Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Hatuombei kwa jina la Yesu, ila tumswalie Mtume SAW au sio maalim[emoji23]!?
 
Aliye kufa na kufufuka ni mmoja tu..tofauti na hapo wengine ni misukule..karibu ukanyage ma futa na ule keki ya upako.

#MaendeleoHayanaChama
Bado mnasubiria mwanzilishi wenu pale england afufuke, wendawazimu wakubwa!! 😂😂😂😂Kaimbeni ila kashakufa
 
Huwezi ukajibu hoja zangu..mana wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo..na umefungwa na tamaduni za kiarabu kupia uislam.

Siku ukitoka kwenye hicho kifungo cha fikra myb utakuwa na uwezo wa kujibu hoja.

Kwasasa unaalikwe ukakanyage mafuta na ule keki ya upako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukitaka nchi iende..piga vita hizi imani za kidini zote...mana zinaua uwezo wa kufikiri.

Tuwe kama china au free world kama usa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo kuwepo kwa magari mengi ya uhakika maana yake ndiyo inaonyesha kuna kanisa/Mchungaji wa ukweli?
 
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.

Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.

Yesu ndiye mponyaji!
Nimesoma comments za wanaomsujudia mwamposa .ntakuja na comment yangu baadae.
 
Mwamposa anaupiga mwingi SANA.
Walianza hawa
Kakobe
Lusekelo
Mwingira
Sasa ni zama za
Mwamposa
Kuhani Mussa sijui
Mwisho wa siku ni KUMUOMBA MUNGU VIFO VITUFIKIE MAHALA SAHIHI
 
Huenda unatatizo la uelewa mkuu.....Uislamu sio Muhammad na haujaketwa na Muhammad

Uislamu ni kunyenyekea Kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Tu,,,,huo ndio Uislamu,,,,,je Ibrahim alikuwa anamwabudu Nani? Nuhu alikuwa anamwabudu Nani?
Uislamu ni pamoja na kujitoa muhanga na kuchinja watu kama wanavyofanya Alshabab, Alqaida,Boko Haram,ISIS
 
Dini Ya Kiislamu Imeshindwa Kukidhi Maitaji Ya Waumini Wake
 
Mwamposa anaupiga mwingi SANA.
Walianza hawa
Kakobe
Lusekelo
Mwingira
Sasa ni zama za
Mwamposa
Kuhani Mussa sijui
Mwisho wa siku ni KUMUOMBA MUNGU VIFO VITUFIKIE MAHALA SAHIHI
Umesahau Roma Cathoric Au Inakuhusu Nini Umeona Uipotezee Kiaina
 
Kikubwa wanawake wanaamini sana katika ushirikina na ndomana wanaenda kwa mwamposa
 
Nyumba nilikuwa napanga Happ kimar kibo Ni nyumba ya muislamu kulitokea changamoto wa bint ake kurukwa na akili wakt bint anajianda kwenda ujerumani bas wakapamban San mpk kwa shehe wakambiwa wapeleke mbuz mweus na Kia's Cha laki na 140 wakafanya hvyo ila bint hakupa hata nafuu yoyote bas wakaenda kwa mwamposa yey alitoa sadka ya elf moja tu bint akwa mzima kbsa mpka leo yule mam na wanae hawajaacha kwenda kwa mwamposa na mzee wake yey ndio kwanza anahimiza wawai wasikoze siti uwaambi kitu juu ya mwamposa,mzee yey Bado anaenda msikiti ila watot na mam yako wote kwa mwamposa Tena kwa kupewa nauli na sadka na mzee aise mwamposa Ni balal lingine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sawa kabisa nakuamini,maana kajuaje Kama wamama wa kiislamu wanaponywa kwa Mwamposa.
 
Amina kubwa.
 
Ila Daudi!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimemiss drama zake
 
Ukitaka nchi iende..piga vita hizi imani za kidini zote...mana zinaua uwezo wa kufikiri.

Tuwe kama china au free world kama usa.

#MaendeleoHayanaChama
Dini imegeuzwa miradi na hakuna faida wanayopata wa chini bali wanazidi kuwa masikini wa kutupwa kwa Imani dhaifu

Ni wa kuchapwa viboko kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…