku kwetu Africa ndo tunajiuliza amewezaji huyu jamaa miaka 37 tu ni tajiri ,halafu mfanyakazi wa umma.

ni kweli MA-RC wengi kipindi cha Awamu ya 5 wamepiga pesa ningekutajia hata RC anayependwa ndugu yangu mmoja ungeshangaa huyo nae ni mpigaji.
Makonda,Mnyeti ,Gambo wanazopesa za kupora wafanyabiashara ,kumbuka Mnyeti alitokea Manyara kwenye TANZANITE na Hifadhi ,hao ndo walikuwa wanaongoza kikosi cha TF.
hivo kupora Mali za wafanyabiashara ni kawaida, Mnyeti pia alikuwa rfk wa Magu kindakindaki inasema kuna mgodi kule burigi yeye na Dotto wana share.
 
Alexander Mnyeti ni mpwa/ binamu wa Mwendazake. Na katika uhai wa Magufuli yeye ndiye pekee alikuwa anaweza kufanya chochote na Magufuli asimchukulie hatua.

Alexander Mnyeti ni mshiriki mkubwa wa uwizi wa Tanzanite pale Mererani kuanzia akiwa DC Arumeru na hatimaye RC Manyara.

Wakati Mwendazake akiwa kwenye kipindi cha sintofahamu yeye na Waziri Dotto Biteko ndiyo walikuwa wanataka kugawana kitalu "C" cha Tanzanite.
 
aisee, halafu jitu Kama GENTAMYCINE linakuambia Magufuli alikuwa muadilifu kuliko Samia, kenge Hawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…