Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Alexander Mnyeti ni mtoto wa dada wa Magufuli. Huyu ndiyo mtu pekee ambaye wakati wa Magufuli alikuwa na uwezo wa kutaka chochote kwa mjomba wake na mjomba asipindue. Mnyeti akiwa RC Manyara alikuwa ana njia yake ya chini kwa chini ya kutorosha Tanzanite Kyle Mererani, huku Magufuli akituzuga kwa kujenga ukuta.


tuzuga
 

But I am sure about one thing. Hujaelewa mantiki ya andiko hilo...!!

Hata hivyo kwa namna yako unavyoeleza maana ya kutegemeana, basi fahamu haya vilevile;

1. Hata majambazi na watenda uovu mwingine wowote ktk syndicates na mifumo yao ya kihalifu wako very organized na hutegemeana wanapotimiza ajenda zao za ujambazi/uovu...

2. Walimgonga kila mtu direct au indirect so long as mtu huyo ni Mtanzania na raia wa nchi hii. Wewe nawe uligongwa unless uwe "mjinga" hujui athari za ufisadi na rushwa ktk taifa ambalo wewe umo ndani yake...

3. Kiongozi hapaswi kuwa dhaifu (mradi liende) na wala hapaswi kuwa katili mvunja taratibu, kanuni na sheria ktk kutenda wajibu wake kuendesha mambo ya nchi. Aina hii ya viongozi, wote hawafai..!

Natumai umeelewa..
 

Taratibu ziko wazi, tuliona utawala wa ulevi wa madaraka, na uonevu wa wazi. Kama huyo mnyeti alikuwa anafanya kama team work, mbona sasa hivi hafanyi hivyo, au sheria zimebadilika?

Usidhani hatujui tofauti ya utendaji na kiburi cha madaraka. Magu alikuwa ni muhalifu aliyepata madaraka. Kama mama Samia hafanyi anavyopaswa, hilo ni kosa lake kiutendaji, lakini huwezi kuhalalisha utawala wa mabavu na uonevu, eti kisa kuna anayetawala kwa udhaifu. Hatutaki kiongozi mwenye kiburi cha madaraka wala dhaifu.
 
Actually huyu jamaa madaraka yalimlevya sana. Wakati ni RC alikuwa akitoka Mkoani kwake kwenda kunywa wine Mwanza, hiyo wine ilikuwa ni lazima itokee Dodoma. Alikuwa na msafara ambao gari moja ilikuwa inabeba walimbwende wakumfurahisha.Akiwa RC wa mkoa wake alikuwa anatawala pia vituo vya polisi Mwanza, askari wa baadhi ya vituo pale walikuwa wanamuogopa kuliko hata mkuu wa mkoa wa Mwanza. Mtu kama huyu akifilisika sio rahisi watu kumhurumia.
SOURCE. Shemeji wa mhusika.
 
Nayakumbuka haya majitu ya hovyo yaliyookotwa na mwendazake na kuyaacha sasa yanalia. Makonda, Mnyeti, Byakanwa na mapigaji mengine acha yaanza kuoja joto ya jiwe. Aliyeko juu mngoje chini.
 
Nayakumbuka haya majitu ya hovyo yaliyookotwa na mwendazake na kuyaacha sasa yanalia. Makonda, Mnyeti, Byakanwa na mapigaji mengine acha yaanza kuoja joto ya jiwe. Aliyeko juu mngoje chini.
Yaani huyu Byakanwa natamani hukumu ya Mahakama ya kuharibu shamba la Mh Mbowe Hai,itoke..nakumbuka Mbowe alimshtaki yeye binafsi na si kama DC wa Hai

Yaani nchi ilikuwa ikiendeshwa kama genge la WAHUNI
 
Ni kazi yako kuthibitisha kama Mnyeti hayo aliyofanya yalikuwa sahihi ili unizodoe , hatuandiki kibwege
 
kilichotokea uwanja wa gwambina umefungiwa hivyo kuwalazimu timu kutafuta uwanja sehemu nyingine na kupelekea gharama kupanda

sio porojo unazo sema
Sasa Mnyeti ni wa kushindwa kusafirisha timu kwa Coaster kweli ?

Hakuna nisichokijua katika hayo unayosema , ila wewe kuna kitu hukijui kwenye andiko langu
 
Amen
 
Ni kazi yako kuthibitisha kama Mnyeti hayo aliyofanya yalikuwa sahihi ili unizodoe , hatuandiki kibwege
Unapomtuhumu mtu kwa tuhuma nzito kama hizi jitahidi pia kuweka na evidence. Usisahau we unatokea kikundi cha watu waliomtuhumu lowasa kwa miaka nane kuwa ni fisadi na mwizi na ilipofika 2015 kikundi hicho hicho kilipokuwa na lowasa kikasema mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aende mahakamani.
Kwa hiyo tupo makini kwa sasa na tuhuma zozote nzito zinazotolewa na watu wa karba yenu.
 
Asante kwa taarifa hii muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…