Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Punguzen Shobo kwa waisraeli naona baadhi ya wachungaji wanatumia na bendera zao wanawaona manyani tu
Sasa unaongea na mimi au na hao wachungaji? hao wenye shobo Hata mimi huwa nawashangaa.

Mimi sina shobo kwa waisraeli..sina bendera yao na wala hata lugha yao siijui.

Wewe unaongea na mimi mtanzania mwenzako, halafu eti unanijibu kwa kiarabu[emoji1787][emoji1787]. Wavaa kobazi wengi hujiona kama waarabu vile
 
Ukija kutingwa na magonjwa ndo utaelewa sisi tulikuwa na ndugu yetu mlokole kweli kweli alikuja kupata tatizo la mguu kuuma bila sababu.
Wali jaribu kumuombea wapi ndo maumivu yanazidi wakaenda hospital alikaa huko kama mwezi mzima lakini bado hali mbaya.

Baba yake akamwambia kuna mtu yuko sumbawanga huko ni mganga wa kienyeji anaponesha sana watu wenye matatizo ya miguu.
jamaa kwakuwa alikuwa mlokole hafu kusikia mganga wa kienyeji alikataa kabisa.

Maumivu yalipokolea hili bidi tu mchungaji yake mwenyewe amwambie sie tunachotaka upone tu kwaiyo atujali utaponea wapi.

Jamaa tu ilibidi apelekwe kwa mganga alikaa wiki 2 tu akawa kapona kabisa yani nakuludi na mambo yake.

Kwa ufupi hao waislam kinacho wapeleka kwa mwamposa nadhani ni shida na matatizo yao binadam unapopitia shida na magonjwa tuna angaikaga sana hafu unasikia sehemu unaweza kuponywa kwanini usiende tu.

Wanao sema hao sio waislam nadhani hawajawai kupota magonjwa ya kuumwa kwa muda mrefu unazunguka kila hospital uponi hafu unasikia kwa mwamposa wanaponya kwanini usiende.
 
Wafia dini naona mnatoleana povu,mbona haya mambo ya kawaida sana jamani labda hamjapatwa na matatizo,unapopatwa na matatizo huwezi kuchagua chaka popote pale unaingia hili mradi upate amani ya moyo..sasa nyie mnatoleana povu humu wakati wenzenu wanaojua siri za maisha kama huyu bwana Daudi hapa chini hawajali wala nini na ndio maana wanatoboa maisha,maskini mnaendelea kuwa nyie wafia dini
images - 2022-09-16T091836.773.jpeg
 
Wafia dini naona mnatoleana povu,mbona haya mambo ya kawaida sana jamani labda hamjapatwa na matatizo,unapopatwa na matatizo huwezi kuchagua chaka popote pale unaingia hili mradi upate amani ya moyo..sasa nyie mnatoleana povu humu wakati wenzenu wanaojua siri za maisha kama huyu bwana Daudi hapa chini hawajali wala nini na ndio maana wanatoboa maisha,maskini mnaendelea kuwa nyie wafia diniView attachment 2358407
walichofanya awa mashekhe ni haramu kwenye uislamu
 
Kuna waislam Jina kweli
Yaani dini na shirk wanachanganya
Una Sali halafu chale mpaka matakoni
Unamuangalia mtu amechanja kifua kizima, machoni
Hizo sehemu huwa zinaonekana ukimuuliza wewe humuamini Mungu anakuambia namuamini ila na hii ni Kinga

Kwa hiyo hata huyu ni walewale wanaoamini pande zote 2 na wanajua kuwa wanapotoka ila wamezidiwa nguvu na shetani

Waswahili mna mambo sana na Wanawake ndio kabisaaaa
 
Kwasasa wanawake wengi tumekuwa na msongo wa mawazo, wanaume wamekuwa wakituachia majukumu ya kutunza familia, nadhani hata wapo wengine mnawashuhudia wakijinyonga kisa marejesho, kuna tatizo.Watu wanatafuta faraja kwa namna yeyote embu lioneni hili wanaume jamani ...
 
