Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Halafu ukishajua?
 
Sikiliza tukwambie huvi sasa kwenye ukoo wao kuna ugomvi mkubwa kugombanua mali,na huo uwanha wa gqambina na hoteli ziko dodoma zinauzwa ili wagawane mali,kwani hujui kuwa ni shemeji ya mwendazake?
 
Aliwahi kudai yeye ni mfanya biashara wa siku nyingi huo si uwekezaji pekee ninaosikia huyo bwana anao hapa sehemu mbalimbali nchini nasikia huko katavi ana mall mfano wa mliman city cha kufanya wafuatilie kama kuna shaka kwenye mali zake lakini hatakuwa sahihi kwa vile ni msukuma basi hastahili kuwa na hizo mali
 
Yaan nyumba 10 ndio utajiri wa kutisha?.wabongo mnamambo kweli.watu wanamiliki nyumba 100 wewe unasema 10 ndio utajiri wa kutisha.
 
Kwenye maisha kuna ujasiri tu. Kuwa na team yenyewe ni biashara inayoleta pesa kaa kwa utulivu.
 
Alexander Mnyeti hayuko mbali na milango ya TAKUKURU au Polisi au Mahakama.

Naomba hayo maneno myapigie mstari, iko siku nitawakumbusha
 
Alexander Mnyeti na Dotto Biteko ni washirika kwenye wizi wa Tanzanite. Soma hapa;
 
kosa kubwa la hawa jamaa hawakuiba kimfumo. CCM wanatabia ya kuiba wanagawana mpaka watu karibu 40 kwa mtiririko. na unakuta humo kuna watu wazito. cku likibumburuka unashindwa pa kuanzia kuwakamata kama lile sakata la Lugumi tu. sasa hawa vijana waliiba wakapora na wakajisahau wakawatukana mpaka wazee wenye nchi. usisahau kuna wananch na wenyenchi. so kwa upande wangu nadhan hili ndio tatizo kubwa. coz ucfikir watakaotawala hawataiba lazima kutakuwepo kun'gata na kupuliza. thats how things work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…