Mwenyezi Mungu alikuwepo
Jibu ni hivi Qur'an yote ilishuka kipindi cha Muhammad,,,,,ilikuja kuandikwa ili ihifadhiwe Kwa maandishi.
Mwenyezi Mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu,,,,,na kupitia Qur'an kakumbusha tena kuwa "Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu"
Kwahiyo huo ushahidi unatosha ingawa unataka kunitoa kwenye reli,,,, kwangu Mimi maadam Mola wangu kasema hivyo basi inatosha kabisa.
Maswali yangu mbona hujibu mkuu?
Najua huna jibu kwasababu ukristo huwa hauna majibu siku zote,,,,ndio maana wanao jielewa husoma Uislamu na kusilimu.
Nimefurahi kujadiliana na wewe,nakiri Kwa dhati kabisa wewe hii mijadala ya kidini unaiweza kwakuwa hauna jazba na unatumia mantiki zaidi.
Kuna watu humu wamenikoti sitawajibu kama
jiwe angavu kwakuwa nawajua huwa ni wapuuzi na hukurupuka Tu Kwa jazba,,,,watu kama hao sitapoteza Mda wangu kudili nao.
Much respect kwako
Amanitwin