Familia ya Eliza ndio imeanzisha Uislam?Wewe ni fala hujui unachoabudu ile familia ndo imeanzisha uislamu sibishani na form 4 failure....sio level zako tafuta wajinga wenzio makondoo
Familia ya Eliza ndio imeanzisha Uislam?
Asante nilikua sijui
Kwa Mwamposa kila alaiyefunguliwa au kuponywa anakuta naKama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.
Yesu ndiye mponyaji!
Sasa unaongea na mimi au na hao wachungaji? hao wenye shobo Hata mimi huwa nawashangaa.Punguzen Shobo kwa waisraeli naona baadhi ya wachungaji wanatumia na bendera zao wanawaona manyani tu
WANAFUNGULIWA SHIDA ZAO KWELIKWELI SIO MCHEZO,DINI NA UPONYAJI,NDIO MPANGO KAZI DUNIANI.Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.
Yesu ndiye mponyaji!
uislamu ulikuwepo kabla ya muhamad kuanzia kwa nabii Adamu mpaka kufikia muhamad mwenyeweHivi muhamadi alianzisha uislamu mwaka gani vile???
#MaendeleoHayanaChama
walichofanya awa mashekhe ni haramu kwenye uislamuWafia dini naona mnatoleana povu,mbona haya mambo ya kawaida sana jamani labda hamjapatwa na matatizo,unapopatwa na matatizo huwezi kuchagua chaka popote pale unaingia hili mradi upate amani ya moyo..sasa nyie mnatoleana povu humu wakati wenzenu wanaojua siri za maisha kama huyu bwana Daudi hapa chini hawajali wala nini na ndio maana wanatoboa maisha,maskini mnaendelea kuwa nyie wafia diniView attachment 2358407
Kwahiyo wewe unawazidi elimu hao masheikh!?walichofanya awa mashekhe ni haramu kwenye uislamu
Mwenyezi Mungu alikuwepoBaki kwenye mada ya "Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad". Usirukeruke kama kwenye muhadhara. Tulia hapa halafu tutaenda huko kwenye ishu hizo ulizouliza.
Back to the topic:
Hiyo Surah imran 19 si imeandikwa juzi hapo baada ya Muhammad kufariki?(wakati quran ilipoandikwa/kusanywa?)
Sasa unanipaje Uthibitisho wa uislam kuwepo huko zamani kwa kutumia kitabu kilichoandikwa juzi hapo karne ya 6 baada ya Muhammad?
Nataka Uthibitisho kuwa Uislam ulikuwepo kabla
Jibu ni hivi Qur'an yote ilishuka kipindi cha Muhammad,,,,,ilikuja kuandikwa ili ihifadhiwe Kwa maandishi.Baki kwenye mada ya "Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad". Usirukeruke kama kwenye muhadhara. Tulia hapa halafu tutaenda huko kwenye ishu hizo ulizouliza.
Back to the topic:
Hiyo Surah imran 19 si imeandikwa juzi hapo baada ya Muhammad kufariki?(wakati quran ilipoandikwa/kusanywa?)
Sasa unanipaje Uthibitisho wa uislam kuwepo huko zamani kwa kutumia kitabu kilichoandikwa juzi hapo karne ya 6 baada ya Muhammad?
Nataka Uthibitisho kuwa Uislam ulikuwepo kabla
Aliye kufa na kufufuka ni mmoja tu..tofauti na hapo wengine ni misukule..karibu ukanyage ma futa na ule keki ya upako.Mna wachungaji viwete mngewaponya hata mungu wenu malkia Elizabeth amefariki na siku tatu zimepita hajafufuka[emoji23][emoji23][emoji23] .
Mwanaume unaabudu mwanamke
Zinatakiwa taasisi nyingi za binafsi na serikali za kuwahudumia hao watoto kina mamaKwasasa wanawake wengi tumekuwa na msongo wa mawazo, wanaume wamekuwa wakituachia majukumu ya kutunza familia, nadhani hata wapo wengine mnawashuhudia wakijinyonga kisa marejesho, kuna tatizo.Watu wanatafuta faraja kwa namna yeyote embu lioneni hili wanaume jamani ...
Ulitaka ukute tembo ama??Kwa Mwamposa kila alaiyefunguliwa au kuponywa anakuta na
1. Chura
2. Nyoka
3. Mjusi
Yaani hakuna muujiza usiohusu hao wanayama watatu.
Inafikirisha sana
Anaogopa tu kwenda mbele pale..ila kila siku yupo kwenye tv na redio anasikiliza mafundisho ya arise and shine.Kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa.....tunamngoja yeye mwenyewe Alhad aje kuombewa
Unautubitisho gani?kama sio kuokoteza stori za kwenye biblia na kuzipachika kwenye kurwani..hovyo hovyo bila mpangilio.uislamu ulikuwepo kabla ya muhamad kuanzia kwa nabii Adamu mpaka kufikia muhamad mwenyewe