Baki kwenye mada ya "Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad". Usirukeruke kama kwenye muhadhara. Tulia hapa halafu tutaenda huko kwenye ishu hizo ulizouliza.

Back to the topic:

Hiyo Surah imran 19 si imeandikwa juzi hapo baada ya Muhammad kufariki?(wakati quran ilipoandikwa/kusanywa?)

Sasa unanipaje Uthibitisho wa uislam kuwepo huko zamani kwa kutumia kitabu kilichoandikwa juzi hapo karne ya 6 baada ya Muhammad?

Nataka Uthibitisho kuwa Uislam ulikuwepo kabla
Mwenyezi Mungu alikuwepo
Baki kwenye mada ya "Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad". Usirukeruke kama kwenye muhadhara. Tulia hapa halafu tutaenda huko kwenye ishu hizo ulizouliza.

Back to the topic:

Hiyo Surah imran 19 si imeandikwa juzi hapo baada ya Muhammad kufariki?(wakati quran ilipoandikwa/kusanywa?)

Sasa unanipaje Uthibitisho wa uislam kuwepo huko zamani kwa kutumia kitabu kilichoandikwa juzi hapo karne ya 6 baada ya Muhammad?

Nataka Uthibitisho kuwa Uislam ulikuwepo kabla
Jibu ni hivi Qur'an yote ilishuka kipindi cha Muhammad,,,,,ilikuja kuandikwa ili ihifadhiwe Kwa maandishi.

Mwenyezi Mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu,,,,,na kupitia Qur'an kakumbusha tena kuwa "Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu"

Kwahiyo huo ushahidi unatosha ingawa unataka kunitoa kwenye reli,,,, kwangu Mimi maadam Mola wangu kasema hivyo basi inatosha kabisa.

Maswali yangu mbona hujibu mkuu?
Najua huna jibu kwasababu ukristo huwa hauna majibu siku zote,,,,ndio maana wanao jielewa husoma Uislamu na kusilimu.

Nimefurahi kujadiliana na wewe,nakiri Kwa dhati kabisa wewe hii mijadala ya kidini unaiweza kwakuwa hauna jazba na unatumia mantiki zaidi.

Kuna watu humu wamenikoti sitawajibu kama jiwe angavu kwakuwa nawajua huwa ni wapuuzi na hukurupuka Tu Kwa jazba,,,,watu kama hao sitapoteza Mda wangu kudili nao.

Much respect kwako Amanitwin
 
Mna wachungaji viwete mngewaponya hata mungu wenu malkia Elizabeth amefariki na siku tatu zimepita hajafufuka[emoji23][emoji23][emoji23] .

Mwanaume unaabudu mwanamke
Aliye kufa na kufufuka ni mmoja tu..tofauti na hapo wengine ni misukule..karibu ukanyage ma futa na ule keki ya upako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwasasa wanawake wengi tumekuwa na msongo wa mawazo, wanaume wamekuwa wakituachia majukumu ya kutunza familia, nadhani hata wapo wengine mnawashuhudia wakijinyonga kisa marejesho, kuna tatizo.Watu wanatafuta faraja kwa namna yeyote embu lioneni hili wanaume jamani ...
Zinatakiwa taasisi nyingi za binafsi na serikali za kuwahudumia hao watoto kina mama
Watu wanafikiri nchi zingine zina ahuena kwa uchumi wao la hasha
Bali wananchi wanajisaidia sana kwa kuchanga na kuwa na miradi mingi ya kuwasaidia

Kwa mfano Charities zingeanzishwa nyingi
 
Kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa.....tunamngoja yeye mwenyewe Alhad aje kuombewa
Anaogopa tu kwenda mbele pale..ila kila siku yupo kwenye tv na redio anasikiliza mafundisho ya arise and shine.

Mafuta ya upako na keki naletewe na waumini wake anao waagiza wamchukulie.

Hakika kila goti litapigwa mbele ya Kristo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom