Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Hizi zile 1.5T za aliyekuwa CAG Pro. Assad zimeshatolewa maelezo?
 
Ukumbuke alikuwa mkuu wa mkoa wa Manyara wenye utajir mkubwa wa Tanzanite na ndo alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama ya mkoa.
 
Yaani sisi wabongo ni nuksi, yaani tunaamini kuwa tunastahili kubaki kuwa masikini, tukiona mwenzetu kajikwamua kidogo tunaanza Vita.

Anamiliki club ya Mpira inayoajiri vijana wetu, kwanini tuwe na vinyongo?

Kwanini tuamini kuwa kwetu sisi kutoboa haiwezekani? Akili za kimasikini mbaya Sana.

Hongera Alexander Mnyeti
 
PIA, kama walivyotumwa majambazi wengine, aliwahi kuwa DC Hai.
 
Amepata kwa mganga
 
Wanapata fedha kwenye mazao, uwakata wakulima @kg Tshs 20 hadi 30 eti kwa ajili ya michezo/ timu ya wilaya, wanaweka kwenye account ambazo anacontrol DC, na hamna wa kumuhoji, kipindi cha jiwe ndio stahili yao, sijui wataendelea, sisi wakulima inatuuma kweli, ila haya!
 
Fanya kazi na kua na nidhamu ya pesa hutoshangaa ya mnyeti.
 
Alipiga sana tanzanite huko Simanjiro,Manyara,akiwa RC. Tafuta clip akizozana na Ole Millya(mb,by then)... Akamwambia Millya kuwa hatakuwa tena mbunge,akaletwa Olesendeka,RC mwenzake
 
1.5 Trilion alizosema CAG unafikiri JIWE alikula mwenyewe? Mgao upo kwa wengi, hivi unajua ghorofa la MAKONDA pale kigamboni ni zaidi ya 1 bilion? Waha la Mwanza mjini anapoishi na kule KOROMIJE.
M
 
hoja kuu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi wa 2025
 
hapo kwenye bold ndo umezingua. hujui kama kodi ni pesa ya kunihudumia mimi?
 
Wale wote waliotumika kumfanyia mwendazake kazi chafu ni mabilionea wakubwa.
 
Mkumbuke yafuatayo:-
1. Alexander Mnyeti ni mtoto wa dada yake na Janeth Joseph Magufuli ,
2. Alexander Mnyeti anamiliki mgodi wa tanzanite mererani akiwa mkuu wa mkoa wa manyara
3. Alexander Mnyeti baada ya kupata ubunge ,anamiliki mgodi wa dhahabu wilaya ya misungwi mkoa wa mwanza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